ReallyKwa maoni yangu liverpool wangechukua mzigo wa pesa. Kikosini tusingeona mapungufu yake. Kwa kuwa dirisha kwa saudi ni mpaka tarehe 7 mwezi huu, chochote kinaweza kutokea.
Wamuuzee tu. 200mls sio kitu cha masihara.
Nani kaona pengo la VvD? Gomez kacheza vizuri tu. Klopp nae aache kuwa mwoga.
Kwa maoni yangu liverpool wangechukua mzigo wa pesa. Kikosini tusingeona mapungufu yake. Kwa kuwa dirisha kwa saudi ni mpaka tarehe 7 mwezi huu, chochote kinaweza kutokea.
Wamuuzee tu. 200mls sio kitu cha masihara.
Kufa kabisaHuu utopolo unashinda yani nachukia kinyamaa![]()
HALAFU unamnunua nani?Ili kuziba pengo lake mkuu?MAANA sioni na dirisha lishafungwa...Salah asiuzwe,ninajua waarabu watarud Tena next Summer,nawashauri waje mapema MNOO...wamchukue,wasisubir jioniKwa maoni yangu liverpool wangechukua mzigo wa pesa. Kikosini tusingeona mapungufu yake. Kwa kuwa dirisha kwa saudi ni mpaka tarehe 7 mwezi huu, chochote kinaweza kutokea.
Wamuuzee tu. 200mls sio kitu cha masihara.
Pamoja sana ngoja niwahi ya manure united na watoto fc...🤜🤛Yacine tv Iko poa
Huu utopolo unashinda yani nachukia kinyamaa 🥺🥺
Na badoHuu utopolo unashinda yani nachukia kinyamaa![]()
Tutapambana nao!City tu ndio kikwazo kwetu msimu huu.
Kuna wachezaji wazuri tu wapoDominic skabosklai is the best player in the world right now
Umeona u ignore dm zangu mzeeNa bado
Mwaka huu timu lenu lililopo katikati ya daraja daraja linaporomoka