Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

That boy is a time bomb waiting kulipuka muda wowote akiwa kwenye presha.

YNWA

But that lad is trying alot. Presha anazopigwa kwenye media na umri wake ni kubwa. He has monster mentality. Advantage yake he is not only Scapegoat in our team. Klopp, FSG inasaidia kumpunguzia pressure. Last season timu nzima ilikula lawama except Beckor, Konate.

Mipasi na mi assist yake inapunguza makala ya errors zake. Na kuonekana Klopp anamkosea sana kunufaika nae and its a fact for sure.
 
Presha za ubingwa ni noma sana aisee tetesi ni kwamba hata Arteta baada ya kukosa ubingwa last season he almost quit Arsenal maana aliunusa baadae majeruhi yakawa cost kuukosa ubingwa...

Kipara sio mtu powa imagine sasa anatoka Grealish anaingia Jeremy haha moto ule ule, key to win EPL ni kua na kikosi kipana na kukwepa pepo la majeruhi as much...

YNWA

Not only kikosi kipana but depth and balanced quality.

See mwimu huu una ama Diaz na Nunez bench au una Jota na Gakpo bench tayari kwenye attacking una two quality players ambao they can over turn a match. Na imetokea mara tatu we are behind and come to win a match.

Ila msimu huu namuelewa sana Klopp when it comes kwenye suala la Subs. He is doing very well so far. Nafikir ni ukubwa wa attacking area inampa kiburi licha ya hivyo to change formation and position during a match, hii imempa ahueni unlike miaka ya huko nyuma.

Kama angefanikiwa kumpata DM, CB and RB ndani ya dirisha lililopita tungekuwa na strong team. Lets see until January
 
Pia UEFA fainali na Madrid Goli pekee la ushindi na ubingwa wa R.Madrid lilitokea kwa TAA pale Klopp angetakiwa kushtuka Dogo akiwa RB mda mwingine anakuwa kama chambo. Wahuni wakiwa wanatafutaga magoli ya Comeback Huwa hawachagui upande mwingine, wanasarandia upande uleule wa TAA.

Of course but i can say we were unlike with that match for sure. It was best unlike 2018 final.

We were lucking quality CF like Halaand with his one chance one goal. Tulifika sana golini but most of our targets were not quality.
Thaubt quality gave them that trophy. But it doesn’t eradicate truth that TAA cost us with his always weakness (defending)
 
Acha ujinga team ikizingua lazima mashabiki waongee yaani wanaongea mashabiki waliopo Jiji la Liverpool sembuse wewe mshamba mmoja wa Tanzania ndio ukataze watu kuongea timu ikifanya vibaya

Huyo jamaa kila leo alikuwa akimsifia Henderson kwa kujificha kwenye kichaka cha Halisi, huyo Henderson ambaye this time last year alikuwa nahodha wa Liverpool anamkaanga Klopp, sasa ajitazame yeye wa nanjilinji huko na jamaa aliyekuwa nahodha more than 8yrs, aliyekaa Klabuni kwa miaka 12 leo anamkaanga Klopp aliyempa kitambaa cha unahodha huku Klopp akivumilia matukano kwa sababu yake.

Jamaa ambaye Klopp alihakikisha week in week out anacheza, jamaa ambaye kwa sababu yake Sporting Director aliyefanya biashara zenye faida kubwa klabuni anaondoka kwa sababu yake leo mtu yule yule anamkaanga Klopp aliyepo klabuni hapo kwa miaka 8 takribani.

Sasa ajiulize yeye na huyo jamaa nani halisi?
 
Usitupangie
Team siyo yako pekeyako.

Tutaisema tu kwa kadiri tunavyoweza,

Wanaoimiliki timu wapo zao huko duniani,
Mimi na wewe ni mashabiki tu kutoka
Mabondekuinama.

Feki utakuwa wewe kutoka Tukuyu.

Tunakukabidhi huyu kama ulivyofanya kwa Milner, Keita na Hendo deal naye.

Anatuchosha na tumempuuza… season iliyopita alipotea nafikri wajua sababu
 
Waweza kuwa uko sahihi, Ila binafsi huwa unaniacha hoi unaposema Liverpool fans mzidi KUSHIKAMANA ili timu yenu ishinde, huwa najiuliza Liverpool fan wa jamiiforums anashikamanaje kusaidia matokeo ya timu. Ni kama mchezo wa kitoto fulani hivi...

huku hata membership card hauna, mnashikamana nini sasa???
 
Haijalishi ulianza shabikia mwaka gani, aliye anza shabikia 1880 na aliye anza shabikia 2020 wote ni mashabiki mkuu acha kujifanya kuwa Liverpool niyawalio anza kushabikia miaka ya zamani tu. Acha izo

Mpira ni mchezo wa kurithishana..!!! Na unaenda hivyo miaka yote, bila hivyo timu zingejifia kitambo
 
Wahuni sio watu wazuri ujue..
Wakati mwingine Klopp hua namwelewa kwamba hio luxury ya kua na RB wawili 1st starters huku pengine akiwa hajawa convinced na output ya dogo RB anachokitaka Klopp...
Shinda tuna wamiliki wanaongalia kipato cha klabu kibiashara kuliko mafanikio uwanjani hawana kiu kabisa cha mataji kwa sababu tazama baada ya Klopp kuchukua Uefa na EPL ilitakiwa pale pale apewe mpunga azame sokoni kuimarisha kikosi lakini wenyewe ndio kwanza wakawa wanategemea miujiza ya Klopp....

YNWA

Mkuu Klopp kuna mahali aliyakanyaga mwenyewe. What i can say Edward was a pure perfect fit with FSG transfer policy.

Najua wajua kilichomuondoa Edward ni ishu ya Klopp kumng’ang’ania Henderson, Milner na Gomez kwa kuongezewa mikataba hasa Gomez na Henderson kupewa mikataba mirefu. Edward had proposed Enzo Fernandez, Guimaraes wachukue nafasi zao lkn Klopp akakataa. Kuna andiko la Mosdef kuhusu hii ishu pia.

Hivi FSG umletee mchezaji wa 20M na 15M kwa class ya Fernandez na Guimaraes wakatae?? Kuna mambo yanaendeleaga ndani humo kuyapata ni mpaka itokee mambo kama haya ndio utayasikia.

Sasa hapo utaona how Klopp fried himself. Edward understood and mastered Klopp’s philosophy huwa inahitaji fresh legs after few years plus FSG’s policy. Kama sio muenendo mbovu wa timu msimu uliopita hopefully msimu huu tungeendelea kuwa na Mid ya Henderson, Milner. Baada ya Klopp kuona sasa aliyoyaona Edward yanaenda kutumia akaona its ok. Akaamua kufanya MF overhaul.

Kwa kiasi chake FSG hawakutoa mpunga kuwapata World Class players but we Know Jurgen’s ability to turn Unknowns to Knowns.
 
We are going to see changes tonight. I real dont know how strong is LASK but wish to see
Kelleher under three posts
Wish to see Bajcetic as DM
Wish to see Quansah
Tsimikas
Gravenberch
Wish to see Doak as RW

Klopp will make atleast 6-8 changes from the team that faced Wolves last weekend
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom