Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
Milner hajafunga??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Milner hajafunga??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Je Henderson hajafunga pia ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukishinda mechi zote..?? Wakati umebakiza mechi moja tu eplLiverpool tukishinda mechi zote na MANCHESTER United wakafungwa zote tunafuzu
Nyie mpo UEFA?Matakataka mushakosa UEFA. Nyie munatofauti gani na sisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaa😂Matakataka mushakosa UEFA. Nyie munatofauti gani na sisi😂😂😂😂
Lakini hamuchezi UEFA😂😂😂😂😂Khaa😂
Litimu limetumbukia huko kwenye namba kumi naa na likesajili kila aina ya wachezaji na likafeli
Unalibganisha na timu yetu?
Ha Hahaha nimepata mrisi aise 😂😂🤣🤣🤣Liverpool tukishinda mechi zote na MANCHESTER United wakafungwa zote tunafuzu
Sisi tupo EPL tu 😂😂😂😂🤣🤣Nyie mpo UEFA?
Nsamehe nchumbaHaufananii kuwa na hizi hasira[emoji6]
[emoji23]Sisi tupo EPL tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Kwenda[emoji38]Lakini hamuchezi UEFA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilo ndio la kuangalia
Mi nakupenda nchumba [emoji7][emoji73]
I love you more kijana mzuriMi nakupenda nchumba [emoji7][emoji73]