Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dominik Szobozslai
Alexis Mac Allister
Wataru Endo
Ryan Gravenbech

I'd say we have managed to replace Henderson, Keita, Ox & Milner.

We havent replaced output ya Fabinho, but sometimes huwezi kupata kila kitu kwa wakati mmoja.

Swali ni je, tutajutia along the way (msimu huu), kutoziba/replace massive output ya Fabinho? i'd say yes, BUT kufanikiwa kufanya a huge upgrade kwa kina Henderson, Keita, Ox, Milner na hizi new signings kunaweza kukafanya tusione pengo kubwa la Fabinho at 6, we have signed good, strong, powerful and talented young MFs, so itakuwa ngumu kutokuwa excited. ukiachana na bodies kwenye MF, tume-sign players with good fitness records, which is a huge bonus.

I really, really, really wanted a 6 this season, and a CB (Left footed), but transfer window imepita, & hatuja-sign a DM na LCB, so nikianza ku-complain nitakuwa sitendei haki hizi new siginings, ambazo zina mengi ya ku-prove, so personally nita-support hizi new signings, na kikubwa zaidi, ni kuwa Klopp amefanikiwa kupata his first targets (Szo, Macca, Ryan), & pia amepata his utility player kama Milner (Endo).
.
Its actually pointless kulalamika now, wakati tayari dirisha lishafungwa, i'm. just happy Szo & Macca are at LFC, and at least the club have managed to replace our deadwoods with very good players.

Thiago Alcantara
Wataru Endo
Alexis Mac Allister
Dominik SzoboZslai
Ryan Gravenbech
Stefan Bajcetic
Curtis Jones
Harvey Elliott

Thats a good MF, only Thiago & Wataru are above 24, we have got a young & hingry MF, wakiwa na kitu cha ku-prove.

So, i'll put the Transfer window business behind me, and kuanza ku-enjoy msimu, i believe the coaching staff wana clear plan na jinsi watakavyo-structure the whole MF.
 
Thiago si WA kumuhesabia. Hawezi kukupa mechi 5 straight lazima aende mwaisela. Jones akiacha utoto atakuwa fresh tu. Wengine wapya let's give them time. Ila matajiri naona wanamezea mate hela ya mwarabu kwa Salah.
 
So Gravenbech is not a 6, he's a natural 8, a box 2 box MF.

But, kwa traits alizonazo, its not that hard kum-coach kama a second 6 kwenye pivot.

A strong press resistant
A top class ball carrier
A good defender of the ball
A duel monster (ground & Aerial)
Mobile
Good possessional play/ability.

He's not good kwenye his off-ball play/ability, hence it wont be ideal, kumuanzisha/coach kama a lone DM, see, Ryan kwa hizi qualities, na kama Klopp anataka kum-shape, na kutumia his qualities na ku-shape his defensive presence in the midfield, itakuwa vizuri kama akitumia a double pivot.

I mean kama tutataendelea kutumia a box midfield setup, which siyo ideal kabisa, kutokana na lack of profiles, tunaweza kutumia 3313, instead ya 3223, 3223 formation ina-limit room ya flexibility kwenye MF, hata kama Trent atakuwa ana invert, it means bado tutakuwa light sana kwenye MF, as tutakuwa hatuna bodies kwenye deeper areas, 3313 inasaidia kiasi, because with Trent inverting at the tip of the back 3, with 3 MFs infront of him (Macca/Thiago/Endo-Gravenbech/Jones/Endo-Szo/Elliott) ni safe na rahisi zaidi ku-retain possession, as Macca/Thiago/Grav/Endo/Jones, watakuwa na urahisi wa ku-drop chini kutengeneza shape ya 2-4 kusaidia katika ku-defend mashambulizi, ku-retain possession.

Ideally, with Grav, nadhani its eaither turudi kwenye 4231, au tu-switch kabisa kwenda 4222, na nadhani, 4222 ndiyo the best formation now kutokana na players tuliowa-sign, a double pivot of Endo+Grav and Macca & Szo as two 8s up the pitch, it remains to be seen kama Klopp atakuwa tayari kum-drop Diaz/Gakpo/Jota or Nunez, as Salah is a straight starter, as 4222, inahitaji 2 attacking bodies upfront, and Salah (a primary creator) na Nunez (a good runner/receiver), wanafaa sana.

Theres 541 pia, theres 424, theres 442, theres 4241, etc, ni formations and shapes ambazo zinaweza ku-accomodate our attacking force, na pia the whole new MF interchangeably.

I think, Klopp will try to stick kwenye box MF for now, or switch up to 433/4231, but the bottom line, we need to move away from fielding a lone DM, hii shape inaanza kupitwa na wakati, the best DM in the world right now (Rodri), anacheza kwenye pivot, we destoyed and dried Fabinhi physical presence kwasababu ya kum-deploy as a lone DM ten with 8s ambao hawa qualities za kumiliki/hold the ball, lone DM can be good kama unacheza passive/attacking football to the maxmum, but teams zina-evolve now, midtable teams now pia zinasajili high profiled/skilled techinicians, ambayo inawapa room ya kucheza counter football au possession oriented football, so sometimes inakuwa hard kucheza nao kama ukiamua kuwa explicit or blunt kwenye ku-attack na ku-retain mipira.

Deploying a pivot, should be the only way forward now, we need to evolve.
 
Thiago si WA kumuhesabia. Hawezi kukupa mechi 5 straight lazima aende mwaisela. Jones akiacha utoto atakuwa fresh tu. Wengine wapya let's give them time. Ila matajiri naona wanamezea mate hela ya mwarabu kwa Salah.

Thiago is still our best MF kwenye team, having him hata kwa games 15 now, ni huge bonus.

A fit Thiago anakupa ana very different dimension, hatuna controller/passer kama yeye, his on & off ball ability itasaidia sana kwenye hii MF ya sasa.

Na vizuri tuna fit MFs now, so atakuwa anapata muda mrefu sana wa kupumzika.
 
MosDef

We are on Piere Hincapie deal. Your player.

Lets see if we can seal his signature

Hincapie

We had talks with Bayer, but it was too late in the window, Bayer were not ready to sunction a deal, unless kama ingekuwa ni big offer, and numbers ambazo tulikuwa quoted zilikuwa well beyond our valuation kuhusiana na Hincapie, same kabisa na kwa Cheick Doucoure wa Crystal Palace.

Ngoja, tuone January, it seems Klopp ameamua kumuamini Jarell, for now.
 
Unai Emery anakuja kutudhalilisha Gemu ijayo Kashaona wapi pa kutubana kupitia Gem ya St James Park. Na akimpanga Trent na Gomez upande mmoja Ndo Kibanda kitaungua mapema tu. Football ni mchezo wa makosa na hizi wiki takriban 3 ambazo tutaongozwa na mchomeshaji is the worst moment ever.

Aston Villa, wont beat us at Anfield.
 
Ryan Gravenbech, is not a panic buy, na wala siyo signing ya Pep Lijnders, i have been so hard on the coaching staff this whole week, but tulianza kum-track Grav tangu anaaza kupata his breakthrough at 16 pale Ajax, Edwards & Graham were the big admirers, this was when kabla hatujaanza kuwa obsessed na Jude, maana baadae he was seen kama Jude alternative, but when we got encouragment from Jude's side, we decided to close his file for a while, which was a big mistake (ni kawaida ya LFC).

His time at Bayern wasnt good at all, it happens, tumeshuhudia wachezaji wengi wakifanya wrong moves kwenye their careers, but kikubwa zaidi ni his potential, and the fact kuwa he's still 21.

Tulifungua file la Grav, mwanzoni kabisa mwa Transfer window, but Bayern refused to talk, our initial targets kwa msimu huu, baada ya Jude's file kufungwa, Nunes files kufungwa baada ya Wolves kuondoa his exit clause, na kabla hatujajua kuwa Fabinho anaondoka, ilikuwa ni Mac Allister, Mount/Thuram, Gravenbech & a young 6 and a young CB (range ya miaka 18-20),

Bayern, refused to talk mwanzo wa msimu, na hakukuwa na encouragment, Fabinho decided to leave, ukiachana na Fab, wenzake wanne pia wakaondoka (Hendo, Keita, Ox, Milner), so we started with Macca, then tulivyoona file la Mount linaaza kuwa na mambo mengi, we moved kwa Thuram, but Nice nao wakawa wana-state Valuation ambazo hazina mashiko (huwezi kuwalaumu) walikuwa wana-demand £55-60m, then we got tipped kuwa Szo is availabe and Newcastle were trying to negotiate a deal, tukafungua file la Szo, na Leipzig wakatuambia kuna RC, ambayo unatakiwa ilipe yote kwa pamoja (£60m), hakukuwa na room ya negotiation, na kulikuwa kuna deadline ya hii RC, maana deadline ikipita, ingekuwa ni free auction kwa Leipzig, na Clubs kibao zilishaanza kusogea, it means deadline ya RC ingepita, Leipzig wange-start a bidding war, na lazima wange-demand si chini ya £100m, so we decided to act fast, ambapo FSG waliamua kutumia a third party (Mkopo wa bank), ku-trigger RC ya Szo, na kulipa the whole amount, kama mnakumbuka, tuli-trigger hii RC siku ya mwisho kabisa.

So, moving kwa Szo, tukaachana na file la Thuram, but signing Szo ilikuwa ni chance ambayo tusingeweza kui-turn down, maana tungechelewa, achana na Newcastle, Man City wangepita nae kwa haraka sana, maana ni typical mrithi wa KDB, uzuri ni kwamba wakati tunahangaika na Szo, wenyewe pia walikuwa wanahangaika na Josko behind the scenes pale pale Leipzig.

so Fabinho, kuondoka, kukabadilisha plan, kwenye upande wa DM, nilisema hapa tangu mwanzo kuwa scouts had to convince Klopp kuhusiana na file la Lavia, na kuondoka kwa Fabinho, kukabadilisha mindset ya Klopp, as akaona we dont need a project 6, tunahitaji zaidi ya hapo, hence that bid kwa Caicedo, which at the end of day ikaharibu our whole transfer window upande wa DM, because clubs zikaanza kutu-quote stupid money (huwezi kuwalaumu), we looked at Doucoure, Flo Luis etc, but valuation zilikuwa high sana, asked for Andre, and we were quoted a RC/buyout clause for this summer, having already paid two buyout/RCs for Macca & Szo, ilikuwa ngumu kufanya business inayohusisha another RC, so tukawa tunajaribu ku-negotiate a reasonable fee.

The Bayern called, 2 weeks ago, ready to talk, hence suala la Andre likarudi kuwa kimya kidogo, Klopp and the coaching staff had to take their chances on Grav.

Endo can prove to be a smart signing, kama atafanikiwa ku-step up kwenye ile 6 role for now.

At the end of the day, Transfer window, haijaenda kama tunavyotaka, lack of a starting typical 6 and a CB, but Club imefanikiwa ku-sign first choices zote, and ngoja tuone Klopp na Ljinders wanafikiria nini kuhusu hole ya kwenye MF, hasa upande wa number 6, hatuwezi kulalamika now, imeshatokea, cha msingi ni ku-evaluate formations/shapes ambazo zitawasaidia kina Endo, Grav na wenzake kuwa na impact kubwa kwenye team.
 
Why hajawahi kuaminika pale Baryen ,ikafika hatua had Tuchel akasema baryen haina no.6

Wameenda had kutoa £60m kwa João Palhina

Huo Ni average player tu

Kama baryen walikuwa wanahaha kusaka a super DM , kwanini hawakumuamin huyo dogo

Mkuu nijibu hili swali na utalipata jibu.

Mpaka Bayern akusajili watakuwa wameridhishwa na uwezo wako. Je unaamini Bayern walisajili avarage player?
 
Dominik Szobozslai
Alexis Mac Allister
Wataru Endo
Ryan Gravenbech

I'd say we have managed to replace Henderson, Keita, Ox & Milner.

We havent replaced output ya Fabinho, but sometimes huwezi kupata kila kitu kwa wakati mmoja.

Swali ni je, tutajutia along the way (msimu huu), kutoziba/replace massive output ya Fabinho? i'd say yes, BUT kufanikiwa kufanya a huge upgrade kwa kina Henderson, Keita, Ox, Milner na hizi new signings kunaweza kukafanya tusione pengo kubwa la Fabinho at 6, we have signed good, strong, powerful and talented young MFs, so itakuwa ngumu kutokuwa excited. ukiachana na bodies kwenye MF, tume-sign players with good fitness records, which is a huge bonus.

I really, really, really wanted a 6 this season, and a CB (Left footed), but transfer window imepita, & hatuja-sign a DM na LCB, so nikianza ku-complain nitakuwa sitendei haki hizi new siginings, ambazo zina mengi ya ku-prove, so personally nita-support hizi new signings, na kikubwa zaidi, ni kuwa Klopp amefanikiwa kupata his first targets (Szo, Macca, Ryan), & pia amepata his utility player kama Milner (Endo).
.
Its actually pointless kulalamika now, wakati tayari dirisha lishafungwa, i'm. just happy Szo & Macca are at LFC, and at least the club have managed to replace our deadwoods with very good players.

Thiago Alcantara
Wataru Endo
Alexis Mac Allister
Dominik SzoboZslai
Ryan Gravenbech
Stefan Bajcetic
Curtis Jones
Harvey Elliott

Thats a good MF, only Thiago & Wataru are above 24, we have got a young & hingry MF, wakiwa na kitu cha ku-prove.

So, i'll put the Transfer window business behind me, and kuanza ku-enjoy msimu, i believe the coaching staff wana clear plan na jinsi watakavyo-structure the whole MF.

Disappointed too kwa nini hatujaenda kupata DM & CB (LCB) this summer. Ila hizi MFs zimefanya nijifeel comfortable sana bila hizi demanded signings.

I wish tumpate Andre on January bei nafuu sana £19m, quality one.

Nina imani kubwa tutakuwa na msimu mzuri with this young MF’s, Bajcetic will come good akizungukwa na hizi talents he can do more wonders.

Im rating highly Quansah, Doak and Bajcetic kushine this season. Pressure yetu kubwa ipo EPL as long as we are in UEL they will get huge gametime its up to Klopp to trust them.

They way we didn’t replace Coutinho and Conquer without him than with him, we will do the same this season without DM but Wataru, Bajcetic and Thiago will give us some good game to enjoy.

Tusubiri tuone, Klopp atafanya nini na signing zake.
 
Mkuu nijibu hili swali na utalipata jibu.

Mpaka Bayern akusajili watakuwa wameridhishwa na uwezo wako. Je unaamini Bayern walisajili avarage player?

Jamaa anamuongela Grav hapo kama ni 6.

Grav siyo 6 kabisa.

Na suala la young players ku-make wrong moves ni kawaida sana kwenye mpira, hakupata nafasi at Bayern, na hiyo siyo kwamba potential yake imekufa, he's still 21, ana room kubwa sana ya kuendelea ku-improve.
 
Aston Villa, wont beat us at Anfield.
Shida sio Anfield shida ni watetezi wetu kule nyuma. Gomez na Anorld at the same side RB &RCB?? No way Gomez akarecover makosa ya Anorld?... huyu jamaa simuamini 2 vs 1. Hata 1 to 1 anachomesha
 
Thiago si WA kumuhesabia. Hawezi kukupa mechi 5 straight lazima aende mwaisela. Jones akiacha utoto atakuwa fresh tu. Wengine wapya let's give them time. Ila matajiri naona wanamezea mate hela ya mwarabu kwa Salah.

Im sure Klopp kaweka Ngumu. Ila Salah bado atatoa msimu mzuri na pesa itakuwa nzuri tu coming summer. Tukichukua major trophies ataongezeka thamani.

My worry atakuwa amebakisha 1year kwenye mkataba wake huenda waarabu wakamsubiri wamchukue bure.

Hesabu zimechangwa fresh. Ile next summer ni must ataondoka.
 
Disappointed too kwa nini hatujaenda kupata DM & CB (LCB) this summer. Ila hizi MFs zimefanya nijifeel comfortable sana bila hizi demanded signings.

I wish tumpate Andre on January bei nafuu sana £19m, quality one.

Nina imani kubwa tutakuwa na msimu mzuri with this young MF’s, Bajcetic will come good akizungukwa na hizi talents he can do more wonders.

Im rating highly Quansah, Doak and Bajcetic kushine this season. Pressure yetu kubwa ipo EPL as long as we are in UEL they will get huge gametime its up to Klopp to trust them.

They way we didn’t replace Coutinho and Conquer without him than with him, we will do the same this season without DM but Wataru, Bajcetic and Thiago will give us some good game to enjoy.

Tusubiri tuone, Klopp atafanya nini na signing zake.

Andre atakuwa ni good addition, kama tukiamua kurudi january, but kama Mbappe ataenda Madrid next summer, nadhani tunaweza tukapata room ya ku-negotiate na Tchou camp again, na pia i can see us going back for Doucoure in the near future.

Nadhani, kwa asilimia kubwa sana, january addition itakuwa ni CB, na my money is on Hincapie, we had 3-4 days talks na Bayer kuhusiana na his file, wont be suprised kama tukirudi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom