View attachment 2610441
Klopp new Bellingham aisee kumbe tulikua nae muda tu lakini Klopp hakutaka kufuata ushauri wa Gareth Southgate ambae hili aliliona mapema sana na kutoa ushauri kwamba dogo huyu panamfaa zaidi MF kama kawaida Klopp hapangiwi aliruka mita 100 kukataa huo ushauri akasubiri tusahau na huyu sasa anamtumia kati kati zaidi...
YNWA
What i like from Jurgen hafanyi maamuzi kusikiliza raia wema mnasemaje.
Mwamba alibishana na dunia ya mpira haitaji usajili anaamini katika mazoezi. Akapasuka
FA final
Akapasuka
Europa final
Akapasuka
CL final 2016-2018. Akaona eh.! Kwani kula maneno yangu shingapi bana.!? Argh kwanza wameshasahau. Akaingia sokoni akafanakiwa.
Ikaja kipindi ya injury crisis dunia ya mpira inamuambia Jurgen baba una natural CB’s Rhys William na Nath Philips watumie hao watakuvusha, ili uongeze idadi ya viungo ambao unawachezaji CB’s warudi MF,
Mjerumani yule akakomaa Hendo & Fabi as CB’s huku viungo hana. Zimebaki mechi tano hivi ligi kumalizika akayatii maneno ya wakulungwa, then BOOM akapata top four spot kwa mbiiiiiiiinde mwishoni kabisa.
Bwana Germany Nazi haishiwi misimamo inayomtafuna. Back days dunia ya mpira ikamwambia TAA is no more a defensive player. Unampanga tu ila kimajukumu waaaala unamuonea mjukuu wa malkia. Mwamba akaendelea alipoishia 2021.
Wamemkoboa weeee hatimaye amekubali yaishe. Scouser embu njoo kichafue Central MF tuone. Naona anamvua nguo karibu kila mechi.
Huyo ndio Klopp na maamuzi yake. Hapangiwi. Akiamua anampa Keita na Ox new contract na hafanywi ng’we na mtu.