Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1691967462545.jpeg
 
Lukaku mfumo wa Killop utambeba sana anafaa huyu tuwape hata bure tu
Sasa angalia kwa Caicedo msije lamba lolo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pamoja na kutoa hela nyingi yakawa kama ya Lukaku [emoji23]
 
1-1 na Pochetino kwake sio mbaya.
Tuna team nzuri tuombee tu yasiwepo majeruhi
In Reds,we believe
Mna timu nzuri mmekuwa outplayed na Chelsea wanaojijenga ,Kama kwa performance ile unaona mnatimu nzuri kazi mnayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom