Unamkamia sana mkuumtoto wa kike huyu boss

Ndio klopp aondoke kabisa mkuuYani hapa mnatuaminisha klopp kuwa ni kocha kumbe ni mediocre kabisa misimu 8 kakombe kamoja tu klopp must go.
Na nyie mlivyo wajinga mmekaza kichwa na klopp kuwa na kocha hapo.
Poor kloppView attachment 2633221
Sasa akitoka Henderson FSG nafasi yake izibwe na nan JAJA of OPOBO ?Kifo tu ndo kitamtenganisha Hendo na Liver
Huyu ana mkataba wa maisha![]()
Mnataka aondoke ili mumchukueYani hapa mnatuaminisha klopp kuwa ni kocha kumbe ni mediocre kabisa misimu 8 kakombe kamoja tu klopp must go.
Na nyie mlivyo wajinga mmekaza kichwa na klopp kuwa na kocha hapo.
Poor kloppView attachment 2633221
Kocha mpumbavu kama klopp hata kumuweka tu awe msafisha choo pale OT tu ni jambo lenye hakuna.Mnataka aondoke ili mumchukue
Tumewastukia
OllaChuga Oc 😂😂😂😂😂😂
Msimu mzuri hawana hata kikombe cha maji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2633947
Aaron Arsenal na DullyJr pongezi kwanza kwa msimu mzuri kwani hamkua mnapewa nafasi kuleta ushindani ule kwa Manchester City... Kuumia kwa Saliba muda wa lala salama ilikua pigo kubwa sana. Naamini Arteta atapewa sapoti sokoni ya MF mmoja na beki mmoja na msimu ujao mtakua moto sana. Pia upande wa beki ya kushoto patazameni.
YNWA
View attachment 2633947

Kwani Liverpool unaona atamiss champions league spot??Kumekucha HUKU,.
𝗡𝗘𝗪: Liverpool will take a hit financially from missing out on the Champions League, but significant funds will still be made available to the manager. #lfc [james pearce - the athletic]
Manchester United akipata point 1 tu, next season tutawaona Alhamis.Kwani Liverpool unaona atamiss champions league spot??
Subiri hadi mwisho mkuu
Toa sabubi ili tuelewe hoja yakoSina sababu za kiufundi, lakini sio Arsenal ikiuwasha tena kama msimu huu.
Mark this you will remind me coming January 2024.
I stand to be proved wrong from them.