Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nimesikia Madrid wako tayari kumuachia Tchoumeni pia
Jude is white next season... Yaaani FSG watoe zaidi ya £120m kwa mchezaji mmoja wakati timu inahitaji wachezaji wanne hivi... Kwa huyu dogo nasimama na FSG 🙆🏿🙆🏿 hakuna haja ya usajili mmoja aafu tubaki na akina Milner, Keita, Ox nk.... Bora ku spread hio bei yake kwa kununua angalau MF wawili...

YNWA
 
😂 😂 😂 King ebu tupe dodoo za usajili maana sio kwa imani hii.

YNWA

Kuna Midfielder 1 au 2 za uhakika zinakuja na sio lazima awe Jude kwanza sijawahi kuwa na Imani na hawa British players siku zote huwa overhyped kama walivyokuwa kina Sancho, Madison, Maguire, Grealish halafu ukiwatazama ni wa kawaida tu.

Tutaleta Mido ya uhakika
 
Moja ya mechi chungu sana kwa Liverpool ni ile.

Tungejua kupambana kuchukua ubingwa wa epl hii ni misimu we were very close to be crowned.

2008/2009
2013/2014
2018/2019
2021/2022

YNWA
FSG ubahiri wao na Klopp kutokua demanding anasusa tu kisa eti hua halii kwa kukosa jambo fulani...

Well June 2023 is here kazi kwao sasa wakakope wawekeze hatutaki bla bla sisi.

YNWA
 
Kuna Midfielder 1 au 2 za uhakika zinakuja na sio lazima awe Jude kwanza sijawahi kuwa na Imani na hawa British players siku zote huwa overhyped kama walivyokuwa kina Sancho, Madison, Maguire, Grealish halafu ukiwatazama ni wa kawaida tu.

Tutaleta Mido ya uhakika
Yeah hawa Waingereza bhana media hua zinawakuza sana kuliko na hio hua inapelekea bei zai kupanda mara dufu.... Kwa kua Klopp kakiri mwenyewe yupo sokoni kuimarisha kikosi dirisha hili basi tuwe na imani kwamba atapewa sapoti mapema bila tena kusubiri mpaka dakika za mwisho apewe Melo mwingine itajua aibu ya karne.

Tunahitaji all round MF ili pale Fabinho amepoa basi yupo like for like kumsaidia na pia tunahitaji dynamic 8 atengeze pasi kama za KDB ili kupata njia mpya za magoli tofauti na sasa ni LB na RB wanatoa sana assist na mpaka sasa hoi kwa kua tushajuliwa... Kingine VVD sio tena yuleee anahitaji msaada kwa kuletewa usajili mpya wa kucheza nae CBL. Na RB lazima Klopp aingie sokoni Trent hawezi kushambulia na ku defense kwa wakati mmoja amekua exposed sana msimu huu japo naona hili Klopp analifanyia majaribio kwa sasa.

Hayo yakifanyika tutakua salama.

YNWA
 
3e7d289a-b00d-4a23-a1b8-bbf252efa792.jpg

He is machine. Klopp anawaza ki vingine jinsi ya kumtumia Nunez

YNWA
 
Yeah hawa Waingereza bhana media hua zinawakuza sana kuliko na hio hua inapelekea bei zai kupanda mara dufu.... Kwa kua Klopp kakiri mwenyewe yupo sokoni kuimarisha kikosi dirisha hili basi tuwe na imani kwamba atapewa sapoti mapema bila tena kusubiri mpaka dakika za mwisho apewe Melo mwingine itajua aibu ya karne.

Tunahitaji all round MF ili pale Fabinho amepoa basi yupo like for like kumsaidia na pia tunahitaji dynamic 8 atengeze pasi kama za KDB ili kupata njia mpya za magoli tofauti na sasa ni LB na RB wanatoa sana assist na mpaka sasa hoi kwa kua tushajuliwa... Kingine VVD sio tena yuleee anahitaji msaada kwa kuletewa usajili mpya wa kucheza nae CBL. Na RB lazima Klopp aingie sokoni Trent hawezi kushambulia na ku defense kwa wakati mmoja amekua exposed sana msimu huu japo naona hili Klopp analifanyia majaribio kwa sasa.

Hayo yakifanyika tutakua salama.

YNWA
Huyo Bellingham anayepeperushwa na press za England hata simwamini kama wa hadhi hiyo. Ngoja muda utaongea.
 
Kuna Midfielder 1 au 2 za uhakika zinakuja na sio lazima awe Jude kwanza sijawahi kuwa na Imani na hawa British players siku zote huwa overhyped kama walivyokuwa kina Sancho, Madison, Maguire, Grealish halafu ukiwatazama ni wa kawaida tu.

Tutaleta Mido ya uhakika
Hata Zambo Anguissa anaweza akawa Bora kuliko huyo Jude ni basi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom