Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Southampton kwanini tusichukue hawa watoto ..
Kamaldeen Suleimana ana Kasi kuliko mbape kuliko vinicius junior....

Kuna ward prawse...huyu hata sijui nisemeje...kuna Salisu....kifaa
 
2b120580-a4d4-49c4-9fb8-c76fb538c212.jpg

Baba Ameshasema.
Yetu macho watakao tus

YNWA
 
Klopp anatakiwa kufanya usajili tu hamna namna acha tupambane na Europa
 
Ingekuwa ni Man city huyu dogo wangempa game time angeshakuwa Beast kwenye kufumania nyavu, lakini kwa hii Liverpool niyaakina Milner na Henderson.
Screenshot_20230529-193946.jpg
 
Hiki kitimu bhana!

Kutoka kupigania quadruple na kauli mbiu kama 'imagine being us' mpaka kucheza futuhi.

Mnatia huruma.
 
Ingekuwa ni Man city huyu dogo wangempa game time angeshakuwa Beast kwenye kufumania nyavu, lakini kwa hii Liverpool niyaakina Milner na Henderson.View attachment 2639530
Nlvyosikia habari za klopp kutaka kumuuza huyu dogo nlmtukana sana klopp

Klopp huwa mpuuzi kweli kweli na Jeuri

Yeye kuelewa kitu Ni mpaka atoke damu kama kenge tu
 
Nlvyosikia habari za klopp kutaka kumuuza huyu dogo nlmtukana sana klopp

Klopp huwa mpuuzi kweli kweli na Jeuri

Yeye kuelewa kitu Ni mpaka atoke damu kama kenge tu

Ndipo anapokera huyu mjerumani…!!!
Huyu historia itamsahau mapema kama, hatakuwa na mentality ya Makombe.

Upuuzi ni kujikuta unataka Major trophies huku una kina Ox na Keita, bench una Jones na Milner.
 
Ndipo anapokera huyu mjerumani…!!!
Huyu historia itamsahau mapema kama, hatakuwa na mentality ya Makombe.

Upuuzi ni kujikuta unataka Major trophies huku una kina Ox na Keita, bench una Jones na Milner.
Msimu uliopita unavyoisha alijitapa sana

I have lots of midfielders

Duh mid wenyewe kina milner and hendo

Pride will be death of this might klopp
 
Nlvyosikia habari za klopp kutaka kumuuza huyu dogo nlmtukana sana klopp

Klopp huwa mpuuzi kweli kweli na Jeuri

Yeye kuelewa kitu Ni mpaka atoke damu kama kenge tu
Hako katoto Bado sana kuanza kuisumbua LFC

It’s another suso
 
Itamsahau vipi?

Over the pst 30 years, nani kashinda trophies kama yeye pale LFC?

Gerrard Houllier (R.I.P)

Klopp katengeneza timu nzuri ya mpira mzuri lkn miaka 8 EPL 1 = na Ranieri. CL moja sawa na Tuchel.

Ni kocha mzuri ila binafsi bado hajawa miongoni mwa bora. Anapaswa kuyabeba makombe mengi zaidi ilikuhesabika miongoni mwa G.O.A.T.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom