Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,910
- 11,320
Nitumie matoki kutoka hapo Liverpool ya Kandete
Binti unaijua Busokelo kweli kweli.
Mm ni wa Mannow nje kidogo ya Kandete
Nitumie matoki kutoka hapo Liverpool ya Kandete
Dadaako pia anakupinga [emoji1] [emoji1787]
Yaani wewe nyani wa tukuyu ndio uwe Liverpool halisi hii kakli aisee na wazungu waliopo Jiji la Liverpool ambayo ndio timu yao wasemaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ni jirani yako hapa Mwakaleli[emoji23]Binti unaijua Busokelo kweli kweli.
Mm ni wa Mannow nje kidogo ya Kandete
Salama kabisa, sisi Liverpool halisi tuwapuuze wanaoibeza team 😄 🤣, akina @KingNgwabaNitampa ‘kigune’
Mkuu mwenzangi Liverpool halisi,za siku nyingi?
Anastahili kabisa 👏Huyu Dominik Szoboszlai huyu [emoji23][emoji23]View attachment 2755008
Kaka toka lini umeleft na.kuhamia huko...Salama kabisa, sisi Liverpool halisi tuwapuuze wanaoibeza team 😄 🤣, akina @KingNgwaba
Acha ujinga wewe tumjue anatusaidia nini hili ni link ya mwanaliverpool yeyote duniani unaleta. Habari za ugeni jamii forum yako
Dah
Mwee!
Ilikua kuna ulazima gani wa kutaja sehemu ninayo toka?
Umenikwaza sana!
Lkn za siku nyingi mrembo?Happy New Year?
Salama kabisa, sisi Liverpool halisi tuwapuuze wanaoibeza team 😄 🤣, akina @KingNgwaba
Malafyale raisi wangu na kiongozi wangu wa kundi la Liverpool HALISI mwenyewe anamsoma Mosdef na tabasamu usoni, na kila akichungulia jukwaa letu pendwa akiona Mosdef hajapost kitu anachanganikiwa,.mimi ni nani nisi like post za Mosdef?Kaka wewe ni Liverpool Fake juzi tu hapa umelike posts za MosDef kiongozi wenu wa Liverpool Fake.
Nimeona Mwanafyale yuko peke yake, sasa nimeona nimuunge mkono tu.Kaka toka lini umeleft na.kuhamia huko...
Fundii huyuHuyu Dominik Szoboszlai huyu [emoji23][emoji23]View attachment 2755008
Mpuuzi wewCan't wait for FUTUHIView attachment 2755077
Mechi yenyewe wala sikuicheck.
Ntacheck marudio.