[emoji38][emoji38]Henderson mitano tena kaupiga mwingi saana
Utoto raha sana.Utabiri wangu ulikua Sawa sema Salah kakosa penati
Ni ukweli utoto wa Asenyo Raha sanaUtoto raha sana.
Na kwa nini mchezaji kama huyu asihamishiwe kwenye midfield?Mid yenye Tiago,fabinho na TAA kwa nini isiwe ndo trio yetu for the time being?Huko full back acheze Gomez...Ifike mahali Trent achukue namba na kitambaa cha hendo permanently"Trent has just not improved defensively but other traits.. Yaani defense inamwangusha Sana mwanangu ila vitu vingine
Ana dribble, passing abilities sio za nchi hii
😂 😂 😂 😂 Dogo kipaji aisee kaja wakati Liverpool wenye uhakika wa namba wamepoteana haswa.
Hajui kulenga goli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dogo kipaji aisee kaja wakati Liverpool wenye uhakika wa namba wamepoteana haswa.
YNWA
😂 😂 😂 😂 😂 Je Salah aliekosa penati inakua aje.Hajui kulenga goli
Kipaji bila kutulia golini ni kazi bure.
Unless Klopp says otherwise Salah ndio mpiga penati.Yaani zile mechi ambazo penalt ndo mkombozi wetu , yeye anakosa
Mara mia apewage Fabinho mechi ngumu ngumu.
Upo sahihi na klopp kaliongelea hiloNa kwa nini mchezaji kama huyu asihamishiwe kwenye midfield?Mid yenye Tiago,fabinho na TAA kwa nini isiwe ndo trio yetu for the time being?Huko full back acheze Gomez...Ifike mahali Trent achukue namba na kitambaa cha hendo permanently
Nimeshangaa jamaa kuachiwa tena Penati wakati mechi tu iliyopita ametuchomesha hivihivi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Je Salah aliekosa penati inakua aje.
Tuna msimu mbaya sana huo ndio ukweli hakuna cha yule wala huyu.l wote kasoro Alisson hakuna mwenye afadhali
YNWA
Jamaa abadilishe aiseeUnless Klopp says otherwise Salah ndio mpiga penati.
Kama unakumbuka zamani ilikua Firmino, Milner, Fabinho /Salah, Salah.
YNWA
Bora angeendelea Milner hakuwai kukosaUnless Klopp says otherwise Salah ndio mpiga penati.
Kama unakumbuka zamani ilikua Firmino, Milner, Fabinho /Salah, Salah.
YNWA