Kwa msaada Nenda YouTube cheki Mo Salah vs Kompany ....Kompany alikuwa beki wa mwisho na alimrukia Salah mguuni na beki akapewa yellow ... Sometimes ni marefa kukamia timu flani na huu mchezo umerudi.Wanadai ni technical foul as a last man haijalishi umecontact na mpinzani kwa kiwango gani
Unapokuwa unamblock mpinzani alaf wewe ni last man lazima iwe red card
But ngoja tuone kama watakata rufaa
Wakati timu inacheza haukuwepo lakin baada ya kushinda umetokea, sijui tungepigwa napo ungesemajeacha kejeli bro.
Sijafuta comment hata moja
Mwenye namba ya klopp anipe mpuuzi huyo hv unatoa Diaz kweli?Wakuu hatuna kocha hapa siwafichi
![]()
Hivi ni kwanini kwenye hizi mechi mbili, after red cards ndio timu imeonekana kucheza vizuri kuliko tunavokua kamili
Mimi naona mfumo wa kuwaweka mbele
Salah, Gapko, Diaz, umefeli yani huoni ile threats kwa lango la mpinzani haipo, Klopp anajaribu kulazimisha ile ya Salah, Boby Mane,
Anasahau Gakpo sio Boby ( ni mbingu na Ardhi) na Diaz sio Mane.
Gakpo arudi kwenye kiungo, mbele awe Jota au Nunez
Gakpo apokezane na Slozobl kwenye kiungo, Hawa watu wawili hawapaswi kuwa uwanjani kwa pamoja
Sema tuna bahati mbaya sana na marefa yani mpaka leo sisahau ile handball ya rodri vs everton alafu ikawa no penalty lile tukio pengine lingebadili story ya wakati uleKwa msaada Nenda YouTube cheki Mo Salah vs Kompany ....Kompany alikuwa beki wa mwisho na alimrukia Salah mguuni na beki akapewa yellow ... Sometimes ni marefa kukamia timu flani na huu mchezo umerudi.
Agreed
My concern haiusiani kabisa na game ya leo maana vs Newcastle tena away lazima upewe master class game performance maana ni timu iliyojengeka vizuri
My concern ipo hapa kwenye usajili apo kwa namba sita na center back mmoja nazani wanatosha sana kutufikisha mbali kuliko ninavyoona timu ilivyo kwasasa

Klopp huwa kama kenge kuelewa mpaka damu zitokeNO, Mkuu.
We adjusted well mchezoni after ile card ya VVD, because Klopp went back to compact 433 & attack with 4231.
We had balance kwenye MF, hence hata Endo alianza kuwa involved more, kwenye settled shape, ambayo tulikuwa tuna-defend deep.
Hata game ya Bournemouth, we controlled the game well, baada ya ku-abandon 3223, its just hatuna required profile ya kucheza hii formation kwasasa.
Game haijaisha washaanza kusema Klopp out🤣Yani hawafai kabisa
Marefa wa England na V.a.r Yao wapuuzi tu.Sema tuna bahati mbaya sana na marefa yani mpaka leo sisahau ile handball ya rodri vs everton alafu ikawa no penalty lile tukio pengine lingebadili story ya wakati ule
Nakubaliana na weweWana Liverpool HALISI nawaomba no matter what tuwe nyuma ya team
Haijalishi tunaongoza au tumefungwa
Last season, kwenye last 10 games, 3223 ilifanya kazi to an extent, kwasababu ya Fabinho presence, japokuwa Fabinho alikuwa kaisha sana, but ubora wake katika kuread games/counters/passing angles etc, uwezo wake wa ku-anticipate/ku-block second balls, ulisaidia sana.Klopp huwa kama kenge kuelewa mpaka damu zitoke
Liverkuku hongereni sana kwa kudhihirisha kuwa ninyi ni timu kubwa kushinda mkiwa pungufu 10 dhidi ya New Castle Utd.Klopp huwa kama kenge kuelewa mpaka damu zitoke
Tumchukue amrabatLast season, kwenye last 10 games, 3223 ilifanya kazi to an extent, kwasababu ya Fabinho presence, japokuwa Fabinho alikuwa kaisha sana, but ubora wake katika kuread games/counters/passing angles etc, uwezo wake wa ku-anticipate/ku-block second balls, ulisaidia sana.
Kikubwa ni kuwa, kama angewahi 2-3 games before ku-switch to 3223 with fabinho at DM and Trent inverting, tungemaliza top 4.
Sasa now, na-reserve my judgement mpaka tu-land a DM, watching it closely mpaka Thursday night.
Laiti ungejua ubahili wa klabu yenu ya Liverkuku hata aje Pep Kipara hapo Anfield kuwa Head Coach mtamkataa kuwa ni Tapeli usingemshusha hadhi J. Klopp hata kwa nukta tu.Klopp huwa kama kenge kuelewa mpaka damu zitoke
Mnatetea tu kinacho muangusha Klopp ni mahaba kwa wachezaji ukweli ndio huo hata kama tukishinda na watu wasijifanye kutetea kisa leo tumeponea kwenye tundu la sindano.Laiti ungejua ubahili wa klabu yenu ya Liverkuku hata aje Pep Kipara hapo Anfield kuwa Head Coach mtamkataa kuwa ni Tapeli usingemshusha hadhi J. Klopp hata kwa nukta tu.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Muulize Pep Kipara alikuwa anakutana na kichapo kipi Germany akiwa Buyern Munich FC na Klopp akiwa na Dortmund FC ndipo utajua hujui.Mnatetea tu kinacho muangusha Klopp ni mahaba kwa wachezaji ukweli ndio huo hata kama tukishinda na watu wasijifanye kutetea kisa leo tumeponea kwenye tundu la sindano.
Kabisa kabisaThe Final whistle says otherwise 👍