MosDef jana kabla ya mechi ulipigwa wimbo wa Taifa wa Uingereza lakini uwanjani hawakua kimya ni full kelele.. Hii imekaa aje huko mkuu maana inaonanekana kuna ishu sio bure maana baada ya wimbo ule ikaja sasa YNWA na uwanja wote kwa pamoja ukawa tulivu.
Randal Kolo Muani naona hatumo tena kwenye kumtaka huyu dogo mbali ni wenye ma pesa yao sasa wanatajwa.
YNWA
Its way deeper.
Ni suala lenye historia kidogo, tracking back kuanzia miaka ya 1980s, ni kipindi ambacho Margaret Thatcher alikuwa ni waziri mkuu wa Uingereza.
MosDef jana kabla ya mechi ulipigwa wimbo wa Taifa wa Uingereza lakini uwanjani hawakua kimya ni full kelele.. Hii imekaa aje huko mkuu maana inaonanekana kuna ishu sio bure maana baada ya wimbo ule ikaja sasa YNWA na uwanja wote kwa pamoja ukawa tulivu.
Randal Kolo Muani naona hatumo tena kwenye kumtaka huyu dogo mbali ni wenye ma pesa yao sasa wanatajwa.
YNWA
Just like any other big Cities in Europe, Liverpool City ni moja kati ya miji iliyonufaika sana na Slave trade (buying & selling black people) kipindi cha industrial revolution, kitu kilichofanya mji ujijenge sana kupitia viwanda vyake, vilivyopelekea mzunguko mkubwa sana wa biashara na muingiliano mkubwa sana wa watu, so kwa miaka mingi sana, black people walikuwa ni just working class people kwa mji wa LFC, na kama unavyojua treatement ya watu weupe towards black people (especially kipindi kile), so racism, abuses, manyanyaso yalikuwa ni makubwa, na yaliongezeka zaidi baada ya POLICE kuanza ku-take advantage of the situation, sasa ilivyofika miaka 1980, manyanyaso ya police kwa black people yalizidi, so mwishowe riots kubwa zikatokea, sasa riots hizi zilianza kama mabishano kati ya police na black people, BUT, ikumbukwe pia kipindi hik, Uingereza ilikuwa inapitia katika Economic unrests, maisha yalikuwa magumu hasa kwa wananchi wenye hali ya chini kutokana na sera mbovu za serikali katika ku-tackle economic unrests zilizoibuka kwenye miji mingi uingereza, na kwa Scousers hali ilikuwa mbaya zaidi as they felt kuwa Government haiwajali na kuwatetea kama wanavyofanya kwenye miji mingine, so yale maandano ya black people against Polices, yakachochea watu wengine kuingia pia kwenye maandamo hayo kwa malengo tofauti tofauti, na ndani ya siku chache maandamo yakasambaa sehem kubwa ya nchi, ambapo kwa Liverpool City yalisababisha uharibifu na majeruhi wengi sana, athari ya zile RIOTS zilikuwa kubwa sana kwa LIVERPOOL, kuanzia nyumbani mpaka makazini, watu walipoteza houses, biashara, kazi etc
Sasa, kwa wakati ule waziri mkuu alikuwa ni Margaret Thatcher, unajua riots zikitokea kubwa, damages pia zinakuwa kubwa sana, so baada ya zile riots, serikali ya Margaret Thatcher ikagoma kusaidia kurekebisha damages kubwa zilitokea kwenye mji wa Liverpool, na Thatcher alifanya hivyo kwa kuwakomoa Scousers kwa aliamini wao ndio walikuwa kiini cha ile unrest/riots kwa nchi nzima, akaamuru kuwa Liverpool City, iachwe iji-manage yenyewe kwenye ku-recover, ikumbukwe kwamba baada ya riots, viwanda, ports, social services etc, zote au baadhi zilikuwa zime-collapse na hazifanyi kazi, so hali ya uchumi ilikuwa ngumu, ni wakati huu ambapo biashara za watu wengi sana zilipotea na kufa, kutokana na Serikali ya Thatcher kugoma kusadia, na kwa maksudi akaamua kuweka. nguvu zaidi kwenye mji wa Manchester, akijua wazi kuwa upinzani wa hii miji ulianza tangu wakati wa industrial revolution, sasa kuamua kuhamisha baada ya big business entity na uwekezaji mwingine wa serikali kutoka Liverpool kwenda Manchester, kilikuwa ni kidonda kingine, so serikali ya Uingereza kupitia uongozi wa Margaret Thatcher uliacha doa kubwa sana Liverpool, ndiyo maana mpaka sasa level ya unemployment, poverty na homeless people ni kubwa sana Liverpool kuliko miji mingine, liverpool, (unajua chants maarufu za rival fans kwa LFC fans ni kuhusu level kubwa ya homeless people/poverty na ile ya SG slip)
Sasa, kwa effect hizi, na family ya kifalme kumuacha Thatcher afanye yale aliyofanya kwa mji wa Liverpool baada ya zile. riots, ikafanya Scousers wajione wako peke yao, na kama serikali pamoja na familia ya kifalme haikuwasaidia kipindi kile, basi na wao hawataki kuonesha heshima yeyote towards serikali ya UK kwa ujumla, LFC wameanza kuzomea wimbo wa taifa tangu 1980s.
Ishu nyingine ni hii ya Hillsborough, na jinsi Government ilivyo handle vibaya sana lile tukio with a LOT of cover ups.
But, kubwa zaidi ni ile ishu ya Toxteth riots, hii ya Hillsborough iliongeza kuni tu kwenye moto mkubwa.