Nunez ni explosive ST, siyo ST kama Firmino, Benzema, Kane, Toney, Gakpo, Jota, Jesus etc, ni aina ya Drogba, Haaland, Diego Costa etc, link-up play/hold-up play siyo his cup of tea, main strengh ni pace/positional play/attacking the box.
Haaland ana-thrive at City, because his team ina uwezo wa ku-sustain possession/umiliki na pressure, so ni rahisi kumtengezea chances au kuwa na uwezo wa ku-receive mipira through different channels/phases.
At LFC, mpira tunaocheza sasa ni very passive, hatuna retainer/recycler kwenye MF, retaining possession au ku-control majority ya mchezo huwa inakuwa ngumu, hence inakuwa ngumu kwa Nunez ku-settle in, na inambidi ajitahidi kubadilisha his playing style, which ni ngumu, Klopp is trying to shape him taratibu, na ndiyo maana huwa anamchezesha sana as LW ili kujaribu kutengeza ability yake ya hold-up play/link-up play, and hakuna aibu yeyote, because the best striker in the league, Haaland, weakness yake ni hold-up play, huwa anajitahidi sana kwenye link-up, kama team anazocheza nazo zinakuwa open kwenye transition.
Now, Nunez kuanza ni ngumu, because tuna-play a very direct/passive football, hatuna holding MF, last 2 games Klopp started with Macca as a 6, Szo & Gakpo as 8s, lengo la kumuanzisha Gakpo as Left 8, ni uwezo wake wa ku-hold/possessional play, which inasaidia ku-retain mipira hata ka muda mfupi, na kwa mantiki hiyo unahitaji kuanza na STs ambae ni good at hold-up play, STs ambaye anaweza kukaa na mpira/ku-force possession high up the pitch ili kutoa breather kwa the whole team, kutengeneza shapes/rooms za kukabiliana na lack of sustanaible pressure-control & counters, so you cant start Nunez now, kwasababu ana glaring weakness kwenye suala la hold up/possessional play na hatuna a 6/holder ambaye anaweza kuziba his traits through the middle, Nunez akiwa anapoteza mipira mara kwa mara up the pitch itakuwa ngumu sana kwetu ku-sustain mashambulizi/counters, kwasababu hatuna mtu wa ku-retain au ku-win 2nd balls from the middle, ndiyo maana inakuwa ngumu sana kuanza na Nunez now, tunaanza na Jota up top because he's a good presser, though link-up play yake ni mbaya, but ni very good presser, tofauti na Nunez.
But, hizo weaknesses zipo kwa kila orthodox ST, Guardiola had to change his whole set-up ili ku-accomodate weaknesses za Haaland.
Nunez is a good goal scorer na he will get his time, pia ni signing ambayo Klopp mwenyewe aliitaka na kui-force, he's still 22 na kila siku anazidi ku-improve his playing style, give him time.
Nasema kila muda hili, but now we have 2 world class 8s ambao wana kila aina ya ubora, kuna vitu vichache sana ambavyo tunatakiwa tuviongeze kwenye team, ili ikae sawa and ready to compete again.