Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sio siri Duniani kuna Watu wana vipaji sana yani! Hapa tuna screens 3 za Game ya Liver, Arsenal na Chelsea kuna watu wanaangalia games zote 3 kwa wakati mmoja na matukio yote kwenye games zote 3 wanayaona kwa ukamilifu.

Aisee mimi nimeshindwa kabisa nimeamua kubaki na game yetu tu.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

Nawapigia salute

YNWA
 
Nimeangalia replay ya game ya Chelsea wamekoshwa huwezi kuamini hongera kwa kipa wao 😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom