Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Szobo is the type of player tumekuwa tukimuhitaji toka kpnd kirefu sana kwny mido tangu gerald aondoke na hapo ndipo city walikuwa wanatupipa bao maana wao wana KDB.

From todays game
First clean sheet.
Gomes kurudi katika ubora
Work ethic ya nunez
Na master class perfomance from szobo aisee tumewalipa hela kidogo RB leizberg kwa huyu mwamba
 
Captain fantastic yupo hai kweli?
Hakuna anaejua why Yuko kimyaa?
Hata mimi napata mashaka
Last time niliwasiliana naye alinambia yupo mbali kidogo
Ndio hajaonekana tena humu.


Hope he's doing well.
Kiukweli nimemmiss sana,hili jukwaa kuingia bila kumuona Bobby yaani sijui hata najisikiaje.
 
Hata mimi napata mashaka
Last time niliwasiliana naye alinambia yupo mbali kidogo
Ndio hajaonekana tena humu.


Hope he's doing well.
Kiukweli nimemmiss sana,hili jukwaa kuingia bila kumuona Bobby yaani sijui hata najisikiaje.

Au wewe umemkimbiza?😆
 
Bobby si Ana I'd mbili

Jf ina mambo mengi sana ndugu yangu
Usikute mimi ni bob

Au bob ndo mosdef au mosdef ndo mm na bob
Ah wapi
Bobby sidhani kama ana ID ingine.
Na MosDef sidhani
Watu wawili tofauti hao.
Def yupo, Bobby hayupo.

Wengine mliobaki mnaweza mkawa nazo 2 2 ila hao wawili hapana kwa kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom