Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Are we still missing Mane or Mane missing Liverpool.??

Does Salah deserve 350k?

I still believe we are going to finish league in style.

YNWA.
Yote ni majibu sahihi,
Tunammiss na anatumiss, japo pengo lake kwa kiasi kikubwa limefanikiwa kuzibwa,ila yeye anatumiss zaidi kuliko sisi tunavyommiss.
 
MosDef jana kabla ya mechi ulipigwa wimbo wa Taifa wa Uingereza lakini uwanjani hawakua kimya ni full kelele.. Hii imekaa aje huko mkuu maana inaonanekana kuna ishu sio bure maana baada ya wimbo ule ikaja sasa YNWA na uwanja wote kwa pamoja ukawa tulivu.

Randal Kolo Muani naona hatumo tena kwenye kumtaka huyu dogo mbali ni wenye ma pesa yao sasa wanatajwa.

YNWA
 
Huku juu atatujulisha.

Hapo kwa Kolo Muani, sidhani kama tulikuwa interested naye. Zaidi brother MosDef alisema list ya wachezaji ambao Liverpool inaweza kuwasajili na wakaleta matokeo chanya sana, kwa bei nzuri na bado hana jina kubwa basi Randal Kolo-muani naye yumo.

Hata hivyo Klopp ameshasema

️@_pauljoyce: Jurgen Klopp says Liverpool will not be held to ransom over summer signings and will move on to alternative targets if rivals use their desire for midfield reinforcements to ramp up prices
 
Hao watatu wakitua kwa pamoja itasumbua kwny rotation ya players Nani awe regular starter na Nani akalie benchi
Kabisa maana saivi tungewapata wawili tu, RB mmoja na CB mmoja ingekua poa sana maana saiv tuna Bajcetic pia bado TAA anatakiwa awe Midfielder japo Klopp hapangiwi.
 
Hapa nilikuwa napitia Platforms mbalimbali za Waafrika (racists) kuangalia zile kauli zao kuwa Salah bila ya Mane hana lolote, Salah alikuwa akibebwa na Mane.

Haya Salah huyu sasa anaendeleza alipoishika je Mane kafikia wapi zaidi ya kutwanga Mangumi mchezaji mwenzake?

Salah will be a great Liverpool's Legend, je Mane atakuwa Legend wa Bayern? Si atakuwa kama Owen tu Legend anayejificha kama Digidigi.
 
Hapa nilikuwa napitia Platforms mbalimbali za Waafrika (racists) kuangalia zile kauli zao kuwa Salah bila ya Mane hana lolote, Salah alikuwa akibebwa na Mane.

Haya Salah huyu sasa anaendeleza alipoishika je Mane kafikia wapi zaidi ya kutwanga Mangumi mchezaji mwenzake?

Salha will Liverpool great Legend, je Mane atakuwa Legend wa Bayern? Si atakuwa kama Owen tu Legend anayejificha kama Digidigi.
Upo sahihi mkuu kuna kipindi watu walikua wanalaumu kua mane alistahili ballon d'or kuliko benzema kutokana na mafakio aliyokua kapata...
Tena wakenda mbali hivohivo kua ananyimwa Kwa sababu ni mweusi... Sasa kuna jamaa alifunga mjadala akamuuliza huyu mlalamikaji.. hivi mane anastahili kua mchezaji wa EPL compare to Salah or Kdb? Jamaa akakataa

Akaulizwa tena Kati ya Salah na mane Nani kaibeba liver Kwa takwimu kuanzia assist na magoli.. still Salah alionekana kua Bora..
Basi nikaamini Sisi ngozi nyeusi tuna ubaguzi wa kijinga sana
 
MosDef jana kabla ya mechi ulipigwa wimbo wa Taifa wa Uingereza lakini uwanjani hawakua kimya ni full kelele.. Hii imekaa aje huko mkuu maana inaonanekana kuna ishu sio bure maana baada ya wimbo ule ikaja sasa YNWA na uwanja wote kwa pamoja ukawa tulivu.

Randal Kolo Muani naona hatumo tena kwenye kumtaka huyu dogo mbali ni wenye ma pesa yao sasa wanatajwa.

YNWA

Huku juu atatujulisha.

Hapo kwa Kolo Muani, sidhani kama tulikuwa interested naye. Zaidi brother MosDef alisema list ya wachezaji ambao Liverpool inaweza kuwasajili na wakaleta matokeo chanya sana, kwa bei nzuri na bado hana jina kubwa basi Randal Kolo-muani naye yumo.

Hata hivyo Klopp ameshasema

️@_pauljoyce: Jurgen Klopp says Liverpool will not be held to ransom over summer signings and will move on to alternative targets if rivals use their desire for midfield reinforcements to ramp up prices
 
Huku juu atatujulisha.

Hapo kwa Kolo Muani, sidhani kama tulikuwa interested naye. Zaidi brother MosDef alisema list ya wachezaji ambao Liverpool inaweza kuwasajili na wakaleta matokeo chanya sana, kwa bei nzuri na bado hana jina kubwa basi Randal Kolo-muani naye yumo.

Hata hivyo Klopp ameshasema

️@_pauljoyce: Jurgen Klopp says Liverpool will not be held to ransom over summer signings and will move on to alternative targets if rivals use their desire for midfield reinforcements to ramp up prices
Randol Kolo naona Bayern Munich wameambiwa leteni £100m hivyo hapo hatumo kabisa.

YNWA
 
Screenshot_20230507_145147.jpg

Haya ndio mambo sasa yenye tija.

YNWA
 
Screenshot_20230507_144608.jpg

Haya mambo jamani huyu dogo atue tu Liverpool maana tangu 2015 kila dirisha lazima tuhusishwe nae.. Nakumbaka kuna kipindi mpaka alivaa kabisa uzi wa Liverpool namba 10 akijua sasa anatua Anfield... Ebu Klopp amtoe Napoli atue Anfield mahala anapopenda.

Ni MF.

YNWA
 
View attachment 2613298

Zielinski tokea nakuwa nimekuwa nasikia anahusishwa na Liverpool
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom