Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaani Sasahivi inabidi tufungwe mechi zote zilizobaki ili angalau bangi zipungue kichwani kwa huyu mzee.
Ila kununua kama Chelsea bila kuzingatia uwiano wa mahitaji nako ni tatizo kubwa sana aisee.

Klopp tangu atue Liverpool kwenye usajili nampa 8 out 10. Ukiachana na hawa last minute panick buy kama Kabak, Melo nk na ukiachana Keita, Thiago, Ox.. Kwingine amejitahidi sana kupata value for money kwa mfano kwa Robertson kwa £8m, Salah £36m, Mane 34m, Jota £40m, Matip free, Gini £25m, nk nk... Hivyo utaona amepata maximum returns kwa hawa wachezaji wake in terms of trophies won na kukuza brand ya Liverpool.

Sasa ndio nashangaa sana FSG hua tunaangalia mechi sawa? Maana mahitaji ya Liverpool yapo wazi wazi tuna pedestrian Midfield na tuna over played back line bila back up ya maana kwa misimu mingi tu na wao wapo wametulia tuli. Kuumia kwa VVD msimu ule ilikua wake call kwa kufanya extensive search ya CM na CBL wenye umri wa chini waje wawe under study ya hawa wakongwe. Lakini kwa kuishi kwa kukopi yamewakuta sasa.

YNWA
 
Champions League msimu huu au msimu ujao.. Kama ni huu katazame tena msimo ndugu...

FSG na Klopp have been caught snapping on the job... Dalili zilikua wazi kwamba dirisha na January 2023 litumike powa kuweka msingi pale Midfield lakini tukashangaa wanakopi usajili wa Diaz ulivyoleta amsha amsha January 2022 hivyo akaja sajiliwa Gapko usajili ambao ni sahihi wakati usio sahihi... Sasa Klopp hana cha kufanya zaidi ya kumchezesha Milner ma wazee wenzie angalau aambulie Europa... Poor transfer planning ya Klopp kwa kigezo cha Bellingham as if he is the next Pirlo au Steve G.. Bure kabisa huu uongozi.

YNWA

Wonders shall never end.

YNWA
 
Mkuu asikwimbie mtu pigo la kukosa Champions League madhara yake sio ya kitoto ujue... Ukumbuke Liverpool wanatumie zaidi ya asilimia 70 kulipa mishahara ya wachezaji na supporting staff wa klabu hivyo kukosa ule mpunga kunaleta madhara makubwa kimapato japo kwa matangazo na kuongezeka expanded match day income pale Anfield kutasaidia kupunguza makali lakini FSG wana hali tete... Soon utasikia wamepata kuuza hisa kadhaa kwa£500m kwa fulani maana Gordon alishasepa kutoka Uingereza na kuhamia US ili akamilisha mauzo ama uwekezaji wa Liverpool...

YNWA

Mie hii ni furaha yangu, wachapike mifuko haswa. Ni vile hatuwezi kukosa hata conference tulipaswa kuwa kama Chelsea tu, tushirikiane maumivu sawa na yankees wale.

Hawa majamaa ubahili upo damuni tu. Kwenye michezo kote walikowekeza kwenye vilabu ni vilio tu.

Liverpool
Boston red sox
Pittsburgh penguins
 
Kitendo cha kumng'ang'ania Milner ambae hana jipya la kutuonyesha ni udhaifu wa Klopp kua na soft spot ya hawa watoto wa Mflame Charles...

Fergie alikua na hair dryer pale Manjesta na sidhani kama kuna mchezaji alieikosa japo alieongelewa sana ni Beckham lakini wengi hii kitu walikutana nayo... Sasa unajiuliza Fergie aliweza aje kushinda yale mataji mengi vile tena akiwa na wachezaji wa kuunga unga akina Oshea nk lakini alikua brutal n lethal pale inapobidi na boys delivered kwa kweli... Huyu wetu anadhani yupo na miaka 100 pale maana unaweza kupanga hawa wachezaji watastafia hapa aafu naanza upya kujenga kikosi kwa kua hakuna continuity na kwa vile FSG amewakusia biashara basi wao wametulia tuliii... Allison, VVD, Henderson, Salah nk hawa watastafia pale pale na wenyewe sasa ni mashahidi kwa kukosa mbadala wa VVD 1st 11 tunapata show za break dance on ice ...

YNWA

Hapo kasoro Salah na Alison tu, wengine dk 45 kurudi chini zinawatosha.

Klopp akiharibu anaharibu kweli na akipatia mnasahau yooooote
 
Jota kwenye one vs one akiwa upande ule wa kushoto ni nadra sana atakosa kufunga aisee. Boy has class and he delivered the goods when its mattered.

Kitendo cha ile mechi sikumbuki ilikua ugenini ama Anfield dogo Kane alikosa kupata kadi nyekudu ni pigo kwetu last season ukija kujuisha matukio na ile imo maana baada ya Kane kubakia uwanjani kwa ile crazy tackle alikuja akafunga goli na tangu pale sasa hawa Spurs ni sworn enemies sasa weka na refa yule yule aliekosa kumpa dogo Kane ile kadi basi ujue it's means more kuwachapa hawa jamaa.

YNWA

Kabisa.
Halafu Kane anahojiwa mwisho wa mechi anadai hamukumuona Robbo, damn it.
Hizi moments hutengenezwa na wachezaji pamoja na marefa pia. Kwa makocha is slightly to happen.

Spurs akiwa Richarlson wataona moto tukikutana nao.

Palace baada ya ile comeback ya 2014 from 3-0 to 3-3 basi waka raise up their matches vs us. Baada ya muda mfupi wakatulia.
 
Kabisa.
Halafu Kane anahojiwa mwisho wa mechi anadai hamukumuona Robbo, damn it.
Hizi moments hutengenezwa na wachezaji pamoja na marefa pia. Kwa makocha is slightly to happen.

Spurs akiwa Richarlson wataona moto tukikutana nao.

Palace baada ya ile comeback ya 2014 from 3-0 to 3-3 basi waka raise up their matches vs us. Baada ya muda mfupi wakatulia.
🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿Palacw duuh yule dogo Dwight Gayle alitunyima ubingwa.. I remember Surez cried like a baby.

That why EPL is special aisee no matokeo ya mfukoni kabisa.

YNWA
 
Time will tell mate.

YNWA

together
Im comfortable with Europe. Hii njia inaweza leta quadruple (im dreaming)

Saint Anne anataka tufungwe. Gari limewaka hili. Tunashinda zote zilizobaki. Japo timu yenyewe inaweza kukupa presha usiyoitarajia
Klopp ana nyota kali sana, penye hamna yeye ndio pananjia.
 
Palacw duuh yule dogo Dwight Gayle alitunyima ubingwa.. I remember Surez cried like a baby.

That why EPL is special aisee no matokeo ya mfukoni kabisa.

YNWA

Moja ya mechi chungu sana kwa Liverpool ni ile.

Tungejua kupambana kuchukua ubingwa wa epl hii ni misimu we were very close to be crowned.

2008/2009
2013/2014
2018/2019
2021/2022

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom