TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,197
- 18,226
Shujaa😳😳😳Hatutamuona tena Shujaa Hendo akiwa kwenye kikosi chetu
Shujaa😳😳😳Hatutamuona tena Shujaa Hendo akiwa kwenye kikosi chetu
Wonders shall never endShujaa![]()
Ma-captain wateule wote wachoma vibanda hakuna kiongozi wa maana. Ngoja tuone TAA atachezeshwaje kama ni kule RB tutampa Jina Vice-captain chochoro.Ule uchochoro kwa sasa, huyohuyo VVD ndio atakuwa anaonesha vidole wengine wakabe.![]()
NdiyoShujaa![]()
Wote wawili wana sifa za uongoziHahahahaaaa
machochoro mawili yamekua manahodha
Mvuvi lazima asafiri na ndoo chomboni
Kabisa, yaan bora asajili beki aisee poor defenceHii timu haina mabadiliko na msimu uliopita nadhani klopp anataka aondoke kwa aibu kama pesa za usajir hamna bora aende ao maboss watamuaribia cv yake.!
Ukiangalia wenzetu wanavosajir na sisi tunavochungulia hela zetu unajua kabsa tumerud liva ya zamanKabisa, yaan bora asajili beki aisee poor defence

Nadhani umeona mapungufu ya matip na gomez ?Matip ni mkombozi wetu