Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Madrid kawagonga final mbili daaa ...

Pep tu baada ya ile semi final alirudi maabara akachanganya salphric acid +Carlo ancelotic acid plus litimus pepar akagundua yule Carlo alibahatisha ..

This time tumemkanda goli 4 ....

Sasa mnagongwa na Madrid back to back kama kuku ...klopp hana mbinu mbadala aisee
Angekuwa Hana mbinu mbadala asingenusa finali Uefa back to back swala ni uzembe wa baadhi ya wachezaji ndani ya pitch
 
Real Madrid were so easy to be scored Uefa mwaka jana kilichotusumbua Ni kitu kimoja

How klopp reacted with losing to them

Alienda na same tactics over and over
Klopp ameishi kwa kopi na ku pasti kwa muda mrefu sana huku lady luck akiwa upande wake, na alivyoambiwa na wachambuzi, former players, ma fans nk alikua mkali ajabu na kutoa mifano makombe aliyochukua, ishu ikaja sasa msimu huu amejuliwa, uchovu, uzee, majeruhi nk anafungwo left n right.. Mpaka anasema mambo lazima yabadilike dirisha lijalo ni baada ya kuoja joto la jiwe haswa.

YNWA
 
Msimu ujao

Hapa ugarte pale mac alister

Watu watalia sana aisee

Hasa Brighton mimi nawataka sana wale watoto
 
Nyie liverpumbu hapa Leo Kuna game Kati ya Brighton na Newcastle.

Mnaombea nani ashinde maana akishinda Newcastle mmkuti mtu pale juu nae Brighton akishinda anawashusha sio muda hapo juu.

Ueropa league is waiting for you
Screenshot_20230518-133514.jpg
 
Hii timu ya liverpumbu ukiangalia kwa umakini unaona hii timu ni mediocre timu.

Mshukuruni sana klopp, nae nyie eti Leo mnajiona mna stahili kuwa na wachezaji Aina ya Jude ulisikia wapi.

Nyie wachezaji wa viwango vyenu tuliowazoea ni kina.

Lambert
Super marioo balotel
Adam lalana

Poor liverpumbu mediocre timu.

1678788823976.jpg
 
Nyie liverpumbu hapa Leo Kuna game Kati ya Brighton na Newcastle.

Mnaombea nani ashinde maana akishinda Newcastle mmkuti mtu pale juu nae Brighton akishinda anawashusha sio muda hapo juu.

Ueropa league is waiting for you View attachment 2626366
Huyo huyo Brighton bado anakutana na Man City na Aston villa hvyo bora Brighton ashinde tu.
 
Klopp ameishi kwa kopi na ku pasti kwa muda mrefu sana huku lady luck akiwa upande wake, na alivyoambiwa na wachambuzi, former players, ma fans nk alikua mkali ajabu na kutoa mifano makombe aliyochukua, ishu ikaja sasa msimu huu amejuliwa, uchovu, uzee, majeruhi nk anafungwo left n right.. Mpaka anasema mambo lazima yabadilike dirisha lijalo ni baada ya kuoja joto la jiwe haswa.

YNWA

Mimi ni mmoja ninayeamini mfumo hutegemea na wachezaji ulio nao.

Mf mdogo. Villa ya Gerrard ilipoteana lkn Emery kwa wachezaji wale wale walioshindwa na Gerrard wameitoa team from religation battle.

Klopp alichoshindwa ni sababu ya

KIBURI.

Kuamini sana anachoamini hata kama kinamfelisha, zaidi akismbiwa na wachambuzi, legends na fans. Klopp amekuwa ni mtu wa kupingana na ukweli mara zote. Mf ishu ya TAA kapigiwa kelele na ulimwengu wa soka, kaja kubadilika bado mechi nane. Since hapo hajapoteza na namba za TAA as inverted RB zinakuelezea uhalisia wa namba yake ni upi.

Mara zote Klopp ametaka kuprove majority wrong badala yake yamemkuta yeye.
Aonje joto ya jiwe tu ajifunze. Na nasmini amekifunza already.

YNWA
 
ukweli mkuu klopp mbele ya real Madrid miaka ya hivi karibun amekua hapat matokeo mazurii kabisa wanapokutana
Madrid ya sasa haina ukali. City ndio timu bora kwa sasa duniani. Na wataendelea kudominate kwa miaka mingi. Haswa pale england. Watapiga back to back mpaka pep atakapo ondoka.

City ni nyoko....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom