Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

.... kwa maoni yangu, liverpool haitaji tena wachezaji wa aina ya Mount, au Jude. Liverpool inahitaji signing mbili au tatu. Holding midfilder wa kumsaidia Fabby. Na AM mwenye mwenye viwango hapa McAllister anafit.
Ni wakati sasa wa Klopp kubadili aina ya uchezaji. Aende na 3-5-2.
Matip-Konate-VvD. Kisha anamfanya salah na Diaz kuwa ni mafull back. Diaz- Jones-Fabinho Elliott -Salah. Kumbuka kwa formation hii tunahitaji wachezaji wa pembeni (flank) wenye uwezo wa kudrible. Hapa ndio Diaz na Salah wanapofit.

kisha anamaliza na Jota na Gapko. Hawa jamaa wawili ni goals machine.

Captain Heddo atakuwa ni backup ya Fabby wakati TAA na Robbo wao watakuwa ni backup ya salah na diaz.
liverpool inahitaji mabadiliko ya kiuchezaji. Hii timu akipewa Conte na aina wachezaji waliopo pale wallah atapata matokeo mazuri. Change may some tyms have a pains but still is needed.
Tubadilike. Angalia soka linalochezwa na City, Brighton na Arsenal. Hata wasipopota matokea mazuri lakini soka lao ni zuri na la kuvutia.
 
The earliest Liverpool can return to CL football is 2024/25. By then....

• Alisson will be 32
• Van Dijk will be 33
• Matip will be 33
• Robertson will be 31
• Henderson will be 34
• Thiago will be 34
• Fabinho will be 31
• Salah will be 32
 
N

ndio nasema mabadiliko ni lazima. Ni wakati sasa wa Klopp kuwaamini vijana.
 
.... kwa maoni yangu, liverpool haitaji tena wachezaji wa aina ya Mount, au Jude. Liverpool inahitaji signing mbili au tatu. Holding midfilder wa kumsaidia Fabby. Na AM mwenye mwenye viwango hapa McAllister anafit.
Ni wakati sasa wa Klopp kubadili aina ya uchezaji. Aende na 3-5-2.
Matip-Konate-VvD. Kisha anamfanya salah na Diaz kuwa ni mafull back. Diaz- Jones-Fabinho Elliott -Salah. Kumbuka kwa formation hii tunahitaji wachezaji wa pembeni (flank) wenye uwezo wa kudrible. Hapa ndio Diaz na Salah wanapofit.

kisha anamaliza na Jota na Gapko. Hawa jamaa wawili ni goals machine.

Captain Heddo atakuwa ni backup ya Fabby wakati TAA na Robbo wao watakuwa ni backup ya salah na diaz.
liverpool inahitaji mabadiliko ya kiuchezaji. Hii timu akipewa Conte na aina wachezaji waliopo pale wallah atapata matokeo mazuri. Change may some tyms have a pains but still is needed.
Tubadilike. Angalia soka linalochezwa na City, Brighton na Arsenal. Hata wasipopota matokea mazuri lakini soka lao ni zuri na la kuvutia.

Mkuu nakupinga hapo kwa Salah na Diaz. Utakuwa na 4-5 attacking minded players. Timu haina balance hiyo.

Vvd (ameshapotea he is no more plus age).
Matip (huyu wakuuzwa he is no more ishu za injury kwake zimemuweka pabaya)

Kumtegemea Elliot, Jones kama wachezaji wako 1st 11, ni kujichimbia shimo na kusubiri kufukiwa tu. Hamna wachezaji wa kukupa makombe.

Mkuu ishu sio kuchezaji tu kwa timu kama LIVERPOOL ni makombe na wachezaji wa kukupa major trophies sio Jones na Elliot. With 4-3-3 Klopp akipata fresh legs with quality bado anakiwasha tu. Pep na 4-3-3 yke anatusumbua tu season hii mwishoni ndio alitwist kidogo. Its not about formation its about quality bro.

We need top top MFs and atleast one top defender.

YNWA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom