Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

2023/2024
IMG_1628.jpg

8e97ef61-d7e5-4bbf-b28b-cf819e8ed436.jpg
 
cfde583c-3e5e-4ebd-9f88-8a78a9376c7d.jpg

Finally

Kuwaondoa hawa wa tatu ni big achievement kwetu.

Bado mikopo na wa kuuzwaz.

Gomez
Philips
Matip

Hawa huenda wakauzwa ila itakuwa part of the deal ya manunuzi ya players wengine.

Carvalho loan

Im ok Thiago na Hendo wabaki 1 season next summer tuwafungulie mlango . Kusajili wengi kwa mkupuo sio suluhushi yatatukuta ya chelsea.
 
Nilikua active kwa fabrizio kuona ishu ya Milner imefikia wapi.

Hawa Brighton they have eagle eyes na wanajua kulea vipaji.
Watasumbus season kadhaa mbele kama wakipata mdhamini mzuri, watakuwa kwa Southampton ile.

YNWA
 
What i like from Jurgen hafanyi maamuzi kusikiliza raia wema mnasemaje.

Mwamba alibishana na dunia ya mpira haitaji usajili anaamini katika mazoezi. Akapasuka
FA final
Akapasuka
Europa final
Akapasuka
CL final 2016-2018. Akaona eh.! Kwani kula maneno yangu shingapi bana.!? Argh kwanza wameshasahau. Akaingia sokoni akafanakiwa.

Ikaja kipindi ya injury crisis dunia ya mpira inamuambia Jurgen baba una natural CB’s Rhys William na Nath Philips watumie hao watakuvusha, ili uongeze idadi ya viungo ambao unawachezaji CB’s warudi MF,

Mjerumani yule akakomaa Hendo & Fabi as CB’s huku viungo hana. Zimebaki mechi tano hivi ligi kumalizika akayatii maneno ya wakulungwa, then BOOM akapata top four spot kwa mbiiiiiiiinde mwishoni kabisa.

Bwana Germany Nazi haishiwi misimamo inayomtafuna. Back days dunia ya mpira ikamwambia TAA is no more a defensive player. Unampanga tu ila kimajukumu waaaala unamuonea mjukuu wa malkia. Mwamba akaendelea alipoishia 2021.

Wamemkoboa weeee hatimaye amekubali yaishe. Scouser embu njoo kichafue Central MF tuone. Naona anamvua nguo karibu kila mechi.

Huyo ndio Klopp na maamuzi yake. Hapangiwi. Akiamua anampa Keita na Ox new contract na hafanywi ng’we na mtu.
Kumpa Ox, Milner na Kieta mikataba mipya ni suicidal kwa Klopp kama kweli yeye kidume kweli cha huko kwao adhubutu kuwapa kama hajawa nafasi ya 18 mpaka January na huyooo atatemwa usidhani FSG wana kifua kuvumilia kua nje ya kutocheza Champions League misimu miwili mfululizo aisee... Klopp kinacombeba ni historia tu lakini sio haya ya sasa... He is lucky kuileta ile EPL trophy otherwise hatuna muda nae tena mwingine wa majaribu. We need changes.. Milner, Ox, Matip, Keita out out...

Milner tayari mkuu
cfde583c-3e5e-4ebd-9f88-8a78a9376c7d.jpg
Ox na Keita nao bye bye hawana chao tena pale Anfield.
Milner ni vile injury free na utimamu wake wa akili umempatia dili huko Brighton.

Ox atabaki kwao England but Keita namuona akienda Italy

Rebuild imeanza mapema sana.
Klopp ametupa taulo

YNWA.
 
Milner tayari mkuuView attachment 2611130Ox na Keita nao bye bye hawana chao tena pale Anfield.
Milner ni vile injury free na utimamu wake wa akili umempatia dili huko Brighton.

Ox atabaki kwao England but Keita namuona akienda Italy

Rebuild imeanza mapema sana.
Klopp ametupa taulo

YNWA.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 CHEERS 🥂 KWA WARD KUTOKUMBALI HUYU BABU KAKAKE Saint Anne apewe mkataba mpyaaaaa...

Hii ishu ilitakiwa awe ameshasepa tangu 2020 sijui wamechelewa wapeee maana angesepa 2020 basi hii 2023 angesepa dogo Henderson lakini duh naona bado tunae.

Am happy at least sitamuona huyu babu tena na uzi wa Real Reds next season...

Klopp shame on you kwa kung'ang'ania ma dead woods.

Ila Brighton bhana wakamchukua Lallana, Welbeck na sasa Milner, je hii ni home grown players ishu ama namna gani.

Kwa mbali naiona dinner 😋
Ahadi ni deni
 
😂 😂 😂 😂 Kushindwa kumjua record scorer wa Kop End nilijua wewe ni wale wa kupimwa kwenye mzani ebu tuliaaa🤓🤓🤓🤓🤓

YNWA
Hebu niache🤣
Miaka ya 70 kule kwetu hata umeme wa solar haukuwepo,
Magazeti yanakuja kwa tabu
Ila nilikuwa tayari kijana mkubwa damu inachemka😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom