Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Usimsikilize huyo anatusanifu tuNadhani umeona mapungufu ya matip na gomez ?

Usimsikilize huyo anatusanifu tuNadhani umeona mapungufu ya matip na gomez ?

Hii ya kina Gomez sijui hata wameiachia nini kwenye timu.mabeki wazoefu wanaopaswa kubaki maybe konate,vvd,robertson na anold. over
Si uliahid mnagombea ubingwa msimu huuThis team is a serious joke......
Mi nadhani tatizo letu kubwa ni namna ya kum-accomodate Trent, the guy is not a good defender and also not a good CM. Jamaa ana excellent vision and passing ability lakini anatugharimu sana, hata tukileta new CB na CDM bado akicheza kama inverted RB anampa kazi kubwa CB nyuma yake kucheza nafasi mbili (RB and CB) tunapokuwa tumepoteza mpira na hii inapekea tunakuwa vulnarable sana when attacked.Yule centre back wa Torino aje fast...
Na Yule mdenish wa barca..
Yani hapa kwa Szoboszlai niseme tu hili jina ni gumu kwangu
Kwa hali ilivyo kama hatutasajili Dm na kuongeza beki anayepiga mguu wa kushoto sidhani. Km kuna kombe tutanyakua maana mapungufu ni mengi kwny ukabaji tukienda na kikosi hiki na hatuna natural dm kwny kikosi ni hali ya hatari mnooNgoja tuone labda huu mwaka tutabeba treble
Sobozlai ..Wale watu wa matamshi mtufundishe hili neno linatamkwaje Szoboszlai
Mtu mmoja anitumie voice note ya jina la huyu jamaa maana nimeishia kujing'ata bure Mimi.Wakubwa zangu inakuaje tena mnaandika visivyo majina ya watu?
Anaitwa "Szoboszlai"
Tuliwaambia hamna kijiji bila wazee, mnafukuza wazee mnatarajia niniView attachment 2707393
Wafanyakaz wa Liverpool wenyewe wamelikosea kuliandika kwenye jezi , wewe mndengereko mwenzangu utaweza kulitamka kweli?Wale watu wa matamshi mtufundishe hili neno linatamkwaje Szoboszlai

SobozlaiMtu mmoja anitumie voice note ya jina la huyu jamaa maana nimeishia kujing'ata bure Mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanyakaz wa Liverpool wenyewe wamelikosea kuliandika kwenye jezi , wewe mndengereko mwenzangu utaweza kulitamka kweli?![]()



