Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,158
- 17,057
Kwa mujibu wa gazeti la the sun, wakinukuliwa na goal.com, club ya Al ittihad ya Saudia Arabia wameongeza dau toka 150mls mpaka 215mls ili kumpata egipytian king Mo salah. Hili dau ni kubwa jamani kwa mchezaji aliyetumika na club kwa zaidi ya misimu 6. Liverpool wachukue hii hela.
Mambo ya sijui mbadala wake, hayana maana kwa kiasi hicho cha fedha. Real Madrid walimuuza CR7 kwenda Juve kwa 100mls akiwa na miaka 32 kama sio 31. Salah kwa sasa ana 31. Club imuuze wapate hiyo pesa tutanunua mbadala wake january.

kapoteza dira