



THIS IS LIVERPOOL
YANI MANYUMBU WAPO UEFA LIVERPOOL HATUPO MATUMIZI MABAYA YA UEFA
YNWA FOREVER
TUNAMTAKA MAN CITY NA REAL MADRID HATA KESHO





Pongeze na hongera kwa ushindi mtamu japo wa taabuu. TAA akikutana na wachezaji wa aina ya Godown na Mitoma anapata wakati mgumu sana.. Sub alofanya kocha wa New castle ndio imewagharimu. Kumtoa tu Godown liverpool wakarudi mchezoni.
Red card alopewa VvD ilikuwa ni sahihi kabisa. Again congratulation all kops
Mliosema tumepigwa kwa Nunez haya nawasubiri😂😂😂😂😂
Nunez ameanza kutuprove wrong haters wakeYou cant give up on TALENTS.
You CANT.
Just give him proper tools, he will give you goals, thats it.









Anarithi mikoba ya OrigiNunez aisee, kumbe Nunez akitokea bench ni hatar hv?
Nunez aisee, kumbe Nunez akitokea bench ni hatar hv?



Mfumo ulibadilika Diaz hawezi kucheza kiungo ya ndani Ukocha ni Professional.Mwenye namba ya klopp anipe mpuuzi huyo hv unatoa Diaz kweli?Wakuu hatuna kocha hapa siwafichi
![]()
Haibadilishi ukweliWatu walikua wanaponda humu![]()