Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Man City ameangusha gari leo! Kapigwa asipotegemea.

Alikuwa na On Target 9, while Wolves alikuwa na On Target 1 tu lakini amepata matokeo kwa hiyo On Target 1 iliyozaa goli huku akifaidika na goli la OG.

Leo napata hisia kuwa ni game ngumu sana! VVD na Matip wawe makini sana na Son.
Huyu jamaa ni very experienced player wa EPL na ni expert kwa hizi big match hivyo anaingia uwanjani bila ya Woga wowote.

Kuna na huyu mpumbavu Richarlison anaongea sana shit dhidi yetu na kujifanya anatuchukia mno, hivyo anaweza kukamia game ili approve kitu dhidi yetu! Anapaswa kuchungwa vyema.
Sema na hiyo red kwanza acha perepeche
 
Losers wapo wanapunguzia maumivu hapa.

Nawaambia sisi mechi tunaanza 2nd half.
 
Man City ameangusha gari leo! Kapigwa asipotegemea.

Alikuwa na On Target 9, while Wolves alikuwa na On Target 1 tu lakini amepata matokeo kwa hiyo On Target 1 iliyozaa goli huku akifaidika na goli la OG.

Leo napata hisia kuwa ni game ngumu sana! VVD na Matip wawe makini sana na Son.
Huyu jamaa ni very experienced player wa EPL na ni expert kwa hizi big match hivyo anaingia uwanjani bila ya Woga wowote.

Kuna na huyu mpumbavu Richarlison anaongea sana shit dhidi yetu na kujifanya anatuchukia mno, hivyo anaweza kukamia game ili approve kitu dhidi yetu! Anapaswa kuchungwa vyema.
Tunawatoboa 2nd half na kuongeza bao jingine moja.
 
View attachment 2767605
Baadhi ya senior staff pale Liverpool hawakumbaliana na Klopp kutaka kuwapa mikataba mipya kwa Thiago na Matip... Klopp atakua ana makengeza hivi kipi cha ziada hawa jamaa wanaleta kiasi wabakie klabuni beyond thier current deals.... Wasepe hizo nafasi tupate mbadala sio bla bla za Klopp...

YNWA
Afadhali wakaze aisee huyu mgonjwa aondoke.
Klopp ni mwehu sana muda mwingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom