Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Shida sio Anfield shida ni watetezi wetu kule nyuma. Gomez na Anorld at the same side RB &RCB?? No way Gomez akarecover makosa ya Anorld?... huyu jamaa simuamini 2 vs 1. Hata 1 to 1 anachomesha
Gomez huwa mnamu-underrate sana kwenye recovery pace, thats his main strength, na ukiachana na VVD, ndiyo CB mwenye on-ball ability nzuri.

But i wont be suprised kama atakuwa scapegoat kwa makosa ya wazi ya TAA.

Hakutakuwa na VVD or Konate, but we wont lose kwa Aston Villa.
 
Hincapie

We had talks with Bayer, but it was too late in the window, Bayer were not ready to sunction a deal, unless kama ingekuwa ni big offer, and numbers ambazo tulikuwa quoted zilikuwa well beyond our valuation kuhusiana na Hincapie, same kabisa na kwa Cheick Doucoure wa Crystal Palace.

Ngoja, tuone January, it seems Klopp ameamua kumuamini Jarell, for now.

Yeah we were late too, to start negotiation deadline ni kipindi kigumu kupata quality and key player wa team nyingi. Mara nyingi akiwa quality kocha atakuwa ametoa maoni yake na kumtafuta mbadala wake au unakuta hayupo kwenye mipango ya kocha pia.

Janury itategemea na kinda performance, results and injuries tutakayokuwa nayo. But January ni kipindi kizuri sokoni hakuna makelele mengi ya demands unaweza kupata good players.
 
Jamaa anamuongela Grav hapo kama ni 6.

Grav siyo 6 kabisa.

Na suala la young players ku-make wrong moves ni kawaida sana kwenye mpira, hakupata nafasi at Bayern, na hiyo siyo kwamba potential yake imekufa, he's still 21, ana room kubwa sana ya kuendelea ku-improve.

Mie nimetofautiana nae kwenye average player, he is so good kiasi bayern wakaona uzuri wake.

As 6. Is not Good especially as a lone 6.
 
Shida sio Anfield shida ni watetezi wetu kule nyuma. Gomez na Anorld at the same side RB &RCB?? No way Gomez akarecover makosa ya Anorld?... huyu jamaa simuamini 2 vs 1. Hata 1 to 1 anachomesha

It all depends with the tactics and other players waneza kuchoma moja tukafunga 2 tayari ushindi.

Of course kwa Taa pamekuwa uchochora kitambo sasa lkn Klopp bado anamuamini sana. Wakati anaendeleza makosa yale yale yanayoruhusu magoli.

Na TAA is more offensive player than defensive. Better Klopp angeamua kumpa jukumu la kiungo moja kwa moja. Maana kuwa nae as inverted ndio kabisa kumefanya azidi kuharibu.
 
Andre atakuwa ni good addition, kama tukiamua kurudi january, but kama Mbappe ataenda Madrid next summer, nadhani tunaweza tukapata room ya ku-negotiate na Tchou camp again, na pia i can see us going back for Doucoure in the near future.

Nadhani, kwa asilimia kubwa sana, january addition itakuwa ni CB, na my money is on Hincapie, we had 3-4 days talks na Bayer kuhusiana na his file, wont be suprised kama tukirudi.

We have 1 NHG position left. I think January we will get CB or DM, bado naamini itategemeana na tutakuwa vipi mpaka january, upande wa kiwango as a team and individual, matokeo na majeruhi pia.

Coming summer itakuwa replacements za Thiago, Matip as free agents and Salah (akiondoka kwa dau zuri itakuwa huge boost kufanya marekebisho sehemu kubwa sana).
 
Why hajawahi kuaminika pale Baryen ,ikafika hatua had Tuchel akasema baryen haina no.6

Wameenda had kutoa £60m kwa João Palhina

Huo Ni average player tu

Kama baryen walikuwa wanahaha kusaka a super DM , kwanini hawakumuamin huyo dogo
Acha kuwashwawashwa kuzunguka majukwaa ya watu,mbona unalazimisha kutundikwa mimba??
 
Mimi nampa tahadhari klopp, akianza na Gakpo, Salah, Diaz, pale mbele hatutoboi

Inabidi Gakpo ampishe Jota au Nunez

Gakpo na SlZb hawatakiwi kuanza pamoja.

Kati iwe Macca, Szobo/Gapko Endo

Utatu wa salah, Diaz , Gakpo hauna dangerous threats kwa wapinzani

Trio ya Diaz Nunez Salah nzuri sana..!!

Gakpo amecheza chini sana last three matches. Klopp akubali kwanza Gakpo is not bobby ndipo atapata ubora wa Gakpo.
 
Mimi nampa tahadhari klopp, akianza na Gakpo, Salah, Diaz, pale mbele hatutoboi

Inabidi Gakpo ampishe Jota au Nunez

Gakpo na SlZb hawatakiwi kuanza pamoja.

Kati iwe Macca, Szobo/Gapko Endo

Utatu wa salah, Diaz , Gakpo hauna dangerous threats kwa wapinzani

Boss hebu iweke kitaalamu/kimpira zaidi kuhusu weakness ya combo ya Diaz/Gapko/Salah na ubora wa combo ya Diaz/Nunez-Jota/Salah ili tuweze kuchangia kwenye facts zako.
Lakini ukiwacha kama ulivyoandika imekaa kihisia zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom