Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
Kwaiyo Milner mitano tena ni mpiga penati mzuriNimeshangaa jamaa kuachiwa tena Penati wakati mechi tu iliyopita ametuchomesha hivihivi
Mara mia awe anaachiwa Fabinho..
Kwanza mechi za Penati ndio huwa nauona umuhimu wa Milner.