The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Madrid ndo wanasumbua ...mara waseme wanauza mara waseme hawauzi...Mbappe ilikuwa anaenda bure mwakani... kwahiyo utata bado upoDah FSG wanajishauri nini hii dili
Madrid ndo wanasumbua ...mara waseme wanauza mara waseme hawauzi...Mbappe ilikuwa anaenda bure mwakani... kwahiyo utata bado upoDah FSG wanajishauri nini hii dili
Bora wangemaliza tu kwa LAVIA.Madrid ndo wanasumbua ...mara waseme wanauza mara waseme hawauzi...Mbappe ilikuwa anaenda bure mwakani... kwahiyo utata bado upo
Fsg outKinachoniuma ni mimi mtanzania wa huku ndani ndani naona mapengo ya wazi wazi
Ila wataalam walio ndani ya timu wanajifanya kutoona chochote
Bila ya kuziba haya mapengo timu ikishinda ni yetu sote ila ikipigwa pigwa ni yao najiengua kuifuatilia naendelea na michongo yangu
Pressure ya nini?
Mshahara wa shabiki ni ushindi
Bei yake ni milioni 21 ndo walitaka kuwauzia Fullham...labda wampandishe kisa Liverpool...kuna huyu mtoto Andre (Brazilian) naona kisiki hasa DM, ila kwa ubahiri wa FSG sidhani kama watatoa hiyo 30M wanayotaka.
Lavia .. Southampton wanaleta tamaa...wanalazimisha 50...wakati bei yake halisi 30... Liverpool washafika 41...Bora wangemaliza tu kwa LAVIA.
hii summer wako kwenye 170 huko, sio 123 mkuu......Summer...
mashabiki waliopo huko UK ndo wanazingua wakiamua kuliamsha FSG mbona wataondoka!Fsg out
Wanazingua wale majamaa
Hii Timu ya kijinga sana tunazidiwa hadi na ArsenalHii team kmmk team ya kisenge sana hii

Mkuu, Nadhani utakuwa Mgeni sana kwa Liverpool,Hii Timu ya kijinga sana tunazidiwa hadi na Arsenal![]()
Haaaa....Liverpool wakimpata Lavia tayari ubingwa mkononi. Mashabiki wa Liverpool hua mnanifurahisha sana na imani yenu, mnaweza kuamisha maji ya bahari kwa kijiko.Lavia .. Southampton wanaleta tamaa...wanalazimisha 50...wakati bei yake halisi 30... Liverpool washafika 41...
Kuna asilimia inaenda Man city ndo maana Southampton wanakomaa



bid ikifika 80+ yanks watamuuza, huwa hawatanii waleNinachowapendea Wasaudia hawatanii ,wanafanya kweliView attachment 2710632


,