Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Imagine plan A was to sign Mount, after he had rejected us we then go to Dommy directly. What a deal.
Mason Mount did not reject us, hili neno limekuwa likitumika kwa urahisi sana, especially kwenye medias & football fans across the globe.

We had a personal agreement with Mount in place, his father & family visited Anfield/Axa mara kadhaa wakati tupo kwenye negotiation na Chelsea, then United came in with a big offer (kwenye upande wa personal terms), and kama ninavyosema kila siku kuwa, football ni business, offer ya Utd was tempting, kwa binadam yeyote angekuwa na some sort of second thoughts, ikiwa na maana kuwa agents/his camp walivyoleta proposal (wages) ya United mezani kwetu, na kuona kama we can match it, we decided to walk away and close any door/room ya negotiation.

I have been bashing Klopp tangu jana, but wote tunajua kitu special alichonacho Klopp, ni kuhitaji players ambao wapo tayari kupigania badge ya LFC, bila kufikiria zaidi suala la pesa, hence Mount camp walivyoleta proposal ya United, waki-hope kuwa tunaweza ku-match au ku-up our offer kidogo, Klopp decided to block the move.

Suala la Caicedo, ndiyo linachekesha, maanake juzi nimeona chelsea based jornos, wanasema Caicedo hakutaka hata ku-discuss personal terms na LFC, sasa unatakiwa ujiulize how can you place a British record fee (111m) bila kupata any encouragment kutoka kwa mchezaji/his camp? and you know how we operate, mchezaji yeyote yule kabla ya kum-sign ni lazima aongee na Klopp kwanza, huwa tunafanya due-deligence kabla ya ku-place bid, and thats what happend kwa Caicedo, its just that Chelsea had to up their offers (wages & agent fees), na Manuel akapata pesa yake nyingine, vitu ambavyo FSG hawawezi kufanya, hence kina John walisafiri mpaka London, ku-discuss hilo suala na FA board kuhusiana na approach ya kina Boehly kwa Caicedo & his camp na suala nzima la FFP rules, but at the end tuli-withdraw our bid baada demands kuwa nyingi sana upande wa mchezaji/camp/agency, hatukuwa rejected, kuwa rejected ni kama tunge-match demands za Manuel (Caicedo agent) na mchezaji angechagua kwenda chelsea, but we decided to walk away.

Caicedo tried to force a move to LFC, mwanzoni kabisa mwa january, tukashindwana na Brighton kwenye fee, then baada ya Arsenal kuamua kuingia kwenye race, wote tuliona Caicedo alivyo-behave, he put in a transfer request kui-pressure Brighton imuachie aende Arsenal, it was a mess, but leo, Chelsea jornos wanakwambia he wanted chelsea only na hakutaka kusikiliza offers zingine, na funny enough, wakati bado anacheza Equador, he admitted on live TV kuwa he's a Man United fan.
 
Hivi mkuu, Klopp aliona nini kwa Nunez mpaka kutoa pesa kiasi kile halafu sasahivi hampi game time?

Nunez ni explosive ST, siyo ST kama Firmino, Benzema, Kane, Toney, Gakpo, Jota, Jesus etc, ni aina ya Drogba, Haaland, Diego Costa etc, link-up play/hold-up play siyo his cup of tea, main strengh ni pace/positional play/attacking the box.

Haaland ana-thrive at City, because his team ina uwezo wa ku-sustain possession/umiliki na pressure, so ni rahisi kumtengezea chances au kuwa na uwezo wa ku-receive mipira through different channels/phases.

At LFC, mpira tunaocheza sasa ni very passive, hatuna retainer/recycler kwenye MF, retaining possession au ku-control majority ya mchezo huwa inakuwa ngumu, hence inakuwa ngumu kwa Nunez ku-settle in, na inambidi ajitahidi kubadilisha his playing style, which ni ngumu, Klopp is trying to shape him taratibu, na ndiyo maana huwa anamchezesha sana as LW ili kujaribu kutengeza ability yake ya hold-up play/link-up play, and hakuna aibu yeyote, because the best striker in the league, Haaland, weakness yake ni hold-up play, huwa anajitahidi sana kwenye link-up, kama team anazocheza nazo zinakuwa open kwenye transition.

Now, Nunez kuanza ni ngumu, because tuna-play a very direct/passive football, hatuna holding MF, last 2 games Klopp started with Macca as a 6, Szo & Gakpo as 8s, lengo la kumuanzisha Gakpo as Left 8, ni uwezo wake wa ku-hold/possessional play, which inasaidia ku-retain mipira hata ka muda mfupi, na kwa mantiki hiyo unahitaji kuanza na STs ambae ni good at hold-up play, STs ambaye anaweza kukaa na mpira/ku-force possession high up the pitch ili kutoa breather kwa the whole team, kutengeneza shapes/rooms za kukabiliana na lack of sustanaible pressure-control & counters, so you cant start Nunez now, kwasababu ana glaring weakness kwenye suala la hold up/possessional play na hatuna a 6/holder ambaye anaweza kuziba his traits through the middle, Nunez akiwa anapoteza mipira mara kwa mara up the pitch itakuwa ngumu sana kwetu ku-sustain mashambulizi/counters, kwasababu hatuna mtu wa ku-retain au ku-win 2nd balls from the middle, ndiyo maana inakuwa ngumu sana kuanza na Nunez now, tunaanza na Jota up top because he's a good presser, though link-up play yake ni mbaya, but ni very good presser, tofauti na Nunez.

But, hizo weaknesses zipo kwa kila orthodox ST, Guardiola had to change his whole set-up ili ku-accomodate weaknesses za Haaland.

Nunez is a good goal scorer na he will get his time, pia ni signing ambayo Klopp mwenyewe aliitaka na kui-force, he's still 22 na kila siku anazidi ku-improve his playing style, give him time.

Nasema kila muda hili, but now we have 2 world class 8s ambao wana kila aina ya ubora, kuna vitu vichache sana ambavyo tunatakiwa tuviongeze kwenye team, ili ikae sawa and ready to compete again.
 
Haya makinda yanayo ongezwa Kila siku Klopp anahusika nayo ama ni mpango wa klub tu?

mana sioni jitahada zozote za kuwasaidia hao madogo zaidi ya kuwahalibu kabisaa.

Hivi umpe dogo majumu ya sala si kumharibu kabisa nijuavyo madogo hupewa nafasi team ikiwa inaongoza na ipo relax.

MosDef
 
Salah huyooo
Screenshot_20230824-194118.jpg
 
I think, its time, Klopp aanze kujiangalia in the mirror.

Nimekuwa mkosoaji mkubwa sana wa FSG for the past few years, and i have been on record, nikisema kuwa Klopp anasitahili kufanya baadhi ya maamuzi at the club kutokana na kile alichofanya kwa the whole time tangu awe appointed, but power yake ya kufanya maamuzi aliyopewa na FSG, imetuongezea nini au imetupunguzia nini? tunafaidika na hii power aliyonayo sasa? muelekeo wa Club ni upi sasa? structure ya club ni ipi kwa sasa?

Klopp alivyokuwa appointed at LFC, alifanikiwa kujenga a good team na kina Edwards/Graham/Fallows/Hunter etc, wakati yeye anahusika na on-pitch activities, kina Edwards walikuwa wanahusika na off-pitch activities especially katika upande wa recruitment department, na tulifanikiwa kutengeneza a very strong team iliyofanikiwa kushinda kila aina ya kikombe, but kipindi hiki pia kilikuwa na changamoto sana, hasa katika upande wa Owners (FSG), ambao kuna vipindi walikuwa wagumu sana ku-fund transfers kutokana na kuona policy yao ya sell to buy inafanya kazi, kitu kilichofanya mara nyingi sana tuwe tunaanza msimu tukiwa short kwenye various departments.

Yes, FSG are a disgrace, but tutaendela kujificha mpaka lini kwenye kivuli chao ili kumuepushia lawama Klopp?

Mambo yalianza kwenda vibaya at LFC, baada ya mkataba mpya wa Klopp (yeah, i am so happy that he signed a new contract), but bigger picture hapa, ni kuwa mkataba mpya, ulimpa power zaidi Klopp mpaka kwenye upande wa recruitment department, ambayo at that time ilikuwa chini ya Edwards, na msigano ulianza kwenye deal ya mkataba mpya wa Henderson, ambapo Edwards aliomba Henderson asipewe mkataba mpya, but Klopp akagoma katakata, suala likawa kwa FSG wamsikilize nani? na FSG wakaamua wamsikilize Klopp, na kila owner angefanya hivyo, well kwa owners wabahili kama FSG ni lazima wamsikilize Klopp, because ndiyo their most valuable asset, so they vetoed proposal ya Edwards and gave Henderson a new contract, ambayo ilikuwa ni big mistake, Edwards lined up Bruno Guimaraes as Hendo replacement, Klopp and his coaching stuff rejected the idea.

Kuna mengine nyuma ya pazia, but hii debacle ya Henderson new contract, ilichangia sana kwa Edwards kuondoka, then akaja Julian Ward, a liverpool fan, ambaye amefanya kazi at the club kwa muda mrefu sana, but a few months as a DOF aka-put in a resignation letter, why? kwanini DOF waondoke? kuna shida gani? hawasikilizwi? hawapewi kipaumbele? then Ian Graham nae akaondoka, why?

Niliongea mimi, humu ndani few months ago, nikaonekana natunga vitu but juzi Paul Joyce ka-confirm kuwa we turned down Enzo Fernandez for £15m, kabla ya kwenda Benfica, we were offered this player through Julian Ward connections, and the coaching stuff turned it down, because they were waiting on Jude and Tchouameni, players ambao when Madrid offered them deals walitupiga chini bila hata kujiuliza mara mbili, sasa kipindi hiki ambacho Klopp alikuwa anasubiria his 2 perfect players, tumepoteza wachezaji wangapi kwa rivals? Enzo, Guimaraes, Joao Gomes, Nunes, Paqueata, etc, hawa wachezaj wote got offered to us for peanuts, tutawalaumu FSG? FSG walivyowabahili ungewapa Enzo for 15m, au Guimaraes for 35m etc wangegoma ku-sunction? tena ni kipindi ambacho walikuwa tayari ku-sunction big deals za Jude and Tchou.


Tutawalaumu FSG mpaka lini? msimu uliopita Klopp refused these alternatives, tukaanza msimu na the same MF ambayo ilikuwa imejaa injuries na fatigues, na tuliona kilichotusibu msimu mzima, msimu huu tulianza transfer window kwa kuondoa a lot of deadwoods (Keita, Ox, Milner, Henderson), then tukapata offer ambayo ilikuwa ni ngumu kui-turn down ya Fabinho (40m), kwa ujumla 5 MFs waliondoka, and practically we needed at least 4 MFs as replacements, and i am so happy we signed Mac-Allister and especially Dominik (Sikuwahi kutegemea kama tutakuja ku-sign a world class talent kama hii, na ndiyo maana nilikuwa simuweki hata kwenye my profiling data), so kudos kwa jorg (he worked on Dominik file), na pia kudos kwa Julian Ward (worked so hard on Mac-Allister file kabla ya kuhitimisha his resignation process).

Kwenye hili suala la MF rebuild, ndiyo nataka kumuongelea Klopp leo, we have signed top class 8s, theres no doubt about that, but what about a starting 6? Wataru Endo is not a starting 6, he is a squad player, tutakuwa tunajidanganya kama tukianza msimu huu na Endo as our starting 6, utakuwa ni uzembe tu kama wa last season.

Ok, lets say, we werent anticipating a fabinho bid, but ilikuja, na it took us 2 weeks ku-conclude a deal, na mpaka sasa umepita mwezi tangu Fabinho aondoke, where is his replacement? na kama kulikuwa hakuna a suitable replacement, why ukubali kumuuza? tulianza ku-negoatiate na Southampton kuhusu Lavia, kabla hata bid ya Fabinho haijaja, plan ilikuwa ni kum-phase out Fabinho slowly na kum-bed in Lavia slowly, so plan ya msimu huu ilikuwa ni Fabinho na Lavia as our starting 6s, but when bid ya Saudi Arabia ilivyokuja, we panicked, sunctioned a deal bila a realiable DM kuwa lined up, of-course we viewed Lavia kama mrithi wa Fabinho but not an instant starter, so tukaanza kuangalia good DMs kwenye market, nakumbuka mpaka leo, Club scouts na kina Fallows, walishauri tuendelee na file la Lavia, na tutafute an experienced 6 wa kumsaidia Lavia ku-bed in, but Klopp, and his friend Jorg, decided to go for Caicedo, bid 111m, (calculated bid) but chelsea ended up offering more money to his agent, Manuel Serra anafamika kwenye football world kuwa agent mpuuzi sana, kishasababishia wenzake majanga mengi sana, na ndiyo maana Chelsea wali-up tu offer kwake, they offered him pesa ya kutosha outside ya deal (nadhani jamaa wa football insider wali-publish hii), na uzuri wa Agents wahuni kama. kina Serra, wanakwambia, chelsea wameni-offer hii, nyie mnasemaje? FSG waka-withdraw bid, na sijawahi kuwalaumu, they showed ambition, kama walivyofanya kwa VVD, Alisson, Nunez etc, they backed Klopp, but again Klopp refused to listen to his scouts ambao tangu mwanzo wali-suggest Romeo Lavia, now umetumia. nguvu nyingi ku-turn a 19 year-old kid head, kumpa maneno matamu kuhusu your project, na bado akawa anakuvumilia tu unavyojaribu kum-low ball his employer (southampton), Southampton walitupa valuation ya 50m, tukaanza na 37m, then 42m, mpaka 46m, then BOOM, mchezaji na his camp wanasikia ume-move kwa Caicedo with 111m bid, na wakiuliza southampton wanaambiwa kuwa umestopisha mazungumzo, then baada ya kushindwa kwa Caicedo unarudi tena mkia nyuma, na hapo ushamuudhi owner ambaye hana structure yeyote kwenye team yake (Boely), na kuna rivaly kati yake na John kwenye ventures zao zingine USA, anaamua kuja kwa Lavia, ambaye kwake pia ilikuwa ni second choice ya Caicedo, offered more money and wages, dogo kwa umri wake anakubali, akidhani anaikomoa LFC/Klopp, Klopp akaamua kuachana na file (because tangu mwanzo alikuwa hakubaliana sana na suala la Lavia, it took a lot of convicing from our scouts kwa Klopp kuanza kulivalia njuga suala la Lavia), dogo anarudi last minutes, Klopp anakuwa ameshapata sababu ya kulitupa file kabisa, juzi nimesikia kuwa dogo anataka kufukuza his agency/washauri, but sidhani kama walikuwa wanakosa, its just football business, makosa ni ya LFC na maybe yeye kuchukulia suala la biashara kama personal, ambapo namuelewa pia, and i wish him the best at Chelsea.

Sasa, after Caicedo & Lavia debacles, reaction ilikuwa ni ipi? Endo is not a starting 6, hatuwezi kujidanganya, na kinachofanya niongee hapa ni kuwa, feeling at the club ni kuwa tunaweza kusubiri tena, yaani Endo anaweza ku-cover for now, as we feel hakuna good number 6s kwenye market, na waliopo ni too pricey, sasa najiuliza the whole world imeona uki-bid 111m for a 21 yeaf old ambaye ana games si chini ya 40 kwenye soil ya UK, unafikiri teams zingine zitakuuzia for less? tena zikiwa zimebaki. siku 9-10 mpaka TW ifungwe? gharama za kuanza msimu bila a starting 6 ni kubwa sana, msimu uliopita tulikuwa na a washed/fatigued WC 6 (Fabinho), na hakuna alichosaidia, sasa kwa. kujua hilo, how can you start a season without a young, hungry 6? wheres a plan? as a manager unakuwaje tayari ku-throw away msimu mwingine tena? anavyo-act Klopp utadhani kina Salah, VVD, Allison etc are getting any younger, we need bodies in the MF, Szobo & Macca arent enough, na kinachochekesha zaidi, unakuwaje na two world clasa 8s but unaona shida kuwatafutia a good & strong destoyer? kwanini jamaa anashindwa kujifunza? kila siku tunaanza msimu tukiwa short, FSG were ready to pay 111m for Caicedo, that means pesa/fund zipo, sasa kinachofanya Klopp aanze kuleta mambo ya perfect player ya nin?, tuna mashindano manne msimu huu, we need bodies, ok, kama Doucoure unaona ni bei, just sunction deal ya Andre now, sunction deal ya Manu Kone now, sunction deal ya Fofana now, ask Benfica kuhusu Flo Luis, Zubimendi ana RC ya 51m test the waters. Parish wa Crystal Palace hawezi kumtoa Cheick Doucoure for less than 60m kwa sasa, na huwezi. kumlaumu kabisa.

Na itabidi tuanze kujiuliza maswali kuhusu Klopp, mbona wenzake huwa wanahakikisha wanaanza msimu wakiwa wamekamilika? kwanini kila siku ni yeye tu? sasa hivi tutawalaumu FSG kwa kipi? Man City wameshinda treble na mpaka sasa wameongeza Kovacic, Josko, Doku na walikuwa tayari kutoa 85m kwa Paqueata kabla ya his betting scandal, why kila siku sisi? good values kwenye market hazipo kwasasa, na siyo kila mchezaji ana RC kwenye mkataba wake (Macca & Szo), wengi waliopo sasa you need to pay over the odds, na hakuna time ya kusubiria right player.


And, kipi kifanyike kama tuki-fail huu msimu kwa uzembe wa Klopp kwenye TW? msimu uliopita tumemvumilia, lakini kama anaona yupo above everyone at the club na anaweza kufanya anachotaka, i think FSG needs to act.
Mkuuu umeandika sana
 
Haya makinda yanayo ongezwa Kila siku Klopp anahusika nayo ama ni mpango wa klub tu?

mana sioni jitahada zozote za kuwasaidia hao madogo zaidi ya kuwahalibu kabisaa.

Hivi umpe dogo majumu ya sala si kumharibu kabisa nijuavyo madogo hupewa nafasi team ikiwa inaongoza na ipo relax.

MosDef

Academy ni business pia, na pia inasaidia sana ku-cut costs kama unaweza kupata a generational talent, which is kwa LFC, we are not that lucky kwenye upande wa Academy yetu.

Wenzetu City & Chelsea (naweza sema kabla ya Boehly), wanatengeza pesa nyingi sana through their academies, City wanauza their kids kwa PL midtable teams au nje ya PL kwa £20-30m etc, sisi huwa tunaishia sana kwenye loans, na kuuza kwa bei ndogo sana kwenye lower leagues.

Kuna kipindi, nilishaongea hapa, kuhusu ku-restructure our academy, maana hali ni mbaya kwenye upande wa ku-develop talents.

Suala la ku-rectruit kids ni la scous/recruitment department.

Lakini, uzuri wa Klopp anatoa nafasi sana kwa kids, na akiona development yako ni nzuri, huwa hakubali kutoa kwa loans, au mara chache sana anakubali kama mchezaji anaenda kwenye mazingira mazuri.

Kwenye first squad, ukiachana na Trent, klopp katoa nafasi kwa Curtis Jones, Bajcetic, Luke Chambers, Kelleher, Conor Bradley, Kaide Gordon, Frauendorf pia amekuwa aki-feature mara kwa mara, na sasa Quansah anaangaliwa sana upande wa back-line, and Doak pia anaoata nafasi kubwa.

Kinacho-matter ni development ya mchezaji, talent pekee huwa haitoshi kwenye mpira, hard work and dedication ndiyo muhimu zaidi.
 
Manu kone is quoted at £30-35m, a very good profile, can cover 6 & 8.

Crystal Palace wants si chini ya £70m for Doucoure, and you cant blame them at all, late in the window, and they know we have money, na pia wanaweza wasipate a replacement in time, so nao wakiuza wanakuwa wana-take risk, na huyu ndiyo alikuwa voted kama mchezaji wao bora wa msimu uliopita, so they wont let him go for cheap.

Sasa, kama hatuwezi au tunaona valuation ya Doucoure iko juu kulingana na Ceiling yake, just go a bid for Manu Kone, take risks, £30-35m is nothing kwenye soko la usajili kwasasa.
 
Klopp anasema we are covered kwenye upande wa CBs

and, at the same time, ame-confirm, kuwa Konate is a doubt for Sunday.

Tunarudi kule kule, ukiachana na kuwa Matip & Gomez walikuwa na msimu m-bovu uliopita, pia nao ni injury prone, especially Matip.

Klopp, anasema Quansah can step up, sina tatizo na hilo, but we need a ready-made senior LCB.
 
MosDef

Kuna vile Klopp anajishindwa kujihimili. Ni aina ya watu wanaogopa mabadiliko ndio maana mpaka limkute jambo baya kwa mfuatano ndipo akubali mabadaliko.

Im sure last season tungekuwa na season nzuri usingeona offload zilizofanywa. Baada ya vipigo vya Brighton, Wolves akaona yameisha.

Kwa Nunez yes bado nafasi ipo ni Klopp tu aamue kuswitch mifuko yake. Kocha mzuri ni yule mwenye uwezo pia wa kutumia rasilimali alizonazo kwa usahihi. Binafsi Nunez bado atakuja kuwa mfungaji mzuri sana, suala la muda tu. We are struggling kwenye possessional play kwenye mechi mbili za mwanzo wa ligi. Hii ni kukosa power kwanye middle of the park. Destroyer, Monster.

We need to react as early as possible before 1st september kupata atleast DM & CM baada ya Klopp kuonesha amemaliza na mabeki na ataendana nao hao hao.

Sijui kwa nini Klopp haoni ana vitu hivi kwenye backline yake
1. Injury prone
2. Age
3. Lack of defending ability.

Robbo kwenye new system amekuwa uchochoro sana, last game alionesha kiwango kizuri but against who???
TAA hatuna mjadala huyo sio defensive asset.

Lets wait and see. Natamani tumsajili Andre his number, zinakupa picha kinda 6 we will have. Fluminense wants £40m now to trigger release clause or wait for January and pay £19. Better now than January
Then get another CM and we will be enough ready to compete.
 
Klopp anasema we are covered kwenye upande wa CBs

and, at the same time, ame-confirm, kuwa Konate is a doubt for Sunday.

Tunarudi kule kule, ukiachana na kuwa Matip & Gomez walikuwa na msimu m-bovu uliopita, pia nao ni injury prone, especially Matip.

Klopp, anasema Quansah can step up, sina tatizo na hilo, but we need a ready-made senior LCB.

LCB is a must. Na hili Klopp alilizungumza, kwamba he needs CB mwenye uwezo wa kutumia mguu wa kushoto, hapa unaelewa ni LCB.

But im scaring kwa taarifa ya Konate is doubt, means ni injury prone mwingine anaongezeka na Klopp ndio amemaliza kuwa ana 8 defenders.

Wakati huo tuna small squad in the league na jopo lote likiongozwa na Klopp hawalioni hili??

Au ndio tutarajie kuwaona kina
Bradley
Doak
Quansah
McConnell

Wakipata game time msimu huu?
 
Sidhan kama klopp game ijayo atampiga sub Salah! Maana madili yanakuja ya waarabu huko Salah anagoma hayo madili sasa Salah akiamua aondoke itakuaje?
 
MosDef

Kuna vile Klopp anajishindwa kujihimili. Ni aina ya watu wanaogopa mabadiliko ndio maana mpaka limkute jambo baya kwa mfuatano ndipo akubali mabadaliko.

Im sure last season tungekuwa na season nzuri usingeona offload zilizofanywa. Baada ya vipigo vya Brighton, Wolves akaona yameisha.

Kwa Nunez yes bado nafasi ipo ni Klopp tu aamue kuswitch mifuko yake. Kocha mzuri ni yule mwenye uwezo pia wa kutumia rasilimali alizonazo kwa usahihi. Binafsi Nunez bado atakuja kuwa mfungaji mzuri sana, suala la muda tu. We are struggling kwenye possessional play kwenye mechi mbili za mwanzo wa ligi. Hii ni kukosa power kwanye middle of the park. Destroyer, Monster.

We need to react as early as possible before 1st september kupata atleast DM & CM baada ya Klopp kuonesha amemaliza na mabeki na ataendana nao hao hao.

Sijui kwa nini Klopp haoni ana vitu hivi kwenye backline yake
1. Injury prone
2. Age
3. Lack of defending ability.

Robbo kwenye new system amekuwa uchochoro sana, last game alionesha kiwango kizuri but against who???
TAA hatuna mjadala huyo sio defensive asset.

Lets wait and see. Natamani tumsajili Andre his number, zinakupa picha kinda 6 we will have. Fluminense wants £40m now to trigger release clause or wait for January and pay £19. Better now than January
Then get another CM and we will be enough ready to compete.

Hapo, kwenye kutumia rasimali alizonazo ndiyo tatizo pia.

Last 10 games za msimu uliopita, tumetumia 3223, Trent was inverting kutokea kwenye flanks (his RB position) tukiwa tunashambulia au tukiwa tunamiliki mpira, but hii system inahitaji vitu viwili muhimu sana, a strong backline, na a strong MF, hapa kwenye strong MF, unahitaji DM ambaye ni good holder/retainer/ball winner, sasa msimu huu hatuna hata a fatigued ball winner/retainer, na tupo short kwenye upande wa backline, bacause Robertson ana-struggle sana as LCB (ni orthodox FB), we Konate and Virgil, we just a good ball playing LCB with good recovery pace & possesional play.

Good LCB ambao ni very attainable na wapo kwenye market for a fair price.

Hancko
Tapsoba
Hincapie
Lukeba
Theate
Murillo (Forest are in a strong position)
Tosin
Geertruida
Etc..

Kwa LFC ili ku-perfect hiyo set-up to the fullest, tunahitaji tu a good functional & ball winner (CDM) na LCB, Gomez angekuwa ana mental stregth ya ku-overcome uoga wa kupata injuries tena, angekuwa ni strong contender kwenye upande wa LCB, but can we even trust him? i've maintained kila siku kuwa, Gomez is a very good player, his recent interview ambayo inazungumzia his mental struggles kuhusiana na injuries, zinaonesha anahitaji msaada mkubwa sana wa kurudisha ubora wake.

Players tulionao, ni rahisi sana kuwa-deploy kwenye 442/4231 japokuwa bado tutapata tabu sana kwenye ku-sustaib transitions, but our attacking strength/force itaficha gaps nyingi, na kama Klopp haoni umuhimu wa LCB kwasasa ni fair kama akitumia 433 if tukifanikiwa ku-sign a DM.

Andre, hata akija now, itakuwa ngumu sana kucheza, mpaka sasa kwenye league yao ya Brazil, amecheza minutes za kutosha, so hata akija now atahitaji rest, ndiyo its safe ku-structure deal ya January.
 
Sidhan kama klopp game ijayo atampiga sub Salah! Maana madili yanakuja ya waarabu huko Salah anagoma hayo madili sasa Salah akiamua aondoke itakuaje?

Salah, will NOT leave this summer.

Na, hata kama Klopp akimuweka bench, he wont leave.

You understand kuwa LFC ndiyo wana-hold all the cards here? LFC ndiyo wana final say, aondoke au abaki, na kwa kutumia simple logic tu, Club haiwezi ku-sunction deal ya Salah now, kipindi hiki ambacho zimebaki siku 6-7 dirisha la usajili lifungwe.

Hao wa-saudi, watapiga kelele kwenye medias, wataongea na Salah & his camp na blah blah blah zote, but LFC & Klopp ndiyo wenye final say, na ndiyo maana Klopp kasema leo kwenye press kuwa hatuta-entartain mazungumzo yeyote.

Mimi binafsi, kama wa-saudi wangekuja mwanzo wa wa dirisha la usajili, ningemuuza Salah £100-150m siyo pesa ya ku-turn down for a 31 year old player, na nadhani hata club isingejiuliza mara mbili, but kwasasa, this late in the window, hakutakuwa na nafasi ya kuanza ku-discuss/find his replacement.

But, Club inajua kuwa next summer, wa-saudi watarudi, and they will be happy to do a deal, at 32, you cant turn down £100-150m.

We will 100% sell him next summer & invest on another 1-2 good RWs.
 
LCB is a must. Na hili Klopp alilizungumza, kwamba he needs CB mwenye uwezo wa kutumia mguu wa kushoto, hapa unaelewa ni LCB.

But im scaring kwa taarifa ya Konate is doubt, means ni injury prone mwingine anaongezeka na Klopp ndio amemaliza kuwa ana 8 defenders.

Wakati huo tuna small squad in the league na jopo lote likiongozwa na Klopp hawalioni hili??

Au ndio tutarajie kuwaona kina
Bradley
Doak
Quansah
McConnell

Wakipata game time msimu huu?

We can try and use Quansah now at LCB.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom