Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 6,273
- 10,123
Tutaongoza groupGroup L UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Liverpool
Getafe
Sasuolo
Malmo FF
Tutaongoza groupGroup L UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Liverpool
Getafe
Sasuolo
Malmo FF
Salam Code 911🤪acha uchawi dogo
Cover your trails prince_yedder the world ain't as before. I'm out ☝️🤓umetisha Tuishi humo
Huyu ni namba nane mlinzi imara bado hapoMwisho wa siku MAC ALLISTER, ENDO, SZOBOSZLAI And GRAVENBERCH ni Better Midfield option than Henderson ,Keita, OX, Milner and Fabinho.
Mwisho wa siku MAC ALLISTER, ENDO, SZOBOSZLAI And GRAVENBERCH ni Better Midfield option than Henderson ,Keita, OX, Milner and Fabinho.


Hio Gabechi mliyosajili mna uhakika kweli ni mchezaji wa footbal? Chief wewe ni mshabiki kweli wa mpira wa miguu au mbetiji wa mikeka yaani unaangaliaga hata mpira na kufwatilia nausimjue gravenberch pale buyern au wakt yuko ajax shuhuli aliyekuwa anaifanya. Huyu dogo ni germ kwa umri wake na uwezo aliyekuwa nao atakuwa balaa with timeHio Gabechi mliyosajili mna uhakika kweli ni mchezaji wa footbal?
Msije kua mmesajili mcheza dhumna halafu mkaanza makasiriko mbele ya safari.
Kabeji?Hio Gabechi mliyosajili mna uhakika kweli ni mchezaji wa footbal?
Msije kua mmesajili mcheza dhumna halafu mkaanza makasiriko mbele ya safari.
Why hajawahi kuaminika pale Baryen ,ikafika hatua had Tuchel akasema baryen haina no.6Chief wewe ni mshabiki kweli wa mpira wa miguu au mbetiji wa mikeka yaani unaangaliaga hata mpira na kufwatilia nausimjue gravenberch pale buyern au wakt yuko ajax shuhuli aliyekuwa anaifanya. Huyu dogo ni germ kwa umri wake na uwezo aliyekuwa nao atakuwa balaa with time
We jamaa banah mchezaji akisajiliwa na Arsenal, mmepata mchezaji wakisajili wengine, wamepigwa.Why hajawahi kuaminika pale Baryen ,ikafika hatua had Tuchel akasema baryen haina no.6
Wameenda had kutoa £60m kwa João Palhina
Huo Ni average player tu
Kama baryen walikuwa wanahaha kusaka a super DM , kwanini hawakumuamin huyo dogo
Why hajawahi kuaminika pale Baryen ,ikafika hatua had Tuchel akasema baryen haina no.6
Wameenda had kutoa £60m kwa João Palhina
Huo Ni average player tu
Kama baryen walikuwa wanahaha kusaka a super DM , kwanini hawakumuamin huyo dogo


Sasa mchezaji mwenyewe anaitwa Gabechi hajulikani kama ni mboga au kachumbali unaanzaje anzaje kumuamini mchezaji huyo kwenye timu kubwa kama Baryen?