King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Hehehe dah wanangu poleni
The Final whistle says otherwise 👍
Hehehe dah wanangu poleni
Sema kadi zimetuandama next game sijui zamu ya naniAlafu VVD alitakiwa amnywe vichwa referee mpuuzi huyo![]()
Kifupi Bado sijabadili kauli, hata Origi alishawahi kutupa ushindi kwenye mazingira kama haya mara nyingi tuu
Nipo naww mkuuKifupi Bado sijabadili kauli, hata Origi alishawahi kutupa ushindi kwenye mazingira kama haya mara nyingi tuu
Leo kila alichogusa kimekua dhahabu, conglats to him kwa point 3
Bado nahitaji nimuone zaidi kwa consistency hii ndio nibadili kauli
Haibadilishi ukweli
Scoring ability ya liverpool haijawahi kutiliwa mashaka
Shida ni pale nyuma na leo namshukuru sana Alison alikuwa na berter game ususani kipindi cha kwanza
Endelea kukaza fuvuKifupi Bado sijabadili kauli, hata Origi alishawahi kutupa ushindi kwenye mazingira kama haya mara nyingi tuu
Leo kila alichogusa kimekua dhahabu, conglats to him kwa point 3
Bado nahitaji nimuone zaidi kwa consistency hii ndio nibadili kauli
Hivi ni kwanini kwenye hizi mechi mbili, after red cards ndio timu imeonekana kucheza vizuri kuliko tunavokua kamiliNO, Mkuu.
We adjusted well mchezoni after ile card ya VVD, because Klopp went back to compact 433 & attack with 4231.
We had balance kwenye MF, hence hata Endo alianza kuwa involved more, kwenye settled shape, ambayo tulikuwa tuna-defend deep.
Hata game ya Bournemouth, we controlled the game well, baada ya ku-abandon 3223, its just hatuna required profile ya kucheza hii formation kwasasa.
Malafyale ktk ubora WAKOUkocha ni kazi ya kitaalam sana ndiyo wanalipwa mamilion ya dola kwa mwezi.
Sio kila ukishiba makande ukikaa kwenye TV yako hapo Kisarawe unadhani unaweza ukawa kocha tena wa team kama Liverpool

Ile Foul hakupaswa kutoa Redcard yule kocha , kamuonea tu VVDSema kadi zimetuandama next game sijui zamu ya nani
In fact, Just SACK him
Bring Michael Edward Back, Give him full Autonomy. Let him pick the New Manager.
KLOPP IT IS TIME TO GO.
LIVERRRRRRPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOL
AgreedGame state ilikuwa ruined na refa, baada ya kumpa card Trent, ambayo hakustahili, then it went to shit baada ya kushindwa kumpa kadi tena Trent kwa clear foul aliyomfanyia Gordon.
I mean, Kadi aliyopewa Trent alitakiwa apewe Gordon, na kadi ambayo alipata Trent, alitakiwa apewe seconds later baada ya kumchezea foul Gordon.
These 2 incidents set the tone ya game nzima, refa aliushidwa mchezo dakika kumi tu tangu uanze.
And, ile yellow card ya mwanzo kabisa wa mchezo na newcastle fans noises got to Trent head, hence he started poorly and that mistake, but kabla ya goal we were defending very well.
Then, red card ya VVD, ilikuwa ni stupid decision.
Pia, tulienda ST James Park (moja ya Stadium ngumu sana kwenye league), with a new MF, na full away debut kwa Endo at 6, na tulikuwa tunacheza against Newcastle, a very good & strong team, so kuna vitu vya kulalamika. sometimes, lakini siyo game-state ya leo.
Na tumecheza with 10 men for more than 60 minutes.
Yes, Klopp anazingua kwenye Transfer Window, but kama mshabiki, kuna namna ya kutenganisha off-pitch and on-pitch activities.
Then, hii ni game week 3, as a fan atleast reserve malalamiko ya on-pitch activities mpaka December/January na anza ku-evaluate, give time ya New signings ku-bed in, give time kwa players wote ku-bed in, give time kwa coaching staff kuhusiana na flexibilty ya shapes/formations etc, mfano tu, kwenye game 3 tulizocheza, unaona tumecheza vizuri sana nje ya 3223 formation.
I have maintained here, kuwa Klopp is a world class coach, ana flaws zake ambazo ni lazima ziwe called-out, bacause club huwa inakuja kwanza kabla ya mtu yeyote, but isitufanye tum-take for granted, maana akifukuzwa leo, atapata kazi kwenye club nyingine kubwa siku hiyo hiyo.
He is a stubborn prick, anaudhi, anaboa, anahitaji KUKOSOLEWA HASWA, but tusisahau kuwa he couldve picked Bayern, Man Utd or waited for Madrid, but he chose unrecognizable LFC, and we have won everything chini yake.
DONT TAKE HIM FOR GRANTED.
But, he's still a prick, na if we dont get a DM, atakuwa ni zaidi ya prick.
Just dont take him for granted.

Vigeugeu😂Dah! Haya tu sometime white sometime black
Godon na mitoma wamenifanya nimwone TAA mweupe linapokuja swala la mbio...ila yule mtoto Gordon mbwa sana ***** angeendelea kuwepo uwanjani Trent nae angelamba Lolo ....
Wanadai ni technical foul as a last man haijalishi umecontact na mpinzani kwa kiwango ganiIle Foul hakupaswa kutoa Redcard yule kocha , kamuonea tu VVD
Kocha ni msenge analea ujinga ili Salah asiondoke huu ni upuuzi wa lami.
Kabisa anajifanya mganga kumbe ni mganga shogaNdugu Ramli ni taaluma za Watu sio kila Mtu anaweza kupiga.
Jitahidi siku nyingine kutafuta Wataalamu wa Ramli wakujengee uwezo.
Vigeugeu😂
Wakati timu inacheza haukuwepo lakin baada ya kushinda umetokea, sijui tungepigwa napo ungesemajeHuna sifa za kuwa Mshabiki wa LiverpoolFC
Sisi hatupo hivi kabisa, huwezi kukuta Mshabiki wa Liverpool, Arsenal au Manchester United akawa na tabia kama hivi.
Tabia hizi zinapatikana kwa Washabiki wa Chelsea na Genge la Watoto kama nyinyi mulioanza kushabikia Mpira wakati wa Janga la Korona![]()

acha kejeli bro.