Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Madrid hawa huwa natamani kuwapiga.We acha bado sijasahau Ile siku halafu tukaja kufungwa Fainali na Madrid dah...
Hii fainali niliangalia na Mimi.
Madrid hawa huwa natamani kuwapiga.We acha bado sijasahau Ile siku halafu tukaja kufungwa Fainali na Madrid dah...












Jinga tu lileKwanini Salah akifanyiwa sub ananuna?


anajikutaga superstarYaani hawezi hata kupretend furahaJinga tu lileanajikutaga superstar
Kwanini Salah akifanyiwa sub ananuna?
Hata kama namba zinatisha bado siyo sababu ya yeye kununa.Slaha hanuni yupo hivo hivo tu..!!! Katazame mechi anazotolewa hasa z msimu huu. Ndivyo alivyo japo alikuwa na hali ya kununa. Hii ni kawaida kwa mastaa wengi hasa akiona ana uwezo wa kufanya zaidi. Kamuangalie vs City utaoana.
Facial expression yake mostly huaa hivyo. Tusimuhukumu saaaana
Our EGYPTIAN KING.
Timi mbovu ndio ila number za Salah kwa timu mbovu hii zinatisha.
YNWA
Analipwa hela aitumikie team, na kika dakika anayocheza anatafuta kuvunja records za kila aina Liverpool, Acha anune,Hata kama namba zinatisha bado siyo sababu ya yeye kununa.
Ndiyo anafanya vizuri lakini asijione yeye ni special kuliko wengine wote.
Mpeni mauwa yake Salah..acheni unafiki.Jinga tu lileanajikutaga superstar
😂 😂 😂 😂 😂 Mtuache yaaani Kipara kapata sana mteremko kisa tu uwekezaji mahususi hauji wakati sahihi...Yani FSG wamearibu Mpaka akili za mashabiki wanaona kutoa na hela ni nyingi kama wanatoa wao
Kweli FSG out.
Ndio Jumamosi wapo Anfield 🤓🤓🤓.#MICHEZO Kocha wa Aston Villa Unai Emery amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi April wa EPL. Unai amewashinda Pep Guardiola wa Man city, Roy Hodgson wa Crystal Palace, Eddie Howe wa Newcastle United na Gary O’Neil wa FC Bournemouth.
#EPL #UnaiEmery #AstonVilla
Unai apewe pongezi aisee
Chelsea ipi hii hii kikosi anapanga Todd Boehly au ipi.Naiona top 4 Liverpool
Kuna mechi hizi 2 zitaamua nan aende
Newcastle vs Brighton
Manchester United vs Chelsea
Hapo kuna mbulula mmoja kat ya man u au Newcastle lazma apoteze point 3 au 2 wakat huohuo sisi tukishinda game ZOTE 2
Chamsingi ni tushinde mechi zetu.Chelsea ipi hii hii kikosi anapanga Todd Boehly au ipi.
Nwa ngoja tuone EPL hua haishi msisismko.
Japo binafsi sina kabisa hope ya Big 4.
YNWA
Anazeeka vibayaKwanini Salah akifanyiwa sub ananuna?
Na kubwa zaidi kisiki VVD na Milner wabakiChamsingi ni tushinde mechi zetu.
Na wenzie pia wanalipwa hela ili waitumikie timu.Analipwa hela aitumikie team, na kika dakika anayocheza anatafuta kuvunja records za kila aina Liverpool, Acha anune,
Anakera sana huyu naye kila siku anataka kufunga magoli ya ku curve tu . bora Dogo Elliot na yeye awe anapewa hata dk 20 au 15.. 🤣🤣🤣Kwanini Salah akifanyiwa sub ananuna?
Kipara ana ishi luxury life pale kwenye ligi ya EPL hakuna kocha yoyote anaishi luxury life kama Kipara, kwa sababu ana resources zote yaani asipocheza De Bruyne ataingia Gundogan, na aAsipocheza Mahrez atacheza Foden/ Grealish sasa hebu njoo kwetu hivi Klopp anaweza kumuweka Salah nje tu bila sababu? au Pale Spurs Harry Kane anaweza akawekwa benchi bila sababu?? Yes Kipara ana luxury life kuliko Manager yeyote pale EPL 🤣 🤣 🤣 🤣😂 😂 😂 😂 😂 Mtuache yaaani Kipara kapata sana mteremko kisa tu uwekezaji mahususi hauji wakati sahihi...
Hua namtaja Kipara kwa kua he is the real deal hapa EPL aisee wale ndio mark up.. Tazama usajili wao ulivyo wa kimkakati wakati huku tunajazana kutoa mikataba kwa wazee yaaani...
FSG hawana pa kujificha tena aidha watoe pesa ama Klopp atimkie zake Real Madrid...
YNWA