hjakalljcjxnxlhzkzmxjkxnx
Senior Member
- Jan 17, 2020
- 123
- 277
Nilifanikiwa kumwona Gakpo mechi kadhaa za Netherland alikuwa anauponda sana akicheza nyuma ya straika kuliko yeye akisimama moja kwa moja pale mbele
Washindwe kabisaHawa mashabiki wa LFC wanaosema Salah auzwe now, ndiyo watakuwa wa kwanza kumtukana Klopp, tukiwa tuna-struggle ku-create au kufunga goals, na mwisho kushindwa kumaliza kwenye UCL places.
DahTAA is a liability.
He's a very talented football player, but first and foremost he's a defender, anatakiwa a-develop zaidi upande wake wa defensive game kuliko offensive game, amekuwa akicheza at right back kwa muda sasa, na weaknesses zake bado ni zile zile, hajisumbui hata kujipa muda wa ku-work on his weaknesses, and you cant blame the coaches for these, it starts with him.
Ukiachana na matatizo yake ya injuries, Gomez is a very good defender, his spells kuanzia 2017-2020 at LFC, proved that, kama akifanikiwa ku-overcome his injury worries bado ni asset kubwa sana at the Club.
Yes, he's been struggling a lot, but injuries zime-play part kubwa sana kwenye kudumaza his progress.
Huwezi kumuita, CB ambaye ali-cement his starting place kwenye UCL and PL winning team at 22, alongside a world class CB (VVD) na kwenye kipindi ambacho Club ilikuwa on top of the world, M-BOVU.
He's 26 now, ameshaonesha ubora wake at the top level, ni suala la kumpa support, his recent interview inaonesha wazi kuwa he just needs support.
Mpira sio Ramli kesho ukija kuwaona usijeanza matusi.Kama nilivyosema, ule utatu wa hovyo Gakpo, Diaz, Salah umekufa rasmi
Sloz na Gapko hawapaswi kuwa pamoja uwanjani
Nenda Telegram search unacho kitakaKuna app gani naweza angalia mpira live kwnye simu wadau
Yani daaaaahHata kama alikuwa kwenye offside position huyu Matip ndiyo akose pale lakini?
Yacine tv Iko poaKuna app gani naweza angalia mpira live kwnye simu wadau
Huangalii mpiraHii game katikati wanatuweza sana sema tunawaua kwa mipira mirefu.
Ikitokea wameanza basi kuna mid mwingine atakua dropout, ila sio kwenye ule utatu tenaMpira sio Ramli kesho ukija kuwaona usijeanza matusi.
Kanusha kwa hoja acha porojoHuangalii mpira