Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Vunjeni timu muanze upya kama sisi
Piga Salah bei Uarabuni kabla hajashuka bei
VVD naye uza.
Kama connection na waarabu hamna mumuone Boehly atawasaidia
Uzo wote bakiza wazalendo wawili au watatu tu
Yeah! Hapa nikwel kabisa nikuuza huyo Salah tu.
 
Hamna kitu mle kumbe, hata uongozi haumfai
Ana kiburi
Anajionaga special

Sawa ana kipaji,lakini lazima ajue yeye ni mchezaji kama walivyo wengine,na hana uexceptional kwamba yeye hatakiwi kufanyiwa sub

Hajaanza leo kununa
Mi nilikuwa nawaangalia tu mnavyosema eti Salah awe Captain.
Heri timu ibaki bila Captain.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana kiburi
Anajionaga special

Sawa ana kipaji,lakini lazima akue yeye ni mchezaji kama walivyo wengine,na hana uexceptional kwamba yeye hatakiwi kufanyiwa sub

Hajaanza leo kununa
Mi nilikuwa nawaangalia tu mnavyosema eti Salah awe Captain.
Heri timu ibaki bila Captain.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mambo Saint Anne. Nimeona nikusogezee hizi takwimu ili uache majikambo na timu yako
IMG_1609.jpg
 
Aise nyie matakataka muna baati kinoma. Sema timu etu bado inatafutana yani tukimleta yule Caisedo naona kabisa tutamaliza ligi mapema sana.😀😀😀😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom