Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
Huyo biligamu hana nafasi
Henderson
Ox mtaalumu
Milner wanatosha hakuna sababu ya usajiri mwingine
Henderson
Ox mtaalumu
Milner wanatosha hakuna sababu ya usajiri mwingine
Akiondoka ntazimia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi huyu Bald Baddest Samba Boy unasema aje tumtoe kwa Real Madrid ama abakie kama Milner.
YNWA
fsg walipe 100+ kwa mchezaji mmoja wakati wanajua watahitaji kusajili wachezaji class A sio chini ya watatu....thubutu,
CaicedoView attachment 2585856
🤣 🤣 🤣 Nyie haya.
Tetesi ni kwamba Klopp anakwenda mazima kwa
Declan Rice wa Westham
Mount wa Chelsea
Caiceido wa Brighton
Nunes wa Wolverhampton
Barella wa Inter Milan.
Teun Koopmeiners wa Atalanta
Muda utasema
YNWA
FSG mitano tena hakuna haja ya usajiri mpya Milner na Ox plus Henderson wanatoshaCaicedo
Barela ..
Declan...hapo tutakuwa tumefanya la maana
Sasa taarifa zinasema hamna mpango na Jude kwanini Milner asiongezewe mkataba wa miaka mitano mingine?Ila man unazingua kinoma, basi hujui......
Ungejua vile simpend Babu Milner na huyo Henderson usingekaa unatusimanga kila mara Milner hivi Milner vile
Wamemfanya Nini Ustaadh wangu jamani 🥺View attachment 2585853
Duuh Mane ni kama kuna tatizo kubwa sana alipo nwa hope ni mapito tu....
Mpaka anamtia za uso Sane lazima atakua kammdiss vimbaya sana kwa kua Mane hua ni mpenda amani.
YNWA
View attachment 2585853
Duuh Mane ni kama kuna tatizo kubwa sana alipo nwa hope ni mapito tu....
Mpaka anamtia za uso Sane lazima atakua kammdiss vimbaya sana kwa kua Mane hua ni mpenda amani.
YNWA
Milner bado yupo saana na akistaafu apewe ukocha hapoLiverpool ni moja ya vilabu vinaisubiri summer hasa zaidi mashabiki na wanachama wake.
Tetesi ni nyingi na zitakuwepo tu. Ila deal litakaloshangaza ni Madrid kukubali kumuuza tchoumeni kwa LFC, ikiwa ndio msimu wake wa kwanza pale Santiago. Ikumbukwe LFC walikua favorite kuseal deal kabla ya kuwa hijacked na bwana Perez.
Jude (huenda kweli Klopp amelower interest kwa Jude au ni kujaribu kupunguza bei au itategemeana na season imeishaje).
Nunes (huyu alikua heavely linked na lfc kutoka Benfica baadae Klopp akajitoa baada ya kuona wolves wanamtaka (indirect loan [emoji28])). Sasa Klopp amerudi kumuwania tena Nunes (Nunes to Nunez Gooooooooal.!)
Barella tetesi zinaonesha Klopp anamhitaji Barella LFC kufanya nae kazi.
Najua Klopp na ward wana list yao on the table watakaoachwa na wanaofukuziwa.
Kwa vyovyote itakavyokua Mbinu za Klopp bado zitawatesa wengi ikiwa tu atapata fresh legs. Bado Klopp ana mvuto haijalishi atamaliza wapi msimu ila atasajili wachezaji wazuri tu.
Kuna wachezaji wapo njia panda hawajui hatima zao zitakuaje na Klopp amewaacha njia panda makusudi ili wampiganie amalize msimu atleast top six kwa mechi zilizosalia.
Ila ni wazi
Ox
Keita
Adrian
Milner
Hawa ni bye bye…!!!
Kuna
Matip
Jones
Kelleher
Carvalho
Ama (Mkopo au kuuzwa)
Bobby tayari.
Bado mimi ni miongoni mwa ninaomuamini sana Klopp na ataturejesha kwenye ramani ya mpira licha ya misimamo yake inayokera. Kidoooogo ameanza kukubaliana na hali TAA is no more a defender. Ameanza kupunguza loyalty kwa watoto wake pendwa akifanikiwa kuacha baaaaasi watu wataumia.
Msimu mbaya sana huu, bora ule wa 2020/2021 japo nao haukuleta matumaini mpka dakika za mwisho.
YNWA.
Mbona hata Salah huwa ananuna sana tu.Klopp anapaswa kupongezwa.
Alijua kudeal na temper ya Mane.
Ile sub alifanyiwa baada ya Salah kumbania pasi akamkwepa Klopp hakutaka hand shake game vs Burnley.
Ile mechi ya 5-0 vs utd Mane alimkataa Klopp kwa kumsusia handshake na hug.
Kwa incident hizi watu walimuona Klopp mjinga badala amwege bench anadharauliwa n.k.
Yalimkuta Nagelsmann dhidi ya Mane.
Juzi yamemkuta Sane dhidi ya Mane.
Mane ni temper hasa kwa baadhi ya maeneo kujizuia as proffesional ni ngumu. Kama Klopp asingedeal naye labda yeye na Salah yangetokea vinginevyo.
Huko Bayern Mane yupo kinyume na matarajio yake especially nafasi ya kucheza. Mane aliamini kuondoka kwa Lewandowski ni fursa kubwa kwake kua regular starter. Mwanzo ilikua hivyo baada ya injury mambo yanamuendea kombo.
Whats happens behind the closed doors stays behind closed doors...Wamemfanya Nini Ustaadh wangu jamani 🥺
Klopp always act like an Italian godfather to this bunch of kids...Klopp anapaswa kupongezwa.