Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20230505_181857.jpg

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Klopp atazamwe asije ghairi hii dili.

Wonder kid my foot haya watajiju.

YNWA
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Steve G huyo alinichagulisha hii timu.
Nikawaga nampenda tu enzi hizo sielewi chochote
Steve G ni special breed. He is Liverpool and Liverpool is him...

Tangu astaafu hatajapata mchezaji mwingine kama yule kwa kua ni generation talent hua hawapatikani kirahisi...

YNWA
 
Wewe kweli ni wa kumsnitch Milner hivi?🙌🤣🙌
Angalau yule Bachelor atupumzishe Aisee
😂 😂 😂 😂 Yaaaaaani huyu Milner na Henderson sinaga kabisa mood nao tangu ile gemu ya Chelsea msimu uliopita ugenini tukatoka sare EPL kwa makosa yao ya kujuajua sana wala siwahitaji kabisa. Huku Kipara akipata ubingwa... Hawa ni wakuachiliwa mbali sanaaaaaaa

YNWA
 
Tetesi zinasema Mac Allister bei ni zaidi ya £70m ndio Brighton waamue kuuza kwa kua huyu dogo ana mkataba nao mpaka 2025... Kama kweli huyu hatufai kabisaa maana hana hio value unless iwe design kama biashara ya Nunez kwamba adds on ziwe kama nusu bei yake.

YNWA
 
CHEERS KWA WARD KUTOKUMBALI HUYU BABU KAKAKE Saint Anne apewe mkataba mpyaaaaa...

Hii ishu ilitakiwa awe ameshasepa tangu 2020 sijui wamechelewa wapeee maana angesepa 2020 basi hii 2023 angesepa dogo Henderson lakini duh naona bado tunae.

Am happy at least sitamuona huyu babu tena na uzi wa Real Reds next season...

Klopp shame on you kwa kung'ang'ania ma dead woods.

Ila Brighton bhana wakamchukua Lallana, Welbeck na sasa Milner, je hii ni home grown players ishu ama namna gani.

YNWA

Kumb ni kaka yake? Sikuwa najua hili.

Yeah ile ile 2020 alipaswa kuondoshwa 2021 ox na keita 2022 matip na gomez tusingeyapitia haya.

Naona recruitment board imeweka ngumu kwa Milner, Ox na keita kuongezewa mkataba. Wamemkaanga Klopp.
Alitaka kumuongezea Bobby, Bobby akamuwahi akataka kumuongezea Milner, Milner na kina Ward wakamuwahi.

au Klopp mwenyewe kawazunguka wanae tu anawazuga..??? Maana baada ya kuchabangwa 3-0 na Wolves alisema we need huge changes and we will do this time.

Tumshukuru Milner kwa yote, ana mazuri yake pia.

YNWA
 
View attachment 2611146

Hivi ni mimi tu au hakika i missed Big Sam na press conferences zake huku anatafuna big g hahaja ila jamaa full comedy... Eti yupo levo moja na pound for pound gaffers Klopp na Pep
Welcome back Big Sam.

YNWA

nimecheka huku Mourinho huku Wenger huku Big Sam

Epl back days. Atleast Wenger kati yao ila Wenger lawama zake zilikuwa kwa FA tu.

Mourinho yeye kwanza anaanza na wachezaji wake makavu live, kama refa alikorogesha mambo anambwatukia mwisho kabisa anawajaa FA
 
Tetesi zinasema Mac Allister bei ni zaidi ya £70m ndio Brighton waamue kuuza kwa kua huyu dogo ana mkataba nao mpaka 2025... Kama kweli huyu hatufai kabisaa maana hana hio value unless iwe design kama biashara ya Nunez kwamba adds on ziwe kama nusu bei yake.

YNWA

Kwanza jamaa kagoma kudondosha sign.
Halfu ugumu ni mkataba wa miaka miwli uliobakia.
Brighton wenyewe hawataki kumuachia ikiwa watafuzu mashindano ya ulaya.

Sema wana sera nzuri. Hawamzui mchezaji kuondoka ikiwa ataridhia kuondoka na timu itakayomtaka wafikie bei tu basi.

Ngoja tuone Ward atafanikisha vipi hili deal.

Naamini kuna players wawili watasajiliwa kama Gakpo kimya kimya tu. Maana huko sokoni ukisubiri June umeumia.

West ham wamesema Declan ni £100m

Jude + Declan + Grealish = £330m hatari sana hawa English players
 
Good days to start the weekend... Wasisahau na dogo Henderson hata bure

YNWA
| 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎: James Milner

After 8 years, James Milner will leave Liverpool at the end of the season to join Brighton — here we go! 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

◉ Milner has accepted all the details of Brighton bid — contract will be valid until June 2024, deal set to be signed.

◉ He’s gonna follow Brazilian star João Pedro who has already signed contract as new Brighton player on £30m deal from Watford, as revealed last week.

Not just Milner but also Naby Keita and Alex Oxlade-Chamberlain will leave Lierpool as free agents in June.

#lfc #liverpool #anfield #brighton #bhafc #milner #ucl #transfers #premier #epl #england #herewego
 
😂 😂 😂 😂 Yaaaaaani huyu Milner na Henderson sinaga kabisa mood nao tangu ile gemu ya Chelsea msimu uliopita ugenini tukatoka sare EPL kwa makosa yao ya kujuajua sana wala siwahitaji kabisa. Huku Kipara akipata ubingwa... Hawa ni wakuachiliwa mbali sanaaaaaaa

YNWA
🤣🤣🤣🤣
Bora Hendo.
 
| 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎: James Milner

After 8 years, James Milner will leave Liverpool at the end of the season to join Brighton — here we go! 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

◉ Milner has accepted all the details of Brighton bid — contract will be valid until June 2024, deal set to be signed.

◉ He’s gonna follow Brazilian star João Pedro who has already signed contract as new Brighton player on £30m deal from Watford, as revealed last week.

Not just Milner but also Naby Keita and Alex Oxlade-Chamberlain will leave Lierpool as free agents in June.

#lfc #liverpool #anfield #brighton #bhafc #milner #ucl #transfers #premier #epl #england #herewego
Keita, walikuonea sana kukupa jezi namba 8 ya SG huku wakijua wazi kabisa hata uwezo wa jonas mkude huna

Kwaheri baba, nitakukumbuka kwa goli lako la ufunguzi dhidi ya manyumbu pale Old toilet tulipowanyoosha 5

Otherwise sina kumbukumbu zozote za kiwango chako tangu utue Anfield
 
Kwenye picha za jezi mpya hayupo Milner wala Keita wala Ox...naona hao wanaondoka ..lakini Matip yupo
Matip na Gomez ni kopo na mfuniko. Hawa kua Liverpool mpaka sasa ni aibu ya karne kwani kwa pamoja hawana jipya wala kukupa mechi 40 dakika 90 combined...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom