Kipara anachukua makombe na haridhiki anaendelea kusajili tuuMadrid ya sasa haina ukali. City ndio timu bora kwa sasa duniani. Na wataendelea kudominate kwa miaka mingi. Haswa pale england. Watapiga back to back mpaka pep atakapo ondoka.
City ni nyoko....
Pesa ipo atafeli Vipi.....huku tunachakazwa na FSG mobKipara anachukua makombe na haridhiki anaendelea kusajili tuu
Watacheza mazoezini jamaniAnataka acheze pekeyake mwanzo mwisho,wenzie watacheza saa ngapi?
Ubinafsi.
Mm kinachoniuma ni kuona wonder kid Milner na mtaalumu wa pasi za mwisho Ox wakiondokaKinacho niuma ni Bobby kuondoka, kingine kinacho niuma ni VVD na Matip kubakiView attachment 2625540
Chizi wewe😂😂😂😂Watacheza mazoezini jamani
😂😂😂😂😂Mm kinachoniuma ni kuona wonder kid Milner na mtaalumu wa pasi za mwisho Ox wakiondoka
Kipara unaweza kushangaa akaharibu fainali na over thinking zake wakati keeping things simple inasaidia sanaaaa.Sijambo kabisa
Nafurahia mimadrid ilivyochapwa Jana 😂😂😂
Wakati sisi tunahangaika kuwaondoa akina Milner, Kipara huyoo anaenda kunyanyua kwapa.
Akiharibu fainali nitacheka.Kipara unaweza kushangaa akaharibu fainali na over thinking zake wakati keeping things simple inasaidia sanaaaa.
Milner bado anabebelezwa na Klopp abakieila mzee wako anaboa sana.
YNWA
Kipara hata akiamua ampe binti yake wa miaka 7 apange kikosi lazima washinde...Kipara ana ishi luxury life pale kwenye ligi ya EPL hakuna kocha yoyote anaishi luxury life kama Kipara, kwa sababu ana resources zote yaani asipocheza De Bruyne ataingia Gundogan, na aAsipocheza Mahrez atacheza Foden/ Grealish sasa hebu njoo kwetu hivi Klopp anaweza kumuweka Salah nje tu bila sababu? au Pale Spurs Harry Kane anaweza akawekwa benchi bila sababu?? Yes Kipara ana luxury life kuliko Manager yeyote pale EPL 🤣 🤣 🤣 🤣
Goli linakuja hata dakika ya 90. Niko upande wa SalahLakini dakika amepewa za kutosha.
Hadi anakuja kutolewa,amecheza zaidi ya dakika 70.
Sub lazima afanyiwe Apende asipendeGoli linakuja hata dakika ya 90. Niko upande wa Salah
Siku nyingi sijapita humu naona mmepona kideri.
Hivi wale ndugu zenu mliokuwa mnawatakia ubingwa mmeshafikia wapi?
Halafu kile kikombe mlichokua mnaturingishia miaka nenda rudi hatimae tunaenda kukibeba sasa.
Tunawaalika Istanbul mje mshuhudie soka la kibingwa.
Usitukane Mamba kabla hamjavuka mtoSiku nyingi sijapita humu naona mmepona kideri.
Hivi wale ndugu zenu mliokuwa mnawatakia ubingwa mmeshafikia wapi?
Halafu kile kikombe mlichokua mnaturingishia miaka nenda rudi hatimae tunaenda kukibeba sasa.
Tunawaalika Istanbul mje mshuhudie soka la kibingwa.
Kweli kabisa, lakini sasa mto wenyewe kimo cha mbuzi, mbaya zaidi hata huyo mamba mwenyewe meno hana.Usitukane Mamba kabla hamjavuka mto
Hakika mnaenda kulibeba.
Hata mimi nawaombea mlibebe pia. Kuliko lile Kubwa jinga Lukaku kulibeba
una bifu na lukaku?