Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Utofauti wa mtazamo juu ya kile mtu akitakacho.

Haukumbuki kuna watu walitaka Salah auzwe tuna Origi na Shaqiri???

Thats football, japo kuna muda huo mtazamo unavuka mipaka, kusema Konate mzito. Hizo recoveries za counter anazifanya upande wa TAA walau mbili hivi huwa haoni???
Mimi sitaki tena Salah auzwe , Hamna tena replacement yake hata tutoe £150m hatutapata, jamaa ananguvu, sio injury prone anadibble, ball control na huwa hapotezi hovyo. Hakuna mchezaji wa hvyo kwa sasa dah! Anamiaka 31.
 
Liverpool tunafurahia ushindi wa kila mara Man u huko wanadiscuss lineup ya 3421
 
Kwaiyo Jana hakukuwa na wa kulaumiwa ?

Crops cultivation endelea kuwadekeza FSG kikosi kimeenea
 
Nunez akifika golini miguu inapata makengeza
Anaanza kujishauri

Gakpo japo kafunga ila ana kaubinafsi na kupoteza muda.

Soboszlai hajaremba kabisa
Kituuuu ndani.

Salah na Jota ni aina ya watu ninaowataka golini
They don't waste time unnecessarily.
Zsobo anajua mnoooo Keita alikuwa ni Mfanyakazi hewa.
Zsobo analainisha eneo la kiungo, anasaidia kupeleka mashambulizi na anafunga pia na anatuliza sana timu. Yeye na Mac Allister wamesaidia sana zile kelelee za eneo la kiungo zimepungua. Mac Allister nae ni Kiungo Mvunja kuni 😂😂😂😂Dadekiiii
 
Liverpool tupo sawa msimu huu
Next stop ni White Hart Lane hapo London.
Liverpool HALISi tuna Mungu wetu anaye tuongoza
 
Zsobo anajua mnoooo Keita alikuwa ni Mfanyakazi hewa.
Zsobo analainisha eneo la kiungo, anasaidia kupeleka mashambulizi na anafunga pia na anatuliza sana timu. Yeye na Mac Allister wamesaidia sana zile kelelee za eneo la kiungo zimepungua. Mac Allister nae ni Kiungo Mvunja kuni 😂😂😂😂Dadekiiii
Dominic anaupiga mwingi sana.

We're lucky to have him in our team.
YNWA.
 
Atleast.

I enjoyed few things kwenye mechi ya jana

We have atleast depth, unlike last few season.

Unaona whole team iliyoanza jana inacheza kwa kujiamini pressing ya kutosha energy na njaa ya kufika huko juu. Tuna gain momentum kwa kadiri siku ziendavyo.

Europe group stage FA and Carabao itatupa game time nzuri sana kwa vijina.
Morali ni kubwa mno
Timu haijakikatia tamaa kama ile ya msimu uliopita.

Ila tuwe makini na hivi vipigo vya 1st half.
City jana wameshindwa chomoa hivihivi wanaona.
 
Naangalia magoli hapa miaka ya kina Suarez
Ila kumbe Le captain Hendo alikuwa anajitahidi

Liv _Spurs mwaka 2013 sijui 15
 
Naona sikuizi Klopp nae kikosi kipana anafanya Rotation tu, Kwasasa naona tupo mikono salama atleast tofauti na zamani.

Hata kama hatutakuwa Title contenders ila naimani Msimu ujao tutajipanga na tutukuwa vizuri.

New sign naona zime adapt haraka mfumo na mbinu za klopp, hvyohvyo na new sign za Chelsea naona zimeadapt haraka sana hasa huyu Moises Caicedo anakichafua sana
 
Spurs atawanyoosha Punda nyie.

Endeleeni kijuipa false hope….

Jokes ……
Katika mpira huwez maliza League bila kunyooshwa mkuu hicho ni kitu cha kawaida na yote yatakuwa ni matokeo hata kwa Newcastle mlisema hvyo subiri dk 90 nazanyongeza zitasema pia.
 
Naona sikuizi Klopp nae kikosi kipana anafanya Rotation tu, Kwasasa naona tupo mikono salama atleast tofauti na zamani.

Hata kama hatutakuwa Title contenders ila naimani Msimu ujao tutajipanga na tutukuwa vizuri.

New sign naona zime adapt haraka mfumo na mbinu za klopp, hvyohvyo na new sign za Chelsea naona zimeadapt haraka sana hasa huyu Moises Caicedo anakichafua sana
Hana deadwoods nyingi na ma injury prone, amebaki Thiago,Matip na Konate
 
Hamna Draw pale mkuu.
Spurs atakufa , maana uwezo wa kufunga liverpool ni mkubwa ,, kwahyo mashaka ni uwezo wa kutokuruhusu wascore.

Klopp has to implement low block lines too.

Sasa hii ni kupunguza defensive highline ili kupunguza gaps za kufikiwa kwenye final third kwa haraka.

Son & Madison wapo hot sana kwa sasa na imefanya Spurs kucheza kiutofauti na tulivyozoea. Bissouma as a 6 kawa yule wa Brighton kawa mpya sana.

We will still see
Jones
Macca
Szoboszlai as our MFs

But if i were Klopp i will use Endo + Macca as double 6 without the ball and with the ball Macca anasogea mbele the TAA anacheza na Endo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom