Im sure Klopp kaweka Ngumu. Ila Salah bado atatoa msimu mzuri na pesa itakuwa nzuri tu coming summer. Tukichukua major trophies ataongezeka thamani.
My worry atakuwa amebakisha 1year kwenye mkataba wake huenda waarabu wakamsubiri wamchukue bure.
Hesabu zimechangwa fresh. Ile next summer ni must ataondoka.
We will get £150-200m next summer.
Clubs zaidi ya mbili kutoka Saudi, zitakuwa zinapigania his signature.
Its just his Agent, alikuwa anajaribu ku-force a deal now, kwaajili ya his last big payday, rules & caps za Agents zitakuwa regulated upya kuanzia next month nadhani au November.
Fees (%), za agents kutoka kwa players na Clubs zitakuwa stationed & established.
So pesa ambayo angepata Ramy now kama Salah angeenda Saudi ni kubwa sana, uzuri ni kuwa Salah stood firm, na siyo kama aliikataa proposal ya Saudi, alitoa green-light, but he was clear kuwa he wont force a move, so kama LFC waki-reject the bid, atabaki, and thats what happened.
Huwezi kuwa naive, kwa kutokuelewa kuwa, Saudi wasingebid £150m, bila kupata encouragment kutoka kwa Salah & especially his agent, tofauti ni kwamba Salah amegoma ku-force a move.
James Pearce, aliandika kwenye his latest article kuwa Saudi wame-turn Salah's head kwa offer ya £1.5m p/w, kwanza binadam yeyote angepagawa na hiyo offer, sembuse kwa mchezaji mwenye miaka 31 now ambaye ameshashinda kila kombe na kucheza kwa mafanikio kwenye his boyhood club? then kama Salah angekuwa amezuzuliwa na offer ya Saudi kama James anavyosema, lazima angezua tantrums kama za kina Countinho, Sterling, even Henderson, Henderson ambaye kutwa alikuwa anajifanya anapigania haki za Mashoga, kawekewa £700k p/w (without taxes), kawaacha gay scousers wote kwenye mataa, kwenda kucheza mpira kwenye nchi ambayo ina adhabu kali sana za mashoga na hazikubaliani kabisa na kile alichokuwa anajifanya kutetea kila siku.
Salah, wont force a move, though like any other human-being hapa duniani, hawezi kuifungia milango hiyo offer, the only way Salah anaweza kuondoka this summer (dirisha la saudi linafungwa tarehe 7), ni kama FSG watakubali kumuuza, na hii ni kama watamzunguka Klopp ambaye ameshaweka wazi kuwa HE IS NOT FOR SALE.