Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1681282984214.png
 
Bellingham deal

Flopped
FSG took Klopp for a joy ride haha. Like serious FSG hawa hawa watoe 300m sokoni dhubutu. Hakika tujiadae kwa kusubiri ubingwa mwingine 2031 kama FSG hawatauza portion ya timu au mazima wauze yote basi huu ni mwanzo tu. Klopp kashashtuka mapema kaanza kumtumia Trent invented Right Midfield kwa kua sasa ni dhahiri hio June atapewa kiduchu sana.

Belligham binafsi sijawai kua convinced na bei yake kua ana deserve zaidi ya £70m sababu kwangu ni bora Barela wa Inter au Pellegrin wa Roma na chini ya hio bei with loads of experience.

Muda utasema kama kweli hii tactic ya kumshusha bei ama kweli Klopp kaodoka mazima mpango wa Bellingham.

YNWA
 
Toka timu yake ya taifa anakosa penati muhimu
Aendelee tu kutufungia magoli yasiyo ya penati.

Kwenye penati namuamini sana bald head Fabinho.
😂😂😂😂Hivi huyu Bald Baddest Samba Boy unasema aje tumtoe kwa Real Madrid ama abakie kama Milner.

YNWA
 
FSG took Klopp for a joy ride haha. Like serious FSG hawa hawa watoe 300m sokoni dhubutu. Hakika tujiadae kwa kusubiri ubingwa mwingine 2031 kama FSG hawatauza portion ya timu au mazima wauze yote basi huu ni mwanzo tu. Klopp kashashtuka mapema kaanza kumtumia Trent invented Right Midfield kwa kua sasa ni dhahiri hio June atapewa kiduchu sana.

Belligham binafsi sijawai kua convinced na bei yake kua ana deserve zaidi ya £70m sababu kwangu ni bora Barela wa Inter au Pellegrin wa Roma na chini ya hio bei with loads of experience.

Muda utasema kama kweli hii tactic ya kumshusha bei ama kweli Klopp kaodoka mazima mpango wa Bellingham.

YNWA
Conor Ghallagher ndio level yenu wazee, Belligham ni superstar Wakati Liverpool ni chama la mahustler, Marastafari kina King ngwaba [emoji3]
 
Ndugu yangu ndo kuchanganyikiwa huko....hakuna anaependa matokeo mabaya....ile game dakika 30 zilichanganya sana.....
Lakini bado kama Hawa wapumbavu FSG wasipobadilika lazima Klop Out iwe #
Assist aote VVD halafu klopp aendoke kweli? [emoji23][emoji23]
 
Liverpool have cooled their interest in Jude Bellingham — as reported by UK media tonight. No bid as Liverpool will no longer work on this deal at current conditions. [emoji599][emoji837][emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

Package worth more than £130m now considered too expensive.

Liverpool will sign 2/3 midfielders in any case.
 
FSG took Klopp for a joy ride haha. Like serious FSG hawa hawa watoe 300m sokoni dhubutu. Hakika tujiadae kwa kusubiri ubingwa mwingine 2031 kama FSG hawatauza portion ya timu au mazima wauze yote basi huu ni mwanzo tu. Klopp kashashtuka mapema kaanza kumtumia Trent invented Right Midfield kwa kua sasa ni dhahiri hio June atapewa kiduchu sana.

Belligham binafsi sijawai kua convinced na bei yake kua ana deserve zaidi ya £70m sababu kwangu ni bora Barela wa Inter au Pellegrin wa Roma na chini ya hio bei with loads of experience.

Muda utasema kama kweli hii tactic ya kumshusha bei ama kweli Klopp kaodoka mazima mpango wa Bellingham.

YNWA
Hiyo Bellingham ni wa kumlipa kwa installments tu

Waingereza hawaaminiki ref, case ya Sancho na mifano mingine mingi

Mimi nachohitaji ni fresh legs tu za kutosha wanaweza kuingia kwenye mifumo

Na mifumo ikikubali, mzee 😂😂😂 watu watakula Sana chuma
 
Conor Ghallagher ndio level yenu wazee, Belligham ni superstar Wakati Liverpool ni chama la mahustler, Marastafari kina King ngwaba
emoji3.png
😂 😂 😂 😂 Muache King Ngwaba yupo likizo mpaka msimu wa 2023 2024 ndio atarejea mubashara jukwaani.

Ghallagher ni kipaji mapafu ya paka lakini competing high level kuna hitaji zaidi ya kipaji ndio maana mpaka leo unaona ana struggle game time chini pale Chelsea.. Huyu chini ya Klopp atakua moto fire sanaa.

Belligham kwa Liverpool bei wangeiweza maana ingekua extended payment kama ya Nunez ilivyo lakini unadhani Liverpool wanakimbia bei hapana pale wamekimbia mshahara aisee maana dogo itakua kwa wiki anakula zaidi ya £300,000 jambo ambalo kwa Liverpool haliji ki rahisi mpaka numbers uwanjani, mauzo ya jezi, mvuto wa biashara nk zikae sawa kwa mchezaji husika na case study ni Salah.. Cha kujua ni kwamba Klopp ana mahusiano mazuri sana na Dortmund hivyo taarifa zote atakua anapewa 1st hand... Kwa hio huyu kwa kua hatujitaji usajili mmoja tu pale kati hatufai kwa kua tunahitaji zaidi ya wachezaji wanne kikosini established na sio hawa ma juniors .

In Klopp and Julian i trust

YNWA
 
Hiyo Bellingham ni wa kumlipa kwa installments tu

Waingereza hawaaminiki ref, case ya Sancho na mifano mingine mingi

Mimi nachohitaji ni fresh legs tu za kutosha wanaweza kuingia kwenye mifumo

Na mifumo ikikubali, mzee 😂😂😂 watu watakula Sana chuma
😂 😂 😂 😂 Sancho anakula £300k kwa wiki hivi aafu tazama hakuna impact awepo na asiwepo yaaani...

Belligham ishu dokta ni mshahara aisee Klopp kamfuatilia huyu dogo tangu yupo Birmingham huko na mpaka kutua Dortmund amekua akimfuatilia na pia kufanya mazungumzo na familia yake lakini kwa sasa dogo amekua staa anavutia ma big boys Klopp ameona akae pembeni kwanza aone wengine wanaoweza kumlipa 400k kwa wiki...

Tetesi sasa ni kwamba atatua aidha Manchester City, Manchester United, PSG au Chelsea... Real Madrid wapo kama Liverpool mguu ndani mguu nje.

YNWA
 
Ndugu yangu ndo kuchanganyikiwa huko....hakuna anaependa matokeo mabaya....ile game dakika 30 zilichanganya sana.....
Lakini bado kama Hawa wapumbavu FSG wasipobadilika lazima Klop Out iwe #
FSG mitano tena hakuna haja ya usajiri mpya
Milner
VVD kisiki ukuta wa Berlin
Ox mtaalumu wa pasi za mwisho
Henderson mitano tena wanatosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom