Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,525
- 235,259
Klopp amuweke benchi Hendo mtoto pendwa?😂Aanze tu!Tatizo pesa.
Halafu kuwaondosha wote kwa wakati mmoja na kuleta wapya inaweza kuwa ya Chelsea.
Nafikiri jinsi ya kumuondoa Henderson kikosini, ni kumpunguzia game time kiasi aonekane mzigo tu. Waje majembe yapige kazi, atajiondokea mwenyewe tu.
Mac Alister tayari.
Natamani kumuona new established RB ili TAA acheze moja kwa moja CAM na sio inverted RB. Kisha tukajaribu hawa watu
Caiceido
Barella
Nunes
Rice
Bowen
Neves,
ili tupate established MF watatu mpaka wanne kisha waje kina Prowse
Next season our seaeon.
Hao kina Elliot, Jones ni wa FA & Carabao. Ila sio wa kuwategemea hata kidgo. Atleast Elliot akipangwa RW hua anafanya jambo. Huyu Jones ni dakika za mwisho tu gari la mkaa limewakia mteremkoni baaaasi, hana jipya.
YNWA
Impossible 🙌