Tafuta dikshenariJamani na nyie mnaochanganya vimalkia kwenye maelezo jitahidini msitumie misamiati migumu sana au abbreviations.Wengine humu tunajifunza uchambuzi ili tukateme madini huku ground.
Hoja ujibiwa kwa hoja masta
Ukiona umeanza kum-attack mtoa hoja badala ya hoja ujue umeishiwa.
Jamani na nyie mnaochanganya vimalkia kwenye maelezo jitahidini msitumie misamiati migumu sana au abbreviations.Wengine humu tunajifunza uchambuzi ili tukateme madini huku ground.




kweli aseeHuu ndo uchawi wenyewe babu, watu tulikuwa tunataka points 3 muhimu na tumepata, sasa wewe endelea kuwangaIla Liver Jana mmenishangaza sana yaani timu inashindwa kupiga hata pass 3 sahihi? Pass 2 mpira umepotea kulikoni?
Point 3 za kimazabe, nyie wenyewe mpaka sasa hamuelew hizo point 3 imekuwaje mkazibeba kiufupi mmeokota embe chini ya mnazi.Huu ndo uchawi wenyewe babu, watu tulikuwa tunataka points 3 muhimu na tumepata, sasa wewe endelea kuwanga
Wewe ndo huelewi, sisi tunaelewa tumezipata baada ya kupiga chuma 2 Safi kabisa na za maana wao wakabaki na lao 1 tu hivyo halikutosha kwetuPoint 3 za kimazabe, nyie wenyewe mpaka sasa hamuelew hizo point 3 imekuwaje mkazibeba kiufupi mmeokota embe chini ya mnazi.
Sishangai ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapoHauna hoja yyt zaidi ya kioja!
Jamani kocha wa Liverpool ana uwezo mkubwa sana wa maarifa ya soka,wewe kumkosoa ni kichekesho tu



Haituhusu sisi ila tunacho kijua point 3 tunazoPoint 3 za kimazabe, nyie wenyewe mpaka sasa hamuelew hizo point 3 imekuwaje mkazibeba kiufupi mmeokota embe chini ya mnazi.
Wivu TUPoint 3 za kimazabe, nyie wenyewe mpaka sasa hamuelew hizo point 3 imekuwaje mkazibeba kiufupi mmeokota embe chini ya mnazi.
Kucheza karibia dakika 60 tukiwa pungufu na bado tukashinda kwa gemu ngumu vile sio kazi ya kitotoPoint 3 za kimazabe, nyie wenyewe mpaka sasa hamuelew hizo point 3 imekuwaje mkazibeba kiufupi mmeokota embe chini ya mnazi.
hakuna point za kuokota kwenye soka ukikosea unafungwaPoint 3 za kimazabe, nyie wenyewe mpaka sasa hamuelew hizo point 3 imekuwaje mkazibeba kiufupi mmeokota embe chini ya mnazi.
Mkuu ni zaidi ya wivu, kiufupi huo unaweza kuwa ni uchawiWivu TU
Timu lako limejaa laana hakuna kikombe mmeambuliaIla Liver Jana mmenishangaza sana yaani timu inashindwa kupiga hata pass 3 sahihi? Pass 2 mpira umepotea kulikoni?
Hiyo sio kazi Yako mzee viongozi wanajua wanalofanyahivi swala la usajili ndo tumemaliza au tusubiri surprise siku ya mwisho
siku zimeisha halafu tuko kimya kama siyo sisi tunaohitaji namba 6