Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi sitaki tena Salah auzwe , Hamna tena replacement yake hata tutoe £150m hatutapata, jamaa ananguvu, sio injury prone anadibble, ball control na huwa hapotezi hovyo. Hakuna mchezaji wa hvyo kwa sasa dah! Anamiaka 31.

Karibu sasa kwenye mtazamo chanya juu ya Salah.!!!

Kumpata like to like Salah replacement ni sawa na hakuna. Mifupa migumu huyu mmisri. Timu ikiwa vibaya hakosi 20+ goals. Assits atleast 15+ across all competition.

Salah mchezaji muhimu mno tena msimu huu tungepoteana kama FSG wangeingia tamaa kumuuza.
 
Mimi sitaki tena Salah auzwe , Hamna tena replacement yake hata tutoe £150m hatutapata, jamaa ananguvu, sio injury prone anadibble, ball control na huwa hapotezi hovyo. Hakuna mchezaji wa hvyo kwa sasa dah! Anamiaka 31.

Karibu sasa kwenye mtazamo chanya juu ya Salah.!!!

Kumpata like to like Salah replacement ni sawa na hakuna. Mifupa migumu huyu mmisri. Timu ikiwa vibaya hakosi 20+ goals. Assits atleast 15+ across all competition.

Salah mchezaji muhimu mno tena msimu huu tungepoteana kama FSG wangeingia tamaa kumuuza.

Hawa ni wale wachezaji wanasema basi msimu huu wa mwisho naondoka lkn huwezi shawishika kumuuza.
 
Morali ni kubwa mno
Timu haijakikatia tamaa kama ile ya msimu uliopita.


Ila tuwe makini na hivi vipigo vya 1st half.
City jana wameshindwa chomoa hivihivi wanaona.

Yaani ishu ni sisi kuruhusu goli, haijalisha ni wakati gani. Ila tunatengeneza fear kubwa kwamba jamaa ukiwatangulia ndio umeharibu, it won work mara zote kuna kipindi itakataa and thats football.

Muhimu consistency ya ushindi iwepo.

Namsubiri Gravenberch kwa hamu sana “Robbo alijisemea another good dutch player”.
 
Naona sikuizi Klopp nae kikosi kipana anafanya Rotation tu, Kwasasa naona tupo mikono salama atleast tofauti na zamani.

Hata kama hatutakuwa Title contenders ila naimani Msimu ujao tutajipanga na tutukuwa vizuri.

New sign naona zime adapt haraka mfumo na mbinu za klopp, hvyohvyo na new sign za Chelsea naona zimeadapt haraka sana hasa huyu Moises Caicedo anakichafua sana

Klopp mara nyingi akimtaka mchezaji yeye ni haraka atampa nafasi na kuingia kwenye mfumo, tofauti na anaoletewa na scouts ni kama analazimishwa.

Walau msimu huu Klopp amejitahidi sana kukizungusha kikosi na hiyo ni kutokana na ni Europe league inampa jeuri kubwa.

Quansah good additional from academy
Bajcetic game time hapa kuna mchezaji good additional
Doak same game time will improve him

MONEY SAVED.
 
Injury pia zinachangia. Jota ana ka series hivi, anawaka injury akirudi anachelewa kuwaka, anawaka tena injury akirudi anachelewa kuwaka. Thats Jota: Let him be injury free and he will give you goals and assits
Issue ya Inconsistency kwa Jota alikuwanayo tokea yupo Wolves ndiyomana hata kule Wolves hakuwahi kuwa mchezaji wa uhakika wa kikosi cha kwanza bali alikuwa upataji wake wa nafasi ni kama anavyopata hapa Liverpool.

Mkumbuke Gabriel Jesus alipokuwa Man City, anaingizwa Uwanjani game ya kwanza anapiga goli 4, inayofuata anapiga Hat-trik, inayofuata anapiga goli 2 na inayofuata anapiga tena goli 2, hapo unakuta game 4 kapiga goli 11 lakini baadae game 5 zijazo anapotea! Pep akaona si Mchezaji akawa anamueka Benchi mwisho akamuuza kwasababu ya kukosa Consistency.

Hii ni same kwa Jota, hivyo Jota si Mchezaji wa kucheza back to back utampoteza moja kwa moja.

Huyu unamchezesha game 4 mfululizo then unamueka bench game 2 akirudi anaanza upya hapo ndiyo unaweza kufanyia management kiwango chake, lakini ukimchezesha back to back basi anapoteza consistency.
 
Point of correction
Sare Moja.
Mech 6 points 16

Point of correction
Sare mbili

IMG_5354.jpg
 
Usimuondoe Arsenal. They can challange us even to win especially wakiwa Emirates.

Utd at OT don underestimate them vs Liverpool.

And this is EPL unaamka vibaya unabondwa hata na Luton huko.
Nahizi timu kubwa kwa staili hii ya kuruhusu goli itatugharimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom