Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa mapungufu yote hayo uliyotaja hebu nitajie kocha gani mwengine angeweza kukibebea hiki kikosi mpaka hapo alipofikia yeye tu! Tatizo hapa ni FSG wabahili! hata hao wachezaji wazuri tulionao tuwewanunua kwa kuvizia e.g. Salah, Mane etc. wote wamekuwa wakubwa kwenye mikono ya Klopp.

Bila ya klopp kamanda na sisi tungekuwa kama Chelsea kama sio Everton.
Acha kua na mawazo mfu ya bila Fulani nisinge
 
Mi nadhani he is just being proffesional, kuna makala moja nilikuwa nasoma leo inadai privately amechoshwa na lack of signings na atafikiria his options ikiwa FSG hawatompa support kwenye usajili msimu huu, inaonekana kama ana-consider post ya Germany national team .

Binafsi naamini kunaweza kuwa na ukweli coz jamaa alisema mwisho wa msimu uliopita kuwa anataka kufanya overhaoul ya midfield mapema ili apate muda wa kutosha kufanya nao kazi pre season kitu ambacho hakujatokea zaidi ya wachezaji wawili tuliosajili.
Unadhani mtu kama Pep angefanyiwa huu ujinga ambao anafanyiwa yeye na yupo kimya anasema squad inatosha,hadi damu zimtoke ndo anashtuka.
 
Liverpool wameshindwa kumnunua Lavia kwa mil 50 je wataweza kufikia hitaji la Brighton kwa Caicedo?

Kuna tetesi kuwa Brighton wanawatumia Liverpool kwa malengo mawili yenye kufaidisha pande mbili

Kwa Brighton Chelsea waongeze thamani ya bid lao

Kwa Liverpool ili Chelsea waachane na kumfukuzia Lavia waweke muda wao kubwa kwa dili la Caicedo

Tukutane Jumapili, msiogope Caicedo hatacheza
 
Cheki ripoti za muda huu kwa Melisa utajisahihisha
 
Liverpool wameshindwa kumnunua Lavia kwa mil 50 je wataweza kufikia hitaji la Brighton kwa Caicedo?

Kuna tetesi kuwa Brighton wanawatumia Liverpool kwa malengo mawili yenye kufaidisha pande mbili

Kwa Brighton Chelsea waongeze thamani ya bid lao

Kwa Liverpool ili Chelsea waachane na kumfukuzia Lavia waweke muda wao kubwa kwa dili la Caicedo

Tukutane Jumapili, msiogope Caicedo hatacheza
Unaichukuliaje Liverpool?
 
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHALIVERPOOOOOOOOOOOOLHAHAHAHAHAHAHAHAHA.
 
Mkuu hii TIMU siyo ya kingese Tena
Hapa sio ya kingese tena

Ila hii movie Ni kumtuliza klopp inaonekana kiliwaka humo ndani

Pia inawezekana liva walimind mcheza wa Chelsea kwenda kwa lavia

Bro 110 hela nyingi sana hio hela ya kumchukua Bellingham au Federico Valverde

Hii move Ni ya hasira za klopp itakua aliwatishia nasepa
 
Itakuwa hivyo...ila caicedo ni chuma KILE....LEO NIMEAMKA NA NGUVU MPYA KABISA...
 
Ila hii hela tungembeba Jude..
Au Lavia na Yule mbrazil.....

Bado tunahitaji centre back na beki mmoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom