Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
AsanteeHahah
Thank You and to you too have a wonderfull night
AsanteeHahah
Thank You and to you too have a wonderfull night
Hapo Kwa konate ngoja TU niheshimu maon Yako...Sina NAMNAMOTM wataru endo..
Elliot bado anautoto mwingi
Jones bado anautoto mwingi
Konate mzito sana auzwe mapema
Haya ni maoni yangu
Tukipata Dm wa uhakika 2 no 8 za szobo na Macca boli litatembezwa hatar. Nahofia klop kutokupata pure talent ya macca kwa sababu anacheza out of positionMacca sio typical DM. Ni pure no. 8
Bado Klopp anamuamini yeye hapo plus Jones over Bajcetic & Endo, tusubiri Thiago akirudi tuone combo yke Macca na Szobozslai japo kwa dakika chache hizo hizo atakazocheza kabla ya kurudi kitandani. Ndio itamfumbua macho kuhusu talents za Macca & Szobozslai as No. 8 wakipata good DM
Dah , mkuu kama kuna beki anauhai pale LFC basi ni Konate.MOTM wataru endo..
Elliot bado anautoto mwingi
Jones bado anautoto mwingi
Konate mzito sana auzwe mapema
Haya ni maoni yangu
Konate ni Back alafu sikuizi kaisha anza na kuwa na speedDah , mkuu kama kuna beki anauhai pale LFC basi ni Konate.


, honestly namkubali sana mwamba.Watu sijui huwa wanaangalia mpira vipi asee. Unaweza kujiuliza "hivi tumetoka kuangalia mechi moja au kila mtu kwake ana version yake ya hiyo mechi"?Dah , mkuu kama kuna beki anauhai pale LFC basi ni Konate.
Inaonekana kuna wanaangalia mpira kutazama madhaifu tu, hivyo wanashindwa kulinganisha kati ya udhaifu na ubora wa mchezaji.Watu sijui huwa wanaangalia mpira vipi asee. Unaweza kujiuliza "hivi tumetoka kuangalia mechi moja au kila mtu kwake ana version yake ya hiyo mechi"?
Elliot ni mchezaji bro. Labda macho yetu (ya kimpira) ni tofauti ila yule mtoto ni mchezaji mzuri sana. Ana press, ana tackle (refer goli la 3) ana peleka team mbele, ana good decison making.
Nafasi aliyokosa kwa angle aliyokuwepo ukizingatia yeye ni left footer alichofanya pale ni sahihi kabisa maana ange shoot na mguu wa kulia kwa asilimia kubwa angekosa goli lakini akafanya maamuzi sahihi ya kutaka kutengeneza goli na si ku force kufunga.
Sipendi sana ku judge hawa wachezaji wadogo, as wanakuwa unaona kabisa kuna kitu in the making. Jones namkubali kwakuwa anajiamini akiwa na mpira. Hapotezi hovyo wala hapigi pass za hovyo akiwa under pressure (they call him 'cocky midfielder').
Good to see Bajcetic back.
Roll on Reds.
Silali hadi niwahenyeshe vipara mama Cita FC
Losers
unafuraha sana. Tuombe tupate na alama mbele ya spurs coming weekendNililala
Nikaamka 2nd half.
Namshangaa sana anae sema konate auzwe ni mzito sijui anaangalia Sofascore?
Tukipata Dm wa uhakika 2 no 8 za szobo na Macca boli litatembezwa hatar. Nahofia klop kutokupata pure talent ya macca kwa sababu anacheza out of position
Watu sijui huwa wanaangalia mpira vipi asee. Unaweza kujiuliza "hivi tumetoka kuangalia mechi moja au kila mtu kwake ana version yake ya hiyo mechi"?
Ni mwendo wa Tatu tatu tu.
Ila goli la Jota la dharau kinoma![]()
Kudadeki zake szobolszlai.
Spurs tusiwaruhusu waanze kutufunga. Itatucost. But naona mechi kama drawunafuraha sana. Tuombe tupate na alama mbele ya spurs coming weekend