Ila kununua kama Chelsea bila kuzingatia uwiano wa mahitaji nako ni tatizo kubwa sana aisee.
Klopp tangu atue Liverpool kwenye usajili nampa 8 out 10. Ukiachana na hawa last minute panick buy kama Kabak, Melo nk na ukiachana Keita, Thiago, Ox.. Kwingine amejitahidi sana kupata value for money kwa mfano kwa Robertson kwa £8m, Salah £36m, Mane 34m, Jota £40m, Matip free, Gini £25m, nk nk... Hivyo utaona amepata maximum returns kwa hawa wachezaji wake in terms of trophies won na kukuza brand ya Liverpool.
Sasa ndio nashangaa sana FSG hua tunaangalia mechi sawa? Maana mahitaji ya Liverpool yapo wazi wazi tuna pedestrian Midfield na tuna over played back line bila back up ya maana kwa misimu mingi tu na wao wapo wametulia tuli. Kuumia kwa VVD msimu ule ilikua wake call kwa kufanya extensive search ya CM na CBL wenye umri wa chini waje wawe under study ya hawa wakongwe. Lakini kwa kuishi kwa kukopi yamewakuta sasa.
YNWA