Mashabiki wa manjesta bhna ...haya sisi anacheza dhumna je hayo mashati yenu yanacheza Nini?Hio Gabechi mliyosajili mna uhakika kweli ni mchezaji wa footbal?
Msije kua mmesajili mcheza dhumna halafu mkaanza makasiriko mbele ya safari.
Manjesta hao wamempata amrabat wanaona wamemalizaChief wewe ni mshabiki kweli wa mpira wa miguu au mbetiji wa mikeka yaani unaangaliaga hata mpira na kufwatilia nausimjue gravenberch pale buyern au wakt yuko ajax shuhuli aliyekuwa anaifanya. Huyu dogo ni germ kwa umri wake na uwezo aliyekuwa nao atakuwa balaa with time

.. timu imejaa majokeliUnafatilia vizuri? Bayern walikuwa wamezuia kuingia sokoni kwa palhina Mpaka wapate $ kutoka Liverpool (Ryan) bila hivyo wasingeenda kwa palhina. Je Arsenal Kuna Top players wangapi? Au Rice nae ni Top player?!!! SmhWhy hajawahi kuaminika pale Baryen ,ikafika hatua had Tuchel akasema baryen haina no.6
Wameenda had kutoa £60m kwa João Palhina
Huo Ni average player tu
Kama baryen walikuwa wanahaha kusaka a super DM , kwanini hawakumuamin huyo dogo

Kama Salah alienda Chelsea akatolewa kwa mkopo fiorentina na Roma sababu hakuaminika Leo hii kafanya mangapi alipo na kwanini alishindwa kuyafanya akiwa Chelsea?!!! Kweli Kuna ushabiki mwingine jau sana.Why hajawahi kuaminika pale Baryen ,ikafika hatua had Tuchel akasema baryen haina no.6
Wameenda had kutoa £60m kwa João Palhina
Huo Ni average player tu
Kama baryen walikuwa wanahaha kusaka a super DM , kwanini hawakumuamin huyo dogo
Kufanya maamuzi haya unatakiwa uwe Mental healthy.....umejiuliza tukipokea hiyo 100+ na mda huu tutapata mtu yupi na wapi wa kuziba gap lake?!! Akili mwanetu.BREAKING: Liverpool have rejected a £150m bid from Al Ittihad for Mo Salah.
Liverpool tuchukue hii hela lasi hivyo Salah atatembea as free agent.
makasiriko ya Nini?subiri akiwa lfc ndio uanze makasiriko Yako...Why hajawahi kuaminika pale Baryen ,ikafika hatua had Tuchel akasema baryen haina no.6
Wameenda had kutoa £60m kwa João Palhina
Huo Ni average player tu
Kama baryen walikuwa wanahaha kusaka a super DM , kwanini hawakumuamin huyo dogo
Huyo jamaa ni aseno asiyejitambua,yaan ana mahaba yaliyopitiliza...kwake yeye tomiyasu ni bonge la mchezaji DUNIA HAKUNA KAMA YEYEKama Salah alienda Chelsea akatolewa kwa mkopo fiorentina na Roma sababu hakuaminika Leo hii kafanya mangapi alipo na kwanini alishindwa kuyafanya akiwa Chelsea?!!! Kweli Kuna ushabiki mwingine jau sana.
Tomiyasu!!! Give me a breakHuyo jamaa ni aseno asiyejitambua,yaan ana mahaba yaliyopitiliza...kwake yeye tomiyasu ni bonge la mchezaji DUNIA HAKUNA KAMA YEYE

200 tuichukue tu tutamuachia freeKufanya maamuzi haya unatakiwa uwe Mental healthy.....umejiuliza tukipokea hiyo 100+ na mda huu tutapata mtu yupi na wapi wa kuziba gap lake?!! Akili mwanetu.


Tunae Doak na Elliott hapo faster faster tunambeba Cheik na faster tunachukua CB kama magoli yatapatikana tuKufanya maamuzi haya unatakiwa uwe Mental healthy.....umejiuliza tukipokea hiyo 100+ na mda huu tutapata mtu yupi na wapi wa kuziba gap lake?!! Akili mwanetu.

Wangekuja mwanzoni mwa dirisha sawa wangekuwa reasonable lakin mda huu Hawa Sasa watakuwa wametumwa

Doak na Elliott wakuletee magoli 20+ wataweza? Hata wajikusanye wote wawili hamna kitu huyo Doak Bado anahitaji mda kukomaa.Tunae Doak na Elliott hapo faster faster tunambeba Cheik na faster tunachukua CB kama magoli yatapatikana tu![]()
Hapo kwenye doak kuna ukweli maana dogo ni wamotoTunae Doak na Elliott hapo faster faster tunambeba Cheik na faster tunachukua CB kama magoli yatapatikana tu![]()
Mda atakao pewa ataendelea kukomaa hivyo hivyo kwani akina Salah walianzaje sikwa gametime?Doak na Elliott wakuletee magoli 20+ wataweza? Hata wajikusanye wote wawili hamna kitu huyo Doak Bado anahitaji mda kukomaa.
Salah alikuwa Alishakomaa kitambo ndo maana msimu wa kwanza tu EPL aka-click fasta.Mda atakao pewa ataendelea kukomaa hivyo hivyo kwani akina Salah walianzaje sikwa gametime?
