Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona last seen yake ni may 25.
Hope he is doing fine.

Screenshot_20230904_103257_Chrome.jpg
 
We will get £150-200m next summer.

Clubs zaidi ya mbili kutoka Saudi, zitakuwa zinapigania his signature.

Its just his Agent, alikuwa anajaribu ku-force a deal now, kwaajili ya his last big payday, rules & caps za Agents zitakuwa regulated upya kuanzia next month nadhani au November.

Fees (%), za agents kutoka kwa players na Clubs zitakuwa stationed & established.

So pesa ambayo angepata Ramy now kama Salah angeenda Saudi ni kubwa sana, uzuri ni kuwa Salah stood firm, na siyo kama aliikataa proposal ya Saudi, alitoa green-light, but he was clear kuwa he wont force a move, so kama LFC waki-reject the bid, atabaki, and thats what happened.

Huwezi kuwa naive, kwa kutokuelewa kuwa, Saudi wasingebid £150m, bila kupata encouragment kutoka kwa Salah & especially his agent, tofauti ni kwamba Salah amegoma ku-force a move.

James Pearce, aliandika kwenye his latest article kuwa Saudi wame-turn Salah's head kwa offer ya £1.5m p/w, kwanza binadam yeyote angepagawa na hiyo offer, sembuse kwa mchezaji mwenye miaka 31 now ambaye ameshashinda kila kombe na kucheza kwa mafanikio kwenye his boyhood club? then kama Salah angekuwa amezuzuliwa na offer ya Saudi kama James anavyosema, lazima angezua tantrums kama za kina Countinho, Sterling, even Henderson, Henderson ambaye kutwa alikuwa anajifanya anapigania haki za Mashoga, kawekewa £700k p/w (without taxes), kawaacha gay scousers wote kwenye mataa, kwenda kucheza mpira kwenye nchi ambayo ina adhabu kali sana za mashoga na hazikubaliani kabisa na kile alichokuwa anajifanya kutetea kila siku.

Salah, wont force a move, though like any other human-being hapa duniani, hawezi kuifungia milango hiyo offer, the only way Salah anaweza kuondoka this summer (dirisha la saudi linafungwa tarehe 7), ni kama FSG watakubali kumuuza, na hii ni kama watamzunguka Klopp ambaye ameshaweka wazi kuwa HE IS NOT FOR SALE.

Salah amejua wapi ameiukuta timu, timu ameifikisha wapi na timu imemfikisha wapi. Kwa mie naona mbali ya Club kutotaka kumuuza especially Klopp summer hii naona kama anarudisha shukrani kwa timu na hana greedy for sure that amount was huge to a normal human being kui turn down.

Ishu ya kumuongezea wages kwenye mkataba wake imemtuliza plus good advertisements. Salah pia anaona he will have (2-3) good seasons so bado tu ana soko kubwa comming summer. Na akipata mafanikio makubwa ya timu na binafsi ataongezeka thamani zaidi ya hapa.

Binafsi nimeona Salah kafanya favour sana kwa LiverpoolFc.
IMG_3466.jpg

After yesterday match.
YNWA.

Its up for the Club to prepare life without him. Naona tuna file la Johan Bakayoko fro PSV tukisubiri as Salah potential replacement. But we have Doak and Elliot as typical RW im not sure if Elliot can click as our RW but he is good akicheza RW. Doak he is you g good dribbler, can shot, he has pace, good presser. Alot to learn still.

Do remember Kaide Gordon? He caught my attention for sure. Bad lack to him alikumbwa na Pelvic Growth issues amekaa njee 19 months. Kwa sasa amerejea kucheza tena yupo U-21. He is 18 now. Sijui kama atarudi na kiwango kile. He has potential.

Ngojq tuone Klopp na jopo lake wamejiandaa vipi na Salah replacement.
 
Sell Salah and then what?

Hiyo £200m utaifanyia nini now?

How can you sell your best player bila a direct replacement?

Can Diaz, Jota & Gakpo offer you more that 20 goals each kwenye PL?

Saudi wame-bid pesa nyingi kwenye deadline day, ukikubali hiyo pesa, itakusaidia nini now? Club gani itakuuzia its highly profiled RW/LW muda huu au hata January kwaajili ya Salah replacement?

Club ilishindwa kupata mbadala halisi wa Fabinho katika kipindi cha mwezi mzima, guts gani ulizonazo zinakufanya uone tungepata a Salah replacement few hours kabla dirisha kufungwa?

Unaelewa how football works? unaelewa umuhimu wa Salah now kwenye Club ambayo imebadilisha its whole MF, na bado some new attackers wakiendelea kutafuta form?

Unaelewa hasara inayopatikana kwa Club aina ya LFC ku-miss CL football back to back?

Luis Diaz was a Mane replacement.

We bought two different profiles (Nunez & Gakpo) to replace output ya Firmino.

You, think you can just replace Salah kwa few calls tu? our best attacking player in a decade.

Whats £200m if you cant use it?

and what makes you think Saudi people hawatarudi tena next. summer, kujaribu ku-secure signature ya the biggest Muslim & Arab player in the world?

Use your brain.

Nilivyosema Salah atabakiza 1yr kwenye mkataba wake, huenda saudi’s wakagoma na kuacha wamchukue for free.

Hivyo kwa mawazo yake akaona bora 200M kuliko bure, kumbe kuna muda bora bure kuliko hiyo 200M, na hiyo bure ikakupa faida kubwa for the future.

Mf. Uwepo wa Salah tu kuna pesa inaingia off the pitch. Hiyo 200m unaweza kuimaliza na usipate Salah replacement yenye itakupa 20+ G/A season in season out.
 
Hawa mashabiki wa LFC wanaosema Salah auzwe now, ndiyo watakuwa wa kwanza kumtukana Klopp, tukiwa tuna-struggle ku-create au kufunga goals, na mwisho kushindwa kumaliza kwenye UCL places.

One of my fellow on LFC Whatsap group. He claimed we should accept the deal. Nikamwambia give me your words for future reference you will not blame Klopp and those players who will pay Salah’s role, alishindwa kujibu.
 
Ni vey rare sana kwa Diaz/Jota/Gakpo kuku-offer pass aliyotoa Salah kwa Nunez kwenye goal la pili dhidi ya Newcastle.

Mchezaji ambaye anaweza ku-afford passes kama zile ni Thiago, ambaye kila siku yupo hospital.

Small details nyingi sana football fans huwa wanazi-ignore, na wakati football is just about these small details, na ndiyo ambazo zinabadilisha mchezo/game-state.

Inategemea mtu ana uelewa na mtazamo wake juu ya mpira. We can agree that. Maana yake kuna vitu vinapaswa kufanywa ili mtu afurahie mpira. Wengine wanataka kuone pressings throughout the match. Mwingine anataka kuona pasi nyingi, mwingine anataka aone winga zikikimbiza tu muda wote, mwingine anatamani kuone magoli tu yakiingia.

Wapo mashabiki hawataki kuona hizo build up zikianza nyuma kwenda mbele wanataka kamkumbe football. You cant blame them its about a test of his perspective about the game.

Kuna kipindi lfc wanted badly Salah auzwe Origi will cover his role. I was about yes thats the real fan, good desire with wrong opinion.

Your best player ambaye week in week out unampata, sio kumpata tu anakupa 30+G/A across all competition. Leo hii useme auzwe you have Jota, Nunez, Gakpo and Diaz ambao bado hawajakuonesha they can give you 20+G/A across all competions.

But you can’t blame them that is a beautiful of this game, come from our different over views about it.
 
Ebu tuitazame hii kitaalamu zaidi (unarushiwa kuchangia maoni)

Kwa sababu hatuna proper DM pale anfield why tusiende na 4-2-3-1

Then kwny iyo 2 ya chini akasimama endo/bajcetic na grav/mac allister

Then iyo 3 ya juu katikati akasimama szobo/gakpo

Then ile 1 ya juu akasimama jota/darwin

Kwanza italeta ushindani mkubwa wa namba

Maana naona kama gakpo ni classic number ten acha achuane na szobo kupambania namba au sometimes acheze kama winga sehem ya diaz lakini kumchezesha kama namba tisa acheze kama firmino ni uongo

Na pia kumweka kwenye midfield yeye,mac na szobo timu inakuwa weak sana hasa inaposhambuliwa.

Sijaona ukimweka Salah hapo kwenye kikosi lakini kukujibu kiufupi sana

All DM’s we have now they need to play double pivot. Thiago, Bajcetic and Endo are our DM. Another players who can play DM by forcing with circumstances (injuries, red card) ni Macca, Szoboszlai and Gravenberch. Twapasa kwenda na double pivot hata tukipata DM quality ya prime Fabinho better tukatumia Double Pivot.

Kuna makala huko juu aliandika MosDef kuhusu hii double pivot.

We need to playe double pivot kwa yeyote atakayecheza DM apewe ubavu mwingine
 
Dah
Aya yako ya juu imeniumiza Mkuu
Kusema Trent ni Liability


Kuhusu Gomez sijui labda kwa sababu sijui mpira
Ila mi sioni chochote kwa jamaa.

Gomez was good our heart in defense. 2018/2019 kwenye mechi 18 za mwanzo tulituhusu magoli 7 tu. Hapo kati alikuwa Gomez & VVD. Tukauanza mzunguko wa pili bila Gomez within 11 matches tukaruhusu goli 9 kama. Hapo alipata injury.

Since then hajarudi Gomez yule. Uoga wa kuumia umemjaa same to VVD since injury yake ile hajarejea tena
 
Kama nilivyosema, ule utatu wa hovyo Gakpo, Diaz, Salah umekufa rasmi

Sloz na Gapko hawapaswi kuwa pamoja uwanjani

Haujafaa they had played together kwa zaidi ya dk 25. Gakpo aliingia dk ya 65 akakutana na Szoboszlai wakakipiga wote.

Waangalia vipi mpira mkuu?? Na hiyo ni sign kwamba watakuwepo even next match vs Wolves namuona tena Gakpo akianza.
 
Dominik szoboszlai anapiga mpira unapiga kona, umeshawahi ona pira biliani?
 
Haujafaa they had played together kwa zaidi ya dk 25. Gakpo aliingia dk ya 65 akakutana na Szoboszlai wakakipiga wote.

Waangalia vipi mpira mkuu?? Na hiyo ni sign kwamba watakuwepo even next match vs Wolves namuona tena Gakpo akianza.
Diaz alitoka wakati Gakpo alipoingia, well walicheza Gakpo na Slozo pamoja lakini sio ule utatu wa hovyo, kumbuka aliingia JOTA
 
Simu underate Gakpo, ila eti mechi ipo tyt unatafuta goli unamwingiza Gakpo, hutalipata kamwe, yule labda kama jana mnahitaji kuposses zaidi ila sio kuwa threat

Gakpo sawa alicheza na Domi, ila sio katika ile pattern ya yeye salah na Diaz, hiyo pattern imekufa rasmi, otherwise kuwe na injuries nk, ila watu wako fit, klopp hawezi anza na hiyo pattern as i predicted yesterday
 
Simu underate Gakpo, ila eti mechi ipo tyt unatafuta goli unamwingiza Gakpo, hutalipata kamwe, yule labda kama jana mnahitaji kuposses zaidi ila sio kuwa threat

Gakpo sawa alicheza na Domi, ila sio katika ile pattern ya yeye salah na Diaz, hiyo pattern imekufa rasmi, otherwise kuwe na injuries nk, ila watu wako fit, klopp hawezi anza na hiyo pattern as i predicted yesterday
Unaangalia mpira katika one dimension
 
Simu underate Gakpo, ila eti mechi ipo tyt unatafuta goli unamwingiza Gakpo, hutalipata kamwe, yule labda kama jana mnahitaji kuposses zaidi ila sio kuwa threat

Gakpo sawa alicheza na Domi, ila sio katika ile pattern ya yeye salah na Diaz, hiyo pattern imekufa rasmi, otherwise kuwe na injuries nk, ila watu wako fit, klopp hawezi anza na hiyo pattern as i predicted yesterday
Unaongelea timu ipate injury crisis ndo aingie?! Wakati Msimu wa kwanza kwake tumeshinda Mechi nyingi tukiwa nae Kama regular starter kule mbele. Angekuwa Hana threat yoyote angesugua benchi. The Fact is Klopp anafanya rotation katika start up 11 ili kuwa na kikosi hatari zaidi na kuendana na aina ya mpinzani anayekutana nae... hushangai Pale City Silva anakaa benchi mda mwingine kwani Hana threat kwa mpinzani?!.
Nikukumbushe tu Pia LFC vs Manure 7 -0 , Leeds kala 6 with Gakpo upfront.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom