Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,826
- 4,735
Kwan yeye ni nani? Anatolewa tu.Hii ya kumtoa Salah mapema sijaielewa au ndo wanataka Hadi CB za Chelsea zipande mbele
Kwan yeye ni nani? Anatolewa tu.Hii ya kumtoa Salah mapema sijaielewa au ndo wanataka Hadi CB za Chelsea zipande mbele
Nakubaliana na mawazo yako ila hujajibu kitaalam.Kwan yeye ni nani? Anatolewa tu.
Mechi ya kwanza tu Duh[emoji849]...Just Chill🫴Jota ni flop na tusitegemee chochote kwake
Huu mfumo atakimbuzwa sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wenzie kila siku wanamifumo mipya Chelsea alitumia 343 baadae kaja na 3421 yeye anakomaa tu na 433 [emoji23][emoji23][emoji23]Amekariri 4-3-3 zaidi ya hapo hamna kitu
Tupo pamoja mkuu, tumeipenda wenyeweMechi ya kwanza tu Duh[emoji849]...Just Chill🫴
Mpatieni wachezaji mzee wa watu. Unafikiri ukimpatia Guardiola kikosi hiki atafanya nini cha zaidiHii timu ishamshinda klopp hana mbinu tena
Mzee msenge sana huyuHuu mfumo atakimbuzwa sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wenzie kila siku wanamifumo mipya Chelsea alitumia 343 baadae kaja na 3421 yeye anakomaa tu na 433 [emoji23][emoji23][emoji23]
We si ndo ulikuwa unampigia chapuo humu eti awe Captain !Salah anakera sana sasa anacho chukia ni nini?
Hamna kitu mle kumbe, hata uongozi haumfaiWe si ndo ulikuwa unampigia chapuo humu eti awe Captain !
Ukashirikiana na wenzio..
Tukisema jamaa hafai kuwa hata monitor,mnatuona haters.